Sio duuh.Duuuuh
Lakini nyie humwita nabii IssaSio duuh.
Na wewe pia unapaswa kuacha ibada za kikafiri na kitwaghuti na kumrudia Allah.
Uoni aibu mkubwa mzima unamuabudu mungu aliyevishwa chupi na kuwambwa msalabani na watu wake aliyewaumba wenyewe?
Mpaka lini utamuabudu Brian Deacon?
Muda unao wa kutosha.
Nan kamuiga mwenzakeHatutaki unafiki na kuigwaigwa. Dini yao ingekomaa kivyake vyake bila kutuiga ingekuwa na mantiki.
Hakuna hata mmoja anayejua Uislam, nyie mnawaangalia baadhi ya waislam wanachokifanya ni sawa na Sheria ya Kodi Kuna njia ya kuikwepa kihalali hivyo waislam baadhi wanaikwepa kihalali ukizingatia Mwenyezi Mungu wa waislam hawatakii taabu kitendo TU Cha kunuia kufunga tayari umeshashinda mbele na atakuridhia haijalishi, zamani masahaba walikua wanajipa tabu hadi kuacha kuingilia wake zao lakini wakaambiwa msihofu fanyeni usiku hivyo hii sio adhabu ni kumkumbuka Mungu ndio lengo.
Halafu funga ya mwislam au Hata maisha ya kawaida kula hadi kuvimbiwa according to Islam ni dhambi, Hata kutupwa chakula, mtume kaagiza ni sunna kunywa maji au kula tende kila kiasi usiku kabla ya kufunga (elewa sunna) hivyo mtu kila usiku haibatilishi funga ili mradi asivimbiwe akabeua, can you imagine mtu aliyesahau Kama kufunga akala akashiba Bado funga yake IPO pale pale? Enyi wagalatia kufunga sio mateso ni ishara ya Imani, msjiumize kwenda milimani kukaa siku 3 bila kula unashinda umelala eti ndio funga katka Uislam ukifa njaa Kwa makusudi hio ni motoni na hurusiwi kufunga Kama unaumwa malipo yake ni kulisha maskini 60
MudiNan kamuiga mwenzake
Uzuri mi tangu nizaliwe sijawahi shinda fungaMimi binafsi sioni kama mtu aliyekula saa 11 alfajiri atakuwa na haja ya kupata break fast saa 2 asubuhi au kula mchana, maana anakuwa anashiba
Mtu anasubiri jua lizame ale kama machwa au nguruwe pori, anakula hadi anavimbiwa na Bado anaamka usiku wa manane kula tena.
Tuache unafiki hakuna kufunga Kwa hivo kuwa usiku uwe mchana na mchana uwe usiku
Jitu limefunga linangoja king'ora jioni livute sigara au bangi
Jitu limefunga linangoja jua lizame likazini
Jioni mnaandaà ndizi, mihogo, uji, tambi
Yaani ni jitu linakula kama ndo mwisho wa Dunia😅
Kufunga iwe zaidi toba na sadaka na kujizuia Ile riziki ya kula mchana kuwapa masikini, sio kutunza chakula cha mchana ili ule usiku
Mimi siyo Atheist, naamini Mungu, lakini hadithi zingine za vitabu vya Waebrania ukitumia akili alizokupa Mungu ni vitu haviingii akilini.Au wewe ni atheist? Na nyinyi mnasemaje hakuna moto right ?kwahio ukipata dini ambayo Haina moto utaikubali?
Nimependa Sana swali LA huyo dogo
Wewe ni muislam tayari, biblia mnayotumia myahud kashawamaliza humo, kumbuka muyahudi ndio alikua mzabizabina akimchongea Yesu Kwa warumi ili ashughulikiwe wapate nafas a kuvuruga neno, hio tabia ndio ili wafanya wkataliwe Ulaya nzima na Sasa wanairudia Kwa muajemiMimi siyo Atheist, naamini Mungu, lakini hadithi zingine za vitabu vya Waebrania ukitumia akili alizokupa Mungu ni vitu haviingii akilini.
Hapana mimi si mwislamu, tena huko ndio kabisa siwezi kuwa dini imejaa vitisho huko ndio kwenye mahubiri ya moto badala ya upendo wa Mungu.Wewe ni muislam tayari, biblia mnayotumia myahud kashawamaliza humo, kumbuka muyahudi ndio alikua mzabizabina akimchongea Yesu Kwa warumi ili ashughulikiwe wapate nafas a kuvuruga neno, hio tabia ndio ili wafanya wkataliwe Ulaya nzima na Sasa wanairudia Kwa muajemi
Kwani uko zaman walikua wanafungaje? Tuanze na wayahudiJibu swali
Ni kufunga au kubadili muda wa kula tu?
SahihiNi kubadili muda wa kula
Sio duuh.
Na wewe pia unapaswa kuacha ibada za kikafiri na kitwaghuti na kumrudia Allah.
Uoni aibu mkubwa mzima unamuabudu mungu aliyevishwa chupi na kuwambwa msalabani na watu wake aliyewaumba wenyewe?
Mpaka lini utamuabudu Brian Deacon?
Muda unao wa kutosha.
Hata wewe mkuu unafunga kila siku labda tu hujui, usiku unapolala masaa yote unakuwa hauli wala kunywa mpaka unapoamka asubuhi na ndio maana chakula cha asubuhi kikaitwa breakfast.Kumbe kufunga ni nini? Kama sio kujitesa na kujizuia