I do believe too.Hata kwetu zamani ilikuwa hivyo, kwanza mahari tu tulikuwa tunasaidiwa kulipa, ng'ombe wanne, sukari/pombe, wazee walihakikisha wanakusaidia kulipa. Leo hii nani atakusaidia hayo, ukiamua kuoa jipange kuanzia mahari hadi kuanza maisha.
Ila i believe in working together, wangapi walisema wataoa baada ya kupata hiki na kile, lakini hadi wanagota 35-40 maisha yao hayajabadilika kwa kiasi kikubwa na ndoa bado hawana.
Atakuja tu usijali.@Mentor haji tu?
Mwingine unakuta kahangaika angalau kasogea ila sasa kuoa kunakuwa mtihani. Hapo unakuta alishapishana na potential wife wake wakati anajifanya busy na life.Hata kwetu zamani ilikuwa hivyo, kwanza mahari tu tulikuwa tunasaidiwa kulipa, ng'ombe wanne, sukari/pombe, wazee walihakikisha wanakusaidia kulipa. Leo hii nani atakusaidia hayo, ukiamua kuoa jipange kuanzia mahari hadi kuanza maisha.
Ila i believe in working together, wangapi walisema wataoa baada ya kupata hiki na kile, lakini hadi wanagota 35-40 maisha yao hayajabadilika kwa kiasi kikubwa na ndoa bado hawana.
Kwa hiyo mkuu unashauri vijana tuoe kwenye 40s?
Ila mbona folks wanasema "successful man" there is a woman behind??
Ni kweli, ila kuna kingine huwa nakiona, mtu akifanikiwa sana kabla ya kuoa haoni thamani ya ndoa kivile. Hata huyo mke akiingia ndani anakuwa sehemu ya assets tuMwingine unakuta kahangaika angalau kasogea ila sasa kuoa kunakuwa mtihani. Hapo unakuta alishapishana na potential wife wake wakati anajifanya busy na life.
Hapa umetuchoma sindano za moto tuliooa kwenye 30's...maanake tunachallenge
Daby usisikilize ushauri wa watu ambao wana negative attitude kuhusu ndoa..........
huyo mkaka haelewi Mungu ametuwekea muda,ukioa na miaka 40 utapata wapi nguvu za kulea familia yako...??
yaani mwanao anaingia chuo mwaka wa kwanza wewe una miaka 60..
au,wenzako wanakula pension wewe unahangaika na diapers!
nani kakuambia ukiwa na familia huwezi kupanga maendeleo,,?ukipata mtu mnaelewana ni blessing trust me chochote mnachoanza nacho kinakua strengthern....
familia tajiri zaidi duniani ni ya Rockawella(sijui kama nimepatia jina) ....lols
"Kuna wale wanapigana na maisha mwisho hawafaikiwi mafanikio anayoyabakiza ni kuoa tena kwa kuitwa na ndugu zake kijijini"Mwingine unakuta kahangaika angalau kasogea ila sasa kuoa kunakuwa mtihani. Hapo unakuta alishapishana na potential wife wake wakati anajifanya busy na life.
Hapa umetuchoma sindano za moto tuliooa kwenye 30's...
maanake tunachallenge
Daby usisikilize ushauri wa watu ambao wana negative attitude kuhusu ndoa..........
huyo mkaka haelewi Mungu ametuwekea muda,ukioa na miaka 40 utapata wapi nguvu za kulea familia yako...??
yaani mwanao anaingia chuo mwaka wa kwanza wewe una miaka 60..
au,wenzako wanakula pension wewe unahangaika na diapers!
nani kakuambia ukiwa na familia huwezi kupanga maendeleo,,?ukipata mtu mnaelewana ni blessing trust me chochote mnachoanza nacho kinakua strengthern....
familia tajiri zaidi duniani ni ya Rockawella(sijui kama nimepatia jina) ....lols
1. Nimesema usioe mapema sijasema/shauri uoe kwenye 40+. (soma kwa makini na uelewe).Kwa hiyo mkuu unashauri vijana tuoe kwenye 40s?
Ila mbona folks wanasema "successful man" there is a woman behind??
maanake tunachallenge
Daby usisikilize ushauri wa watu ambao wana negative attitude kuhusu ndoa..........
huyo mkaka haelewi Mungu ametuwekea muda,ukioa na miaka 40 utapata wapi nguvu za kulea familia yako...??
Hahahaaaaa!!! Ndugu wanakuita na kukupatia mke."Kuna wale wanapigana na maisha mwisho hawafaikiwi mafanikio anayoyabakiza ni kuoa tena kwa kuitwa na ndugu zake kijijini"
hawa nao vipi?
Hatuchekani tunakumbushana.
1. Ni sehemu gani Mungu ametuwekea muda wa kuoa? Unaweza nipa kifungu katika biblia?
2. Unasema utapata wapi nguvu ya kulea familia, ivi hamna watu wenye familia zao na hawana ndoa?
Nijibu tuendelee.
mimi mbona niko kwenye late 30 na sina ndoa,you can not go faster than ambavyo Mungu amekupangia,lol,wewe kazana kuengeneza happy home,hii ya kuwahi kuoa isiifikirie saana...πππ