Ni kwa kiasi gani watanzania wanatumia Unga wa muhogo?

Ni kwa kiasi gani watanzania wanatumia Unga wa muhogo?

changman

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2011
Posts
229
Reaction score
90
Hello

Nataka kufahamu ni kwa kiasi gani wananchi wa TZ wanatumia unga wa muhogo katika mlo wao wa kila siku ukilinganisha na unga wa mahindi? Na pia kama ukianzisha biashara ya kuuza unga wa muhogo, inalipa au makampuni mengine yashaliteka soko la unga nchini?
 
Unga wa Muhogo kwa Bongo hauna soko, sana, Make kwa Arusha walio kuwa wanautumia kwa wingi ni Wale watu kutoka Africa Maghalibi, Rwanda na kazalika ambao walikuwa wanafanya ICTR, ila kwa watu wakawaida ni mikoa michache sana na utakubaliana na mimi kwamba kuna baadhi ya mikioa ni watumiaji na wengine ni watumiaji wa Mahindi so kwa watumiaji wa mahindi ukiwapelekea Unga wa Mihogo wanashangaa sana, Ila kuna ile process huwa inafanyika na kupata Unga wa Kutengeneza Chapati, Mandazi, keki na kazalika,
 
Unga wa mhogo umeendelea kupata umaarufu kwa ushaidi ni bei yake kilo moja ni kuanzia 2000-2500
 
vipi unga wa dona??

Hata Unga wa Muhogo nao Unatumiwa sana na wageni, Kwa Arusha Wakenya wanautumia sana wao hali Sembe, Ingawa hata mimi natumia Dona, Ni unga mzuri sana tatizo liko katika Mind za watu kwamba Sembe ndo Bora kutokana na Langi yake, Ila ukweli ni kwamba Dona ni nzuri sana,

Dona inakuwa na wateja wale wanaojua nini maana ya Afya, Ila kwa wengine watafuta sifa, itakuwa vigumu sana make kwa Bongo Moja ya kipimo cha kwamba wewe una pesa au la ni kula Dona aau sembe, Ukila Dona wewe unaonekana mshamba sana,

Hata Unga wa Muhogo kwa kweli watumiaji wake ni wachache sana na tatizo linakuja kwamba kama umekulia kwenye Mahindi kwa kweli kusonga Ugali wa Muhogo ni ishu sana, na wengi hapo ndo wanapo ona shida, Ingawa nao ni mzuri sana, Ila kwa Dar na miji mikubwa kama Arusha yenye wageni wengi sana hasa kutoka west Africa huu unga unasoko sana, Make Nigerian, na hata Rwanda wanautumia sana,

 
Unga wa muhogo una soko sana usa ila kama ukiweza fikia standard zao coz unatumika kwenye kutengeneza biscuits zenye ubora wa juu biskuti za ngano kama za bakheresa wanadai hazina soko kubwa tena ukiweza zalisha unga huo kwa ubora na wingi soko la nje lipo just fanya research ndugu
 
Hello

Nataka kufahamu ni kwa kiasi gani wananchi wa TZ wanatumia unga wa muhogo katika mlo wao wa kila siku ukilinganisha na unga wa mahindi? Na pia kama ukianzisha biashara ya kuuza unga wa muhogo, inalipa au makampuni mengine yashaliteka soko la unga nchini?

Hongera sana Changman, kwa uzoefu wangu naona mahitaji yako juu zaidi kuliko upatikanaji wa bidhaa yenyewe, binafsi huwa napata shida sana ninapouliza ugari naambiwa ni wa sembe maana kwa BAHAT nzuri natokea maeneo yanayotegemea muhogo na mtama kama chakula cha kila siku. Naomba nieleweke wadau maana si maanishi kwamba unga haupatikan la hasha maana sehemu nyingi wanauza ila unakuta bado ubora wake ni hafifu so walaji wanaamua kuchanganya Mahindi na Ngano ambayo haijakobolewa.

Jiulize tu kama kusingengua na walaji wengi kwa nn hapa Dar kuna migahawa inaitwa Breakpoint hawa jamaa wanuza aina zote za ugari (sembe, dona, muhogo, mtama n'k) na watu wanaushambulia kweli huo wa muhogo.

Anza mi kwa kuanzia ntachukua kilo 40 na nina marafiki wengi sana wanahitaji.




0715/0784/764 800989
 
Watu wa Afrika Magharibi hawapendi sana ugali wa mahindi wanaamini kuwa unadumaza ubongo.
 
Back
Top Bottom