Unga wa Muhogo kwa Bongo hauna soko, sana, Make kwa Arusha walio kuwa wanautumia kwa wingi ni Wale watu kutoka Africa Maghalibi, Rwanda na kazalika ambao walikuwa wanafanya ICTR, ila kwa watu wakawaida ni mikoa michache sana na utakubaliana na mimi kwamba kuna baadhi ya mikioa ni watumiaji na wengine ni watumiaji wa Mahindi so kwa watumiaji wa mahindi ukiwapelekea Unga wa Mihogo wanashangaa sana, Ila kuna ile process huwa inafanyika na kupata Unga wa Kutengeneza Chapati, Mandazi, keki na kazalika,