round kick
JF-Expert Member
- Feb 3, 2025
- 933
- 3,051
Kwetu rika la 30 na kuendelea sisi kipindi chetu kufukuzia miezi ilikuwa ni kawaida sana maana hakuna simu na kumfatilia ni kwa makadirio unajiweka njia anayopita waweza kesha hadi usiku hapiti kumbe yupo kwao.
Nakumbuka niliwahi kukutana na binti flani haikuwa rahisi kumpata, nimeshawahi kujifanya nauza mchicha karibu yao ili tu nishushe mistari, nimeshatoa sana hivi vi coin kwa watoto wanaoishi karibu wagonge hodi akifungua mlango yeye nawahi, n.k. haikuwa rahisi hasa ukizingatia kwa maadili ya familia za kipindi hicho na ukaksi wa kina baba kwa watoto wao wa kike.
ILINICHUKUA MIEZI 11 hadi kukubaliwa,