Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Sisemi mengi:
Kwa uwekezaji tunaofanya kwa vilabu vyetu vya Yanga na Simba kulinganisha na miamba ya soka Afrika kwa upande wa vilabu, ni kujidanganga kuwaza kuchukua kombe la club bingwa barani Afrika badala ya kuwaza kwanza kuchukua kombe la shirikisho.
Hata kuvuka hatua ya robo fainali kwa timu zetu bado ni ndoto. Timu vibonde huishia hatua ya makundi.
Tunaloliita kombe la looser, ndio size, yetu na ndio linaweza kutupa heshima katika soka la Afrika kwa sasa lakini sio kujidanganya na Kombe la Mabingwa Afika.
Habari ndio hio.