Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwetu hii inawezekana katika umri mdogo kwasababu sio mimi nasimamia kila kitu. Na ukipewa mke unapewa na vianzio.Hoja zako ni fikirishi mkuu, ni ngumu sana kutengeneza mjadala mkubwa. Japo tunahitaji sana mada za hivi ili tusiogope maisha.
Hahaha...umenikumbusha kuna tangazo la Wimpy lipo DSTV. Mama anamnyima kijana amani kila akikaa kidogo "When are you getting married"ukiona mada zako za kindoa ndoa then umefika wakati wa kuoa,lol, wewe usiogope vuta mmoja uingie hakuna formular,kila mtu ana experience tofauti.....au unanipa 0.000000000000000000000000000000% Daby
Kuwa mpole mdogo wangu.....Katuandalie chai.Hahahaaaa!! Umenichekesha sana. Sidhani kama watakuwa wamesoma hadi mwisho.
Mi si nilikwambia acha uoga oa ukawa unambwela mbwela. Unaona sasa unatamani ungenisikiliza mapema[emoji12]
Enjoy mdogo wangu, ndoa ni baraka, baraka nyingi zizidi kuambatana nawe.
Hahaha...umenikumbusha kuna tangazo la Wimpy lipo DSTV. Mama anamnyima kijana amani kila akikaa kidogo "When are you getting married"
Wakipishana mlangoni "When are you getting married" Burger ilimwokoa.
-Tunaelimishana Beca mwenzio tayari mimi.
Siku hizi kama huna pesa hupati hata demu...Kua jobless then nenda kaoe sijui mtakula mapumbu humo ndani ya nyumba.
Sielewi kabisa kwa kweli.
You wish huh!!!Kuwa mpole mdogo wangu.....Katuandalie chai.
Siku hizi kama huna pesa hupati hata demu...
Kwa hiyo mkuu unashauri vijana tuoe kwenye 40s?Ndoa haiwezi kuwa chanzo cha mafanikio, never.
Ukiwa umeoa na una familia ni ngumu kujikita kwenye "high risk missions" za kuukimbiza "upepo wa pesa"!!
Ndoa itakufanya uwe limited, huwezi jichanganya na watu kisa wife atanuna akikuona na mtu flani.
Mwisho wa siku utabaki ulipo...
Kamwe siwezi mshauri mtu aoe mapema kama ana nia ya kusaka maisha unlimitedly!!!
Isaack newton hakua na mke, Mengi kaoa akiwa na 50+, gadiola kaoa akiwa na 40+, dangote hana mke, ndesa pesa hana mke... (the list goes)
Alafu wewe mwenzangu na mm unakimbilia kuoa...
hongera kama tayari....
tafuta mtu mna right Chemistry,mnasikilizana hata kama huongei jambo kashawaza unawaza nini,kama kakuboa au umemboa ana nguvu ya kusema hapa nimechukia......
Mtu wa hivi itakuwa rahisi kupanga nae lolote la maendeleo.......
Sio mtu ana elimu au ana kazi nzuri,siku mkipitia katika majaribu mkapata ajali au redundancy kazini,ndoa yenu inakufa kibudu...
Ndoa haiwezi kuwa chanzo cha mafanikio, never.
Ukiwa umeoa na una familia ni ngumu kujikita kwenye "high risk missions" za kuukimbiza "upepo wa pesa"!!
Ndoa itakufanya uwe limited, huwezi jichanganya na watu kisa wife atanuna akikuona na mtu flani.
Mwisho wa siku utabaki ulipo...
Kamwe siwezi mshauri mtu aoe mapema kama ana nia ya kusaka maisha unlimitedly!!!
Isaack newton hakua na mke, Mengi kaoa akiwa na 50+, gadiola kaoa akiwa na 40+, dangote hana mke, ndesa pesa hana mke... (the list goes)
Alafu wewe mwenzangu na mm unakimbilia kuoa...
Ngoja nikupe mifano miwili;Kua jobless then nenda kaoe sijui mtakula mapumbu humo ndani ya nyumba.
Sielewi kabisa kwa kweli.
Hata kwetu zamani ilikuwa hivyo, kwanza mahari tu tulikuwa tunasaidiwa kulipa, ng'ombe wanne, sukari/pombe, wazee walihakikisha wanakusaidia kulipa. Leo hii nani atakusaidia hayo, ukiamua kuoa jipange kuanzia mahari hadi kuanza maisha.Kwetu hii inawezekana katika umri mdogo kwasababu sio mimi nasimamia kila kitu. Na ukipewa mke unapewa na vianzio.
Lakini hii nayo haiendani na maisha ya sasa.