Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,894
- 76,810
- Thread starter
- #41
I do believe too.Hata kwetu zamani ilikuwa hivyo, kwanza mahari tu tulikuwa tunasaidiwa kulipa, ng'ombe wanne, sukari/pombe, wazee walihakikisha wanakusaidia kulipa. Leo hii nani atakusaidia hayo, ukiamua kuoa jipange kuanzia mahari hadi kuanza maisha.
Ila i believe in working together, wangapi walisema wataoa baada ya kupata hiki na kile, lakini hadi wanagota 35-40 maisha yao hayajabadilika kwa kiasi kikubwa na ndoa bado hawana.
ila sio kwa kijana asiye na "ramani". Wakati ule sio wa leo.
Women know to desrespect a jobless man.