Kujadiri??Hata kama nitaanzisha mada, sina hakika kama michango na hoja zenu zinavutia kuendelea kujadiri nanyi.
Hongera! Pamoja na kwamba kuna contents yangu ktk Uzi huo, hai-justify kuvutiwa na nyuzi zenu hapa ChitChat.Lakini huu uzi wewe ni mdau mzuri sana,na uko chit chat
Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.www.jamiiforums.com
Dhumuni la kuanzisha uzi ni lipi?Hongera! Pamoja na kwamba kuna contents yangu ktk Uzi huo, hai-justify kuvutiwa na nyuzi zenu hapa ChitChat.
Ni kama vile Uzi huu (Content yangu) ndani ya ChitChat Forum. "Sivutiwi na ChitChat".
Kwanini hao members waboreshe kwa ajili yako?Alert kwa ChitChat members, jukwaa halivutii (Mtizamo wangu) pengine mnaweza kuboresha, kurejesha mvuto ktk jukwaa hili.
Aliyeonesha kutovutiwa na jukwaa ni weweSi kwa ajili yangu, kwa ajili ya ubora na mvuto kwa jukwaa lao.