Ni kujipendekeza? Ni kwanini wakristo wengi wanapenda ukaribu wa Israel wakati waisrael hawautaki ukristo?

Ni kujipendekeza? Ni kwanini wakristo wengi wanapenda ukaribu wa Israel wakati waisrael hawautaki ukristo?

12 Bali wote waliompokea aliwapa uwezo wa kufanyika watoto wa Mungu, ndio wale waliaminio jina lake;
13 waliozaliwa, si kwa damu, wala si kwa mapenzi ya mwili, wala si kwa mapenzi ya mtu, bali kwa Mungu.
Barikiwa sana kwa nyongeza ya.nguvu 💪🏼💪🏼💪🏼
 
Uislamu si dini ya waarabu wala hakuna muarabu ana mamlaka kwenye uislamu , uislamu ni dini ya Allah( subhana huwataala) acha kunasibisha mambo yasiyofanan hata kidogo .

Ndiyo quran imeshuka kwa lugha ya kiarabu ila hii hauufanyi uarabu ukawa ni taifa fulani kwa waislamu hakuna uhusiano huo .

[emoji23][emoji23][emoji23] Alaa kumbe Allah anazungumza kiarabu?
 
Unaulizia kuhusu israeli au unazungumzia waisraeli?.Kwasababu israeli kama taifa ndilo linalozungumziwa sio waisraeli kama watu.Kwahiyo usibabaishwe na waisraeli wasasa waliokengeuka bali iangalie israeli kama taifa.Lakini pia kumbuka ukristo haujapigwa vita leo tu bali ni jambo lililokwisha fanyika miaka mingi iliyopita.Kwahiyo usishangae wayahudi wasasa kwakile wanachokifanya dhidi ya ukristo.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Alaa kumbe Allah anazungumza kiarabu?
Acha tukagonge monde za bureeee tena mtoni unaenda na kikombe tu halafu pembeni mademu wapyaaa 72.

Halafu ukute kuna lifala halifanyaga mazoezi ya kunywa huku duniani.

Ligonge pombe livue nguo lianze kuogelea kwenye mito ya pombe tutalitandika halitaamini 😠😠
 
Kuna tofauti kati ya Judaism na Israel, wakristo hawahangaiki na Dini ya Waisraeli wao wana mfuata Kristo ambo waisra (sio wote) hawakumkubali maana matarajio ya Kuja kwa Masiya kungewaondoa kwenye utumwa wa Roman empire (kimwili) ila haikuwa hivyo Yesu alikuja kututoa kwenye kongwa na utumwa wa dhambi na kurudisha uhusiano wa wanadamu na Mungu

[emoji23][emoji23] uhusiano na mungu yaan mungu anapenda sana sadaka ya binadamu s ndio.
 
Kama sio mataifa yenye nguvu kuulinda Ukristo hasa Marekani, Italia na Ujerumani.
Wakristo tungechinjwa wote na Wajahidina.

Ukristo ni tishio kubwa sana duniani yaani unaogopwa kiasi cha kuumdiwa sheria kali sana.

Baadhi ya nchi ukikutwa tu na Biblia ni kuchinjwa tu. Eg. Somalia, Iran, Afghanistan, Korea Kaskazini.
 
[emoji23][emoji23] uhusiano na mungu yaan mungu anapenda sana sadaka ya binadamu s ndio.

Mal 3:10-12 SUV​

Leteni zaka kamili ghalani, ili kiwemo chakula katika nyumba yangu, mkanijaribu kwa njia hiyo, asema BWANA wa majeshi; mjue kama sitawafungulia madirisha ya mbinguni, na kuwamwagieni baraka, hata isiwepo nafasi ya kutosha, au la. Nami kwa ajili yenu nitamkemea yeye alaye, wala hataharibu mazao ya ardhi yenu; wala mzabibu wenu hautapukutisha matunda yake kabla ya wakati wake katika mashamba, asema BWANA wa majeshi. Na mataifa yote watawaiteni heri; maana mtakuwa nchi ya kupendeza sana, asema BWANA wa majeshi.
 
Hivi kuna Msukuma anaeweza kumkataa Magufuli kama sie msukuma? Tatizo Yesu sio mkristo ndio maana wana mkataa, mcheza kwao hutunzwa.
Uislam umekubalika uarabuni.
Hindu umekubalika uhindini
Buddhist umekubalika kwao China
Sasa Roman emperor wame muua Yesu halafu wao ndio wamkubali walie muua?.
 
Allah sio tu anasikia Kiarabu tu, bali hicho Kiarabu kisaliwe huku ukiwa umeangalia upande wa uelekeo wa uliko mji wa Maka, wa huko Saudi Arabia.
Ikisali kwa Kiarabu huku umeangalia Maputo Msumbiji hasiki pia.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kama sio mataifa yenye nguvu kuulinda Ukristo hasa Marekani, Italia na Ujerumani.
Wakristo tungechinjwa wote na Wajahidina.

Ukristo ni tishio kubwa sana duniani yaani unaogopwa kiasi cha kuumdiwa sheria kali sana.

Baadhi ya nchi ukikutwa tu na Biblia ni kuchinjwa tu. Eg. Somalia, Iran, Afghanistan, Korea Kaskazini.
Sema ukristo unalindwa sana na hizo nchi kwasababu ya kupiga hela sana kwa kupitia ukristo. Hakuna dini inayo kusanya hela kutoka kwa waumini wake kama ukristo. Angalia movie inaitwa Viking utajifunza kitu.
 
~ardhi ya taifa la israel ukichunguza kwa makini kiimani ukristo ndipo ulipoanzia na ndio tamati yake.
~walimkataa yesu na kumsulubisha hivyo kuukataa ukristo kwao haishangazi.
 
000_Nic6479399-1-e1440587373884.jpg

Huwa nashangaa sana baadhi ya wakristo kulazimisha ukaribu na taifa la Israel kujidanganya kwamba dini ya kikristo inawaunganisha,

Wengine wamefika mahala kuweka bendera ya taifa la Israel makanisani, kwenye vyombo vya usafiri, wallpaper za simu, n.k.

Wayahudi sio wakristo na wanampinga Yesu kwao hawamtambui, ila nguvu wanayotumia wakristo kulazimisha ukaribu na wayahudi inashangaza sana kiasi cha kuonekana wazi wakristo wanajipendekeza maana wao wayahudi hawautambui ukristo

Mjumuisho wa dini ya kikristo israel ni kwamba asilimia 1 tu ni wakristo, yani hapa katika waisrael 100 kuna mkristo moja tu.

Kwao hawamtambui Yesu kwamba alikidhi vigezo vyao kwahio hawautambui ukristo lakini hali ilivyo kwa mataifa ya kikristo ni kama wanajipendekeza sana kuwa karibu na waisrael ambao wao hawautambui ukristo .
Hata sisi wenyewe wakristo tunalielewa hilo na Yesu mwenyewe analijua hilo ndo maana walimuua na mkumpa mateso makali, injili ikaja kwetu sisi ambao hatukustaili kuwa watoto wa kristo akatukomboa na kutuweka huru na dhambi na tumesamehewa kweli kupitia yeye na sasa tuna ushindi wa dhambi, tunatarajia uzima wa milele pamoja na yeye (Yesu)huko mbiguni

Kwaiyo sio kitu cha kushangaza sana
 
I think ni kwamba Yesu alikuwa Myahudi na Israel ni nchi pekee ya Kiyahudi duniani na pia ni sehemu ambayo wanaamini Yesu atarudi so it's a religious significance Km Muslims kwa Mecca pia hata wazungu wa kikristo pia wanaipenda Israel kwa ilo sio sababu ya dini yao Judaism; that being said hata Waislamu wanajipendekeza kwa waarabu when both Arabs au hao Jews wabaguzi kwa watu weusi tu
 
Hata sisi wenyewe wakristo tunalielewa hilo na Yesu mwenyewe analijua hilo ndo maana walimuua na mkumpa mateso makali, injili ikaja kwetu sisi ambao hatukustaili kuwa watoto wa kristo akatukomboa na kutuweka huru na dhambi na tumesamehewa kweli kupitia yeye na sasa tuna ushindi wa dhambi, tunatarajia uzima wa milele pamoja na yeye (Yesu)huko mbiguni

Kwaiyo sio kitu cha kushangaza sana
Hivyo wewe hukustahili kuipata injili ila ni vile basi tu waisraeli waliikataa ila mtoto pendwa ni mtoto pendwa.

Halafu suala la KRISTO kufa si lilikuwa la lazima? Asingeuwawa na wayahudi ungeponaje ponaje? Hawa watu ni wa muhimu sana kwenye maisha yako ya imani.
 
000_Nic6479399-1-e1440587373884.jpg

Huwa nashangaa sana baadhi ya wakristo kulazimisha ukaribu na taifa la Israel kujidanganya kwamba dini ya kikristo inawaunganisha,

Wengine wamefika mahala kuweka bendera ya taifa la Israel makanisani, kwenye vyombo vya usafiri, wallpaper za simu, n.k.

Wayahudi sio wakristo na wanampinga Yesu kwao hawamtambui, ila nguvu wanayotumia wakristo kulazimisha ukaribu na wayahudi inashangaza sana kiasi cha kuonekana wazi wakristo wanajipendekeza maana wao wayahudi hawautambui ukristo

Mjumuisho wa dini ya kikristo israel ni kwamba asilimia 1 tu ni wakristo, yani hapa katika waisrael 100 kuna mkristo moja tu.

Kwao hawamtambui Yesu kwamba alikidhi vigezo vyao kwahio hawautambui ukristo lakini hali ilivyo kwa mataifa ya kikristo ni kama wanajipendekeza sana kuwa karibu na waisrael ambao wao hawautambui ukristo .
Angalia hii video ndio utajua waisrael wanawachukia sanaa wakristo
Niliangalia video moja waisrael wanahojiwa Kati ya msikitini na kanisani wanaweza kuingia wapi kufanya ibada zao karibia wote waliohojiwa walikua wanasema tutaingia msikitini na sio kanisani kwasababu wanaaminu wakristo wanaabudu masanamu

Video hii waisrael wanawatemea mate masister
 
Attachments

  • 9b1d16d43e694b36fcc3555d0880c2f4.mp4
    2.1 MB
Wakristo ndio wanadhani wayahudi wana ukaribu nao ila ukweli ni kwamba kwa wayahudi ukristo ni takataka, kwa hali hii ni wazi wakristo wanajipendekeza wasikohitajika.

Kwa waisalm ipo wazi wao wapo upande wa waarabu, hao waarabu na wayahudi haziivi
Haina tatizo mbona sisi watu weusi tunajipendekeza kwa dini za watu mkuu?
 
Wakristo ndio wanadhani wayahudi wana ukaribu nao ila ukweli ni kwamba kwa wayahudi ukristo ni takataka, kwa hali hii ni wazi wakristo wanajipendekeza wasikohitajika.

Kwa waisalm ipo wazi wao wapo upande wa waarabu, hao waarabu na wayahudi haziivi
Ndo hivyo Tena, hatuna jinsi tunafuata kile tulicholetewa,ila sisi wakatoliki hatuna ukaribu nao Sana. Sisi tuna amini kuwa Kila mkristo anaye zingatia mafundisho ya Kristo ni taifa teule.hakuna kitu physical harafu kina fanya uchafu we unasema ni kiteule. Tunawaheshimu Kwa sababu maandiko yalipitia kwao.wao ni binadamu kama sisi
 
Back
Top Bottom