Ni kujidanganya tukidhani katiba mpya itaondoa uonevu

Ni kujidanganya tukidhani katiba mpya itaondoa uonevu

mazingira yaliyowafanya wamarekani watengeneze katiba inayowafaa hivyo yalikuwa ya vita na walikuwa wakielekea kuteketea ndipo walipogutuka kuwa watakwisha na hawataweza kuishi pamoja. labda tuanzie hapo.
Unajua hapa tunazungukazunguka bila kuielewa mada. Yule jamaa wa NFL alikataa kusimama wakati wa wimbo wa taiga kwa lengo LA kuikumbusha jamii juu ya unyanyasaji wa polisi kwa watu weusi lakini watu wanageuza kwsmba in patriotism kwa makusudi. Mimi sijakataa kuhusu katiba mpya na nzuri argument yangu kama tutakua na vyombo vinavyotakiwa kufanya kazi kwa niaba yetu badala take vikawa vibarska wa watawala j e tutsaidiwaje na hiyo katiba
 
Matukio mengi yanayoendelea nchini kwasasa na wengi wetu inafika wakati na kudhani katiba mpya itasaidia kupunguza ama kuondoa uonevu.

Tupitie video mbili hapo chini kuonyesha uonevu hata Siku moja hautamalizwa na katiba mpya bali umoja wa kitaifa ukianzia kutoka kwa wanasiasa ambao watatuunganisha kuwa wamoja na kuheshimu misingi ya haki za binadamu zaidi ya kuvutana kiitikadi kama ilivyo sasa. Last time niliandika thread ya kumsifu Mh Mbowe kwa jinsi alivyo handle tukio lililomkuta mwanademokrasia na mpigania haki wa kweli Mh Tundu Lissu.

Pamoja na sifu zangu kwake kwa leo ningeomba kumshauri tu kwamba haitatusaidia sisi kama watanzania tukiendekeza hizi siasa zinazozagaa mitaani kwasasa. Kama kila tukio likitokea tumnyoshee kidole rais na serikali.

Ifike wakati tuanze kujenga siasa za maelewano zaidi kuliko kutumia mitandao na vyombo vya habari kugombanisha RAIA na serikali (kina Lema &co) ama RAIA na wanasiasa wa upinzani kama ndugu Polepole.



Hii katika video hapo juu inatokea sana Marekani wanaojulikana wanaua watu kweupe na wanaachiwa huru kuua tena. Ndiyo hawa tunadhani wanathamini zaidi maisha ya watu zaidi ya wasiyojulikana Wa Tanzania?.

Mbowe hata wakija kuwachunguza wenzao wasiyojulikana hawatatusaidia kutatua tatizo hili la wasiyojulikana. Kenya walimuua Dr John Robert Ouko na Scotland Yard waliitwa kuchunguza lakini haikusaidia kuwafichua wasiojulikana Wahenga wenzangu watalikumbuka tukio la kuawa Ouko na kuchomwa moto.

Fikiria Ouko hakua mwanasiasa tu kama Mh Lissu Bali alikua waziri pia. Gari nyeupe pia inasadikika ilitumiwa na wasiyojulikana. So John Troon wa New Scotland Yard ndiye aliyeongoza uchunguzi.

The question is what pushes you to say new constitution and scortland yard wont solve the issue that we face in the country namely authoritatism with impunity????
 
Usizunguke sana, ww sema tufuate anachotaka rais na sio katiba maana kwa mtazamo wako ww rais ndio anayejua utaratibu na sio katiba.
Hayo mawazo yako baada ya kusoma comments za watu.
 
The question is what pushes you to say new constitution and scortland yard wont solve the issue that we face in the country namely authoritatism with impunity????
So Mr Englishman you believe New Scotland Yard will solve your constitution problem!!!
They will investigate and handover the findings to the same people you accuse of commiting offence and you really believe this will be the solution???????? You need to change the stuff you smoke
 
Sisi ndiyo tunajionea wenyewe...tumejikabidhi kwa wanasiasa watutumie kama punda...siku tukiamua tunaweza kujikomboa!
 
Sisi ndiyo tunajionea wenyewe...tumejikabidhi kwa wanasiasa watutumie kama punda...siku tukiamua tunaweza kujikomboa!
Hill neno LA maana sana mkuu. Watu wenyewe tunalilia katiba mitandaoni lakini tunashindwa kuhimizana kufanya maandamano ya kuomba katiba lakini humu JF watu wanajifanya wajuaji.

Tanzania hii hats ije katiba toka mbinguni itakanyagwa na tutarudi kua keyboard warriors na majina yetu ya bandia. Leo hii Marc akitangaza anapeleka taarifa zetu polisi kukiwa na wasndhishi humu watakua hawaishi Tanzania. Katiba zinaazimishwa kwa watu wenye akili siyo taiga lililojaa misukul kama letu. Vijana wa millennium ndiyo usiseme wqo wqnategemea kupata udaku kutoka kwa Mange
 
So Mr Englishman you believe New Scotland Yard will solve your constitution problem!!!
They will investigate and handover the findings to the same people you accuse of commiting offence and you really believe this will be the solution???????? You need to change the stuff you smoke
Nimeipenda sanaa hii.Mawazo kinzani
 
Back
Top Bottom