Ni kumbukumbu gani Mwaka 2025 unakuachia ambazo unadhani hautaweza kusahau?

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
977
Reaction score
1,966
Takriban wiki 6 zimesalia kuumaliza mwaka 2025, bila shaka kuna matukio mengi mazuri na mengine magumu umekutana nayo mwaka huu

Kati ya matukio hayo ni yapi unadhani hautaweza kuyasahau kabisa?
 
1750408976062.png
 
Manyonyo kuua raia wa Tanganyika wasiokuwa na hatia kisa yeye ni gaidi kutoka nje ya nchi
 
Takriban wiki 6 zimesalia kuumaliza mwaka 2025, bila shaka kuna matukio mengi mazuri na mengine magumu umekutana nayo mwaka huu

Kati ya matukio hayo ni yapi unadhani hautaweza kuyasahau kabisa?
Chinja chinja ya Tanzania
 
Back
Top Bottom