Kwani polisi wa Ulaya wanapataje ushaidi?
Uko sawa mkuu. Kuwa na amani..sina uhakika, lakini nadhani kuna mtu anaitwa " MLINZI WA AMANI " ambaye kama mtuhumiwa amekiri anatakiwa asainishwe maelezo baada ya akishuhudiwa na mlinzi wa amani.
..kama kumbukumbu zangu ziko vizuri watuhumiwa wa kesi ya uhaini ya miaka ya 80 wale waliokiri walisainishwa maelezo wakishuhudiwa na mlinzi wa amani.
..Naomba kusahihishwa na Wanasheria kama nimekosea.
Cc Pascal Mayalla, Petro E. Mselewa
Nakuelewa ila maelezo zaidi yanatakiwa. Mfano mtu katuhumiwa kuiba pesa akiwa mtumishi - DNA inasaaidia vipi hapo?Very easy mkuu,polisi wetu wanahitaji kupata mafunzo ya kuwawezesha kumudu majukumu yao hasa detectives,wajue jinsi ya to secure and to approach crime scenes,wajue kuwa ni vema na sheria kumhoji suspect kwa facts sio vitisho,ni muhimu watumie science na technology mpya ili kujenga watertight case dhidi ya suspect,DNA ipo na waitumie kwenye kazi zao
Uko sawa mkuu. Kuwa na amani
Mkuu, mlinzi wa amani ni kiongozi wa kiserikali kwa ngazi ya kijiji, kitongoji, mtaa au kata. Huyu ni Mtendaji wa eneo husika, yaani, Mtendaji wa Kijiji, Mtendaji wa Mtaa, Mtendaji wa Kata na kadhalika. Kuwa mlinzi wa amani ni moja ya majukumu ya kisheria ya Mtendaji tajwa...kaka naomba ufafanuzi kuhusu huyo anayeitwa " mlinzi wa amani. "
..mara ya mwisho kumsikia ni wakati nafuatilia ile kesi ya uhaini zama zile.
..nimekuja kukumbuka wakati huu wa kesi ya Mbowe na wenzake watatu.
..asante.
Siku ndugu yako akikamatwa kawaambie Polisi hamfungwi mikono pigeni mpaka aseme. Ushabiki mwingine wa kihuni mnaleta. Nani kakwambia Polisi chuoni wanafundishwa kutesa watu?Msingi wa kesi za jinai ni maelezo yanayochukuliwa na polisi kutoka kwa watuhumiwa.
Katika uchukuaji wa maelezo kutoka kwa watuhumiwa polisi wanatakiwa wasionekane wametumia vitisho wala nguvu...
Marekani ipo Ulaya,au sio?Mkuu hii ni marekani
The question of torture
Huu ni mchango wa kwanza wa mipasho. Uwe unaona aibu kidogo basi hata kama unatumia jina bandia. Hapa uache mipasho.Hii ni common sense tu,ushahidi mwingi maelezo kidogo. mmeshindwa kupata ushahidi wa maana mnajifichia kwenye maelezo ambayo mmeyapata kwa vitisho.vipi kesho nikiandika Sirro gaidi mtachukua hayo maelezo? au mtataka ushahidi?
Msingi wa kesi za jinai ni maelezo yanayochukuliwa na polisi kutoka kwa watuhumiwa.
Katika uchukuaji wa maelezo kutoka kwa watuhumiwa polisi wanatakiwa wasionekane wametumia vitisho wala nguvu...