Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
Taasisi binafsi zipo, mfano Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) wanatoa msaada wa kisheria.Nchi nyingi huwa na ofisi za huduma za kisheria zinazotoa msaada wa kisheria kwa wananchi wasio na uwezo wa kulipia huduma za mawakili binafsi. Huduma hizi zinaweza kujumuisha ushauri wa kisheria, usuluhishi wa migogoro, na hata uwakilishi kisheria kwa mahakamani.
Kuna mashirika mengi ya kutoa msaada wa kisheria ambayo yanaweza kutoa ushauri na msaada wa kisheria kwa wananchi. Mashirika haya yanaweza kuwa ya kiraia au yanaweza kuungwa mkono na serikali.
View attachment 2858507
Kuna jamaa mmoja alikuwa anasema kuna baadhi ya hizi taasisi wakiona kesi inahusisha mwananchi mnyonge ameshtaki kiongozi maarufu au serikali huwa wanaogopa kumsaidia.Taasisi binafsi zipo, mfano Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) wanatoa msaada wa kisheria.
Oh!Taasisi binafsi zipo, mfano Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) wanatoa msaada wa kisheria.
Wanatoa msaada ktk kesi fulani Fulani kama vile kesi za ardhi, au Mirathi, lakini mara nyingi huwa hawajihusishi sana na masuala ya Kesi za Jinai.Kuna jamaa mmoja alikuwa anasema kuna baadhi ya hizi taasisi wakiona kesi inahusisha mwananchi mnyonge ameshtaki kiongozi maarufu au serikali huwa wanaogopa kumsaidia.
Yamekuwa yakifadhiliwa na Wafadhili mbalimbali, ikiwamo na Serikali ya Tz, Serikali za nchi za nje na pamoja na Taasisi zingine nyingi.Hayo mashirika yanalipwa na nani?
OkYamekuwa yakifadhiliwa na Wafadhili mbalimbali, ikiwamo na Serikali ya Tz, Serikali za nchi za nje na pamoja na Taasisi zingine nyingi.