Mbase1970
JF-Expert Member
- Jun 11, 2015
- 6,054
- 4,604
Matukio mengi yanayoendelea nchini kwasasa na wengi wetu inafika wakati na kudhani katiba mpya itasaidia kupunguza ama kuondoa uonevu.
Tupitie video mbili hapo chini kuonyesha uonevu hata Siku moja hautamalizwa na katiba mpya bali umoja wa kitaifa ukianzia kutoka kwa wanasiasa ambao watatuunganisha kuwa wamoja na kuheshimu misingi ya haki za binadamu zaidi ya kuvutana kiitikadi kama ilivyo sasa. Last time niliandika thread ya kumsifu Mh Mbowe kwa jinsi alivyo handle tukio lililomkuta mwanademokrasia na mpigania haki wa kweli Mh Tundu Lissu.
Pamoja na sifu zangu kwake kwa leo ningeomba kumshauri tu kwamba haitatusaidia sisi kama watanzania tukiendekeza hizi siasa zinazozagaa mitaani kwasasa. Kama kila tukio likitokea tumnyoshee kidole rais na serikali.
Ifike wakati tuanze kujenga siasa za maelewano zaidi kuliko kutumia mitandao na vyombo vya habari kugombanisha RAIA na serikali (kina Lema &co) ama RAIA na wanasiasa wa upinzani kama ndugu Polepole.
Hii katika video hapo juu inatokea sana Marekani wanaojulikana wanaua watu kweupe na wanaachiwa huru kuua tena. Ndiyo hawa tunadhani wanathamini zaidi maisha ya watu zaidi ya wasiyojulikana Wa Tanzania?.
Mbowe hata wakija kuwachunguza wenzao wasiyojulikana hawatatusaidia kutatua tatizo hili la wasiyojulikana. Kenya walimuua Dr John Robert Ouko na Scotland Yard waliitwa kuchunguza lakini haikusaidia kuwafichua wasiojulikana Wahenga wenzangu watalikumbuka tukio la kuawa Ouko na kuchomwa moto.
Fikiria Ouko hakua mwanasiasa tu kama Mh Lissu Bali alikua waziri pia. Gari nyeupe pia inasadikika ilitumiwa na wasiyojulikana. So John Troon wa New Scotland Yard ndiye aliyeongoza uchunguzi.