Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
Kalamu wewe ndiye uliyeitaja Kariakoo.Kwa bahati mbaya umeniwekea mimi hapo ulipoiweka.
Kwa hiyo umeniwekea mimi, hukuiwekea dunia nzima.Kalamu wewe ndiye uliyeitaja Kariakoo.
Nikaona nikuwekee Nairobi 1950.
Kalamu,Kwa hiyo umeniwekea mimi, hukuiwekea dunia nzima.
Na huko mara ya kwanza uliiwekea dunia nzima!Kalamu,
Nimeiwekea dunia nzima.
Huu uwanja hauna mipaka.
Kalamu,Na huko mara ya kwanza uliiwekea dunia nzima!
Ni kama hujiamini kuwa umefanikiwa, kama inakulazimu kila mara kurudia yale yale ya kuipasha dunia nzima kuhusu habari ile ile.Kalamu,
Hakika toka siku ya kwanza nabisha hodi hapa nilinuia kuzungumza na dunia nzima.
Nimefanikiwa sana katika hilo.
Kalamu,Ni kama hujiamini kuwa umefanikiwa, kama inakulazimu kila mara kurudia yale yale ya kuipasha dunia nzima kuhusu habari ile ile.
Bahati yangu ni kujua darasa lipi la kujifunza na lipi ni la kuvurugana tu akili.Kalamu,
Kusomesha katika mtandao ni tofauti na kuwa na darasa ambalo wanafunzi wote unao kwenye chumba kimoja kwa wakati mmoja.
Katika mtandao uko katikati ya ''topic,'' anakuja mwanafunzi mpya kabisa ndiyo kwanza ananisoma.
Hapo ndipo ninaporudia somo ambalo pengine nimedhalisomesha miaka mitatu nyuma.
Bahati ni kama hii yako ya Kariakoo wakati nishaweka hapa historia ya TAA Kenya 1950 na Southern Rhodesia 1953.
Hapo siwezi kumwambia mwanafunzi wangu kuwa mbona somo hilo nishasomesha?
Narejea nyuma na kumwekea asome.
Hivi serikalini hawakuwemo waislam, au kuna maana nyingine inayolengwa?Pengine tutasimamisha shingo zetu na kusema "mzee mohammed ni mdini" lakini hatutathubutu kujiuliza hayo aliyoyafanya nyerere yalimaanisha nin! Hata bila kupepesa macho nyerere alikua na hofu dhidi ya waislam kuwa na nyadhfa za juu katika nchi hasa baada ya uhuru, na pia hakutaka ifahamike wazi kwamba vijana na wazee wengi sana wa kiislamu walikua nae bega kwa bega katika harakati za uhuru. Sababu ya kufanya hivo, anaijua ye mwenyew na pengine amekufa nayo kifuani.
Ante...Pengine tutasimamisha shingo zetu na kusema "mzee mohammed ni mdini" lakini hatutathubutu kujiuliza hayo aliyoyafanya nyerere yalimaanisha nin! Hata bila kupepesa macho nyerere alikua na hofu dhidi ya waislam kuwa na nyadhfa za juu katika nchi hasa baada ya uhuru, na pia hakutaka ifahamike wazi kwamba vijana na wazee wengi sana wa kiislamu walikua nae bega kwa bega katika harakati za uhuru. Sababu ya kufanya hivo, anaijua ye mwenyew na pengine amekufa nayo kifuani.
Yaleyale ya kusimulia habari kama ulikuwepo ukishuhudia mwenyewe!Ante...
Hakufanayo.
Prof. Haroub Othman alimkabili Mwalimu na kitabu cha Abdul Sykes.
Bahati nzuri Mwalimu alikuwa kakisoma kitabu.
Prof. Haroub alikwenda kwa Mwalimu kutafuta ukweli wa yale niliyoandika.
Wakawa wanakwenda moja baada ya jingine:
Prof. Haroub akamweleza Mwalimu kuwa yeye binafsi yale aliyosoma katika kitabu yamemshtua sana kwani Tanzania imejikuta ina historia mpya ya Nyerere na historia mpya ya kupigania uhuru wa Tanganyia kutoka vyanzo ambavyo hakuna anaeweza kuvipinga.
- Kweli ipo historia ya Wasilam ambayo haijaelezwa na kwa nini imekuwa hivyo?
- Yeye anaingiaje kwa Sykes na yale yaliyomo katika kitabu?
- nk. nk.
Sasa tunafanyaje?
Prof. Haroub aliuliza.
Haya yanatosha.
Ante...

Ufundi wa "kukoreza chumvi" nao unaweza kuwa kipaji. Katika hili wewe umejaaliwa sana kuwa na kipaji hicho.Ante...
Hakufanayo.
Prof. Haroub Othman alimkabili Mwalimu na kitabu cha Abdul Sykes.
Bahati nzuri Mwalimu alikuwa kakisoma kitabu.
Prof. Haroub alikwenda kwa Mwalimu kutafuta ukweli wa yale niliyoandika.
Wakawa wanakwenda moja baada ya jingine:
Prof. Haroub akamweleza Mwalimu kuwa yeye binafsi yale aliyosoma katika kitabu yamemshtua sana kwani Tanzania imejikuta ina historia mpya ya Nyerere na historia mpya ya kupigania uhuru wa Tanganyia kutoka vyanzo ambavyo hakuna anaeweza kuvipinga.
- Kweli ipo historia ya Wasilam ambayo haijaelezwa na kwa nini imekuwa hivyo?
- Yeye anaingiaje kwa Sykes na yale yaliyomo katika kitabu?
- nk. nk.
Sasa tunafanyaje?
Prof. Haroub aliuliza.
Haya yanatosha.
Kalamu,Bahati yangu ni kujua darasa lipi la kujifunza na lipi ni la kuvurugana tu akili.
Kalamu,Ufundi wa "kukoreza chumvi" nao unaweza kuwa kipaji. Katika hili wewe umejaaliwa sana kuwa na kipaji hicho.
Yaleyale ya kusimulia habari kama ulikuwepo ukishuhudia mwenyewe!
Kalamu,Yaleyale ya kusimulia habari kama ulikuwepo ukishuhudia mwenyewe!
Antenna,Tafadhari japo kwa uchache tufahamishe majibu ya nyerere juu ya maswali hayo.
Hakuna anayekuzuia kuamini upendavyo, na ni hivyo hivyo kwa wasioamini unayoamini wewe.Kalamu,
''Kukoleza.''
Mimi si mtu wa kubishana.
Lipo tatizo la historia ya Tanganyika ipo hoja imeletwa mimi nitajibu kama ninavyofahamu.
Ikiwa huamini sawa.
Sina ugomvi.
Muhimu nazungumza na dunia wako wengine watasoma na kupima na watajua ukweli.