EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Barikiwa sana kwa nyongeza ya.nguvu 💪🏼💪🏼💪🏼12 Bali wote waliompokea aliwapa uwezo wa kufanyika watoto wa Mungu, ndio wale waliaminio jina lake;
13 waliozaliwa, si kwa damu, wala si kwa mapenzi ya mwili, wala si kwa mapenzi ya mtu, bali kwa Mungu.
Uislamu si dini ya waarabu wala hakuna muarabu ana mamlaka kwenye uislamu , uislamu ni dini ya Allah( subhana huwataala) acha kunasibisha mambo yasiyofanan hata kidogo .
Ndiyo quran imeshuka kwa lugha ya kiarabu ila hii hauufanyi uarabu ukawa ni taifa fulani kwa waislamu hakuna uhusiano huo .
Acha tukagonge monde za bureeee tena mtoni unaenda na kikombe tu halafu pembeni mademu wapyaaa 72.[emoji23][emoji23][emoji23] Alaa kumbe Allah anazungumza kiarabu?
Kuna tofauti kati ya Judaism na Israel, wakristo hawahangaiki na Dini ya Waisraeli wao wana mfuata Kristo ambo waisra (sio wote) hawakumkubali maana matarajio ya Kuja kwa Masiya kungewaondoa kwenye utumwa wa Roman empire (kimwili) ila haikuwa hivyo Yesu alikuja kututoa kwenye kongwa na utumwa wa dhambi na kurudisha uhusiano wa wanadamu na Mungu
[emoji23][emoji23] uhusiano na mungu yaan mungu anapenda sana sadaka ya binadamu s ndio.
Sema ukristo unalindwa sana na hizo nchi kwasababu ya kupiga hela sana kwa kupitia ukristo. Hakuna dini inayo kusanya hela kutoka kwa waumini wake kama ukristo. Angalia movie inaitwa Viking utajifunza kitu.Kama sio mataifa yenye nguvu kuulinda Ukristo hasa Marekani, Italia na Ujerumani.
Wakristo tungechinjwa wote na Wajahidina.
Ukristo ni tishio kubwa sana duniani yaani unaogopwa kiasi cha kuumdiwa sheria kali sana.
Baadhi ya nchi ukikutwa tu na Biblia ni kuchinjwa tu. Eg. Somalia, Iran, Afghanistan, Korea Kaskazini.
Hata sisi wenyewe wakristo tunalielewa hilo na Yesu mwenyewe analijua hilo ndo maana walimuua na mkumpa mateso makali, injili ikaja kwetu sisi ambao hatukustaili kuwa watoto wa kristo akatukomboa na kutuweka huru na dhambi na tumesamehewa kweli kupitia yeye na sasa tuna ushindi wa dhambi, tunatarajia uzima wa milele pamoja na yeye (Yesu)huko mbiguni
Huwa nashangaa sana baadhi ya wakristo kulazimisha ukaribu na taifa la Israel kujidanganya kwamba dini ya kikristo inawaunganisha,
Wengine wamefika mahala kuweka bendera ya taifa la Israel makanisani, kwenye vyombo vya usafiri, wallpaper za simu, n.k.
Wayahudi sio wakristo na wanampinga Yesu kwao hawamtambui, ila nguvu wanayotumia wakristo kulazimisha ukaribu na wayahudi inashangaza sana kiasi cha kuonekana wazi wakristo wanajipendekeza maana wao wayahudi hawautambui ukristo
Mjumuisho wa dini ya kikristo israel ni kwamba asilimia 1 tu ni wakristo, yani hapa katika waisrael 100 kuna mkristo moja tu.
Kwao hawamtambui Yesu kwamba alikidhi vigezo vyao kwahio hawautambui ukristo lakini hali ilivyo kwa mataifa ya kikristo ni kama wanajipendekeza sana kuwa karibu na waisrael ambao wao hawautambui ukristo .
Hivyo wewe hukustahili kuipata injili ila ni vile basi tu waisraeli waliikataa ila mtoto pendwa ni mtoto pendwa.Hata sisi wenyewe wakristo tunalielewa hilo na Yesu mwenyewe analijua hilo ndo maana walimuua na mkumpa mateso makali, injili ikaja kwetu sisi ambao hatukustaili kuwa watoto wa kristo akatukomboa na kutuweka huru na dhambi na tumesamehewa kweli kupitia yeye na sasa tuna ushindi wa dhambi, tunatarajia uzima wa milele pamoja na yeye (Yesu)huko mbiguni
Kwaiyo sio kitu cha kushangaza sana
Muhemko upo wapi hapo? Unaijua mihemko? Ulishawahi hemkiwa nn ndio maana unaiogopa.Punguza mihemko, jadili kwa hoja.
Kwani waarabu wakristo?Ni kama tu wavaa kobazi na waarabu.
Angalia hii video ndio utajua waisrael wanawachukia sanaa wakristo
Huwa nashangaa sana baadhi ya wakristo kulazimisha ukaribu na taifa la Israel kujidanganya kwamba dini ya kikristo inawaunganisha,
Wengine wamefika mahala kuweka bendera ya taifa la Israel makanisani, kwenye vyombo vya usafiri, wallpaper za simu, n.k.
Wayahudi sio wakristo na wanampinga Yesu kwao hawamtambui, ila nguvu wanayotumia wakristo kulazimisha ukaribu na wayahudi inashangaza sana kiasi cha kuonekana wazi wakristo wanajipendekeza maana wao wayahudi hawautambui ukristo
Mjumuisho wa dini ya kikristo israel ni kwamba asilimia 1 tu ni wakristo, yani hapa katika waisrael 100 kuna mkristo moja tu.
Kwao hawamtambui Yesu kwamba alikidhi vigezo vyao kwahio hawautambui ukristo lakini hali ilivyo kwa mataifa ya kikristo ni kama wanajipendekeza sana kuwa karibu na waisrael ambao wao hawautambui ukristo .
Haina tatizo mbona sisi watu weusi tunajipendekeza kwa dini za watu mkuu?Wakristo ndio wanadhani wayahudi wana ukaribu nao ila ukweli ni kwamba kwa wayahudi ukristo ni takataka, kwa hali hii ni wazi wakristo wanajipendekeza wasikohitajika.
Kwa waisalm ipo wazi wao wapo upande wa waarabu, hao waarabu na wayahudi haziivi
Ndo hivyo Tena, hatuna jinsi tunafuata kile tulicholetewa,ila sisi wakatoliki hatuna ukaribu nao Sana. Sisi tuna amini kuwa Kila mkristo anaye zingatia mafundisho ya Kristo ni taifa teule.hakuna kitu physical harafu kina fanya uchafu we unasema ni kiteule. Tunawaheshimu Kwa sababu maandiko yalipitia kwao.wao ni binadamu kama sisiWakristo ndio wanadhani wayahudi wana ukaribu nao ila ukweli ni kwamba kwa wayahudi ukristo ni takataka, kwa hali hii ni wazi wakristo wanajipendekeza wasikohitajika.
Kwa waisalm ipo wazi wao wapo upande wa waarabu, hao waarabu na wayahudi haziivi