Ni kwa namna gani Mimba itapatikana hapa?

Alvin Slain

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2011
Posts
6,375
Reaction score
3,663
Habar.

Hapa nilipo nimechanganyikiwa kabisa,
Kwa kuwa Mke wangu kanipigia sim akinieleza kaziona siku zake,

Kinyume na mimi nilivyokua natarajia kuwa ni mjamzito,
Wote ni wazima wa afya sijui ni nini tatizo juu ya hili,

Tafadhalini msaada unahitajika hapa.
Kumbukumbu zake aliingia period tarehe20/1/14
Leo tarehe 11/2/14 ameziona tena,

Sasa kwa mwanamke kama huyu siku yake ya kupata Ujauzito ni siku gani?

mzizimkavu SUZANE Baba V Himidini
Heaven on Earth
Kwenu wadau.
 
Kitu ambacho nilishauriwa mm, ni kuacha stress kabisa...

Yamkini hata ukiijua tarehe lkn ww au mwenza wako hamjatulia vzr mimba inakua ngumu kushika...
 
Sasa stress niaachaje wakati kila saa naliwaza hilo!!!
 
Mkuu punguza stress kbs.Kushika kwa ujauzito haiitaji uwe na stress.Relax wewe na shemeji.Kingine cheki tym nenda kwa tabibu wewe na shemeji.Thn eleza tatizo kwa watalaam watakupa majibu mazuri.Na pia check afya yako na ya shem kwenye ability ya kushika ujauzito.Kutokushika ujauzito kuna sababu nyingi saana...ikiwamo kuwepo na stress kati yenu,magonjwa mf U.T.I,S.TD haswaa syphilis,kuna lishe nzuri inahitajika ktk kurutubisha sperms ziweze kuwa na ability ya kufanya jambo wkt zkutanavyo na yai,pia lishe inahitajika kwa mwanamke ktk kuweka yai kuwa active,pia kuna matatizo ya mirija ya uzazi kuziba kwa kusababishwa na magonjwa hasa S.T.D,kuna mabo ya hormones etc,so kuna mambo mengi ya kucheki bro ktk kupata ujauzito ktk familia yak😵nana na specialists watabaini tatizo nini kati ya haya niliokueleza.Ni hayo tu.
 
Asante Mkuu shukrani
 
^^
Inawezekana ni kweli na hofu yako isiwe ya msingi wowote!
Maumbile ya wanawake hutofautiana sana hasa ktk mifumo ya ufanyaji kazi wa mwili ktk uzazi.
Na linapokuja suala la mimba ni haki yake kuwa tofauti kwa mabadiliko ya nje au ndani ya mwili.
La msingi, nenda hospitali mupata ushauri wa kitaalam.
Wala hutakiwi kuhofu ndio maana mimba hazitungwi siku moja kuepuka tabia za aina moja kwa watu duniani.

Himidini mbona unasema ndio maana mimba hazitungwi wakati mmoja?
 
Last edited by a moderator:
Uwezekano wa mimba kutungwa huongezeka kama tendo la ngono litafanyika kati ya siku ya 12 hadi 16 ya mzunguko wa hedhi ya mwanamke. Hata hivyo, ili uhakika wa kutunga mimba uwepo, na ni lazima kila kimoja ya hatua zifuatazo kikamilike bila dosari:

(1) Mbegu za kiume zilizokomaa na zisizo na ulemavu
(2) Yai la kike lililokomaa na limetoka kwenye Ovary kuanza safari kuja kwenye fallopian tubes
(3) Tendo la ngono linalofanikishwa na uume uliosimama na unaoweza kuingia katika via vya uzazi vya mwanamke
(4) Mbegu za kiume kumwagwa na kusafiri katika via vya uzazi vya mwanamke hadi kwenye fallopian tubes
(5) Kukutana kwa mbegu za kiume na yai la mwanamke katika fallopian tubes

Mleta mada, tumia hii checklist ujue ni wapi mnapata changamoto
 
No(1)Sasa unaposema Mbegu za Kiume ziluzokomaa unamaanisha nini wakati mtu yeyote mwenye umri wa Miaka 18, Huwa amekomaa.
Kwako Mama Mdogo
 
Last edited by a moderator:
No(1)Sasa unaposema Mbegu za Kiume ziluzokomaa unamaanisha nini wakati mtu yeyote mwenye umri wa Miaka 18, Huwa amekomaa.
Kwako Mama Mdogo

Kufikisha umri wa miaka 18 si hoja. Shahawa alizozalisha mwanaume aliye na umri wa miaka 18 au zaidi zaweza zisikomae kutokana na upungufu wa vichocheo (hormones), kupigwa mionzi (radiation), urithi (genetic), matumizi ya dawa za kulevya au pombe, busha, kuvimba tezi za kooni ukubwani (adult mumps), athari za dawa za kuua wadudu na lishe hafifu. Upo hapo??? Hivyo mwanamme waweza kuwa unazunguka wee na sruali yako kumbe mbegu zako hazikomai, majanga!!
 
Unadhani wanaume walioko katika kundi hili wafanye nini ili waweze kuwa sperm zilizojitosheleza Mama Mdogo
 
Last edited by a moderator:
Unadhani wanaume walioko katika kundi hili wafanye nini ili waweze kuwa sperm zilizojitosheleza Mama Mdogo

Wafanye nini??
upungufu wa vichocheo (hormones): wapate hormonal treatment, na ambayo ni ghali.
Kupigwa mionzi (radiation): hii ni ya kudumu hakuna dawa.
Urithi (genetic): hii ni ya kudumu hakuna dawa.
Matumizi ya dawa za kulevya au pombe: akiwahi kuacha na kutibiwa anaweza tia mimba, akichelewa ni utasa cha kudumu.
Busha: akiwahi kuacha na kutibiwa anaweza tia mimba, akichelewa ni utasa cha kudumu.
Kuvimba tezi za kooni ukubwani (adult mumps): hii ya kudumu hakuna dawa.
Athari za dawa za kuua wadudu: akiwahi kuacha kuathirriwa na dawa mapema anaweza tia mimba, akichelewa ni utasa cha kudumu.
Lishe hafifu: akiwahi na kuanza kula mlo ulio kamili anaweza tia mimba, akichelewa hadi uzeeni ni utasa cha kudumu.

Wewe kundi lako ni lipi?
 
Back
Top Bottom