Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Wa kuelewa wameelewa na wasioelewa wataelewa katika hatua inayofuata pale mmoja anapoweza kuingia nusu fainali(akijipanga vizuri), na mwingine kuishia robo fainali hata akijipanga mwaka mzima kwa kikosi alichonacho.Kuna kitu ulilenga kusema hujamalizia rudi hapa umalizie ulicho lenga
Suala sio kujipanga vizuri au kujiandaa mwaka mzima bali muda mwingine shirikisho na champions inategemea umekutana na nani knock out stage lakini ukweli kote ni kwa moto.Wa kuelewa wameelewa na wasioelewa wataelewa katika hatua inayofuata pale mmoja anapoweza kuingia nusu fainali(akijipanga vizuri), na mwingine kuishia robo fainali hata akijipanga mwaka mzima kwa kikosi alichonacho.
Nashangaaa hapo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa utafanyaje ikiwa timu zetu zinapata nafasi ya kushiriki klabu bingwa Afrika? tujitoe makusudi kwa kuogopa kushindana na vigogo?
Vipi kuhusu Future FC? Hii pia inapiga mpira wa hatari. Ipo shirikishoKuna timu zinaitwa AS FAR na USM alger.
Ngoja muda uje utoe majibuWa kuelewa wameelewa na wasioelewa wataelewa katika hatua inayofuata pale mmoja anapoweza kuingia nusu fainali(akijipanga vizuri), na mwingine kuishia robo fainali hata akijipanga mwaka mzima kwa kikosi alichonacho.
ni Manara ndio ameliita hivyo, usituchafue wananchi halisi. Yule yuko pale kibiashara zaidi wala hatufai, na hata alifikia hatua ya kutuita wote hamnazo isipokuwa wawili tuTunaloliita kombe la looser, ndio size, yetu na ndio linaweza kutupa heshima katika soka la Afrika kwa sasa lakini sio kujidanganya na Kombe la Mabingwa Afika.
Kufika robo fainali ya CAF champions League ni sawa na kuchukua kombe la Shirikisho CAFWa kuelewa wameelewa na wasioelewa wataelewa katika hatua inayofuata pale mmoja anapoweza kuingia nusu fainali(akijipanga vizuri), na mwingine kuishia robo fainali hata akijipanga mwaka mzima kwa kikosi alichonacho.