Ni kwa namna ipi polisi wanaweza kupata maelezo ya mtuhumiwa bila kumtisha au kumtesa?

Ni kwa namna ipi polisi wanaweza kupata maelezo ya mtuhumiwa bila kumtisha au kumtesa?

Marekani sio Ulaya
Mkuu hii ni marekani
The question of torture
The issue of torture, and the US authorities' secrecy about its use, also continues to cast a long shadow over proceedings, with arguments about what evidence is admissible given what the defendants were subjected to at Guantanamo Bay and so-called 'Black sites' elsewhere.
 
Msingi wa kesi za jinai ni maelezo yanayochukuliwa na polisi kutoka kwa watuhumiwa.

Katika uchukuaji wa maelezo kutoka kwa watuhumiwa polisi wanatakiwa wasionekane wametumia vitisho wala nguvu...
Siku ndugu yako akikamatwa kawaambie Polisi hamfungwi mikono pigeni mpaka aseme. Ushabiki mwingine wa kihuni mnaleta. Nani kakwambia Polisi chuoni wanafundishwa kutesa watu?

Huo utesaji wanafundishwa na kina Msangi na Kingai vituoni ndo maana Aina Yao ya mateso utaaikia ni kuning'iniza watu kama popo na kubinya pumbu.
 
Wakajifunze Ulaya

Summary​

The U.K. government is detaining foreign terrorist suspects indefinitely, a serious violation of its international human rights obligations. Rather than crafting counter-terrorism measures that comply with domestic and international human rights law, the government instead declared a state of emergency and officially suspended (“derogated” from) key human rights protections.

Part 4 of the Anti-Terrorism Crime and Security Act 2001 (ATCSA) allows for the indefinite detention of foreign nationals designated as terror suspects. Those currently detained without charge under it have no expectation of release.

Their detention amounts to internment2 with no end in sight.3 Some of those detained under the act have been held since December 2001 in maximum security facilities, with an adverse impact on their physical and their mental health.

The mechanism by which they are able to challenge the lawfulness of their detention falls far short of the standards required for those charged with a criminal offence.

Umeelewa kilichoandikwa hapa?

Summary​

The U.K. government is detaining foreign terrorist suspects indefinitely, a serious violation of its international human rights obligations. Rather than crafting counter-terrorism measures that comply with domestic and international human rights law...
 
Siku ndugu yako akikamatwa kawaambie Polisi hamfungwi mikono pigeni mpaka aseme. Ushabiki mwingine wa kihuni mnaleta. Nani kakwambia Polisi chuoni wanafundishwa kutesa watu? Huo utesaji wanafundishwa na kina Msangi na Kingai vituoni ndo maana Aina Yao ya mateso utaaikia ni kuning'iniza watu kama popo na kubinya pumbu.
Ungekuwa wewe ni polisi ajira ambayo uliitafuta ukaikosa ungefanyaje? Hii ndiyo hoja tunajadiliana. Kwa bahati mbaya wewe unataka kuleta malumbano- hatuna nafasi hiyo.
 
Umeelewa kilichoandikwa hapa?
Unamashaka na uelewa wangu? Kwa taarifa yako nilikuwa naonyesha kuwa hata huko Ulaya na Marekani tuhuma za matumizi ya vitisho na mateso zipo kwa mamlaka ikiwemo polisi.
 
Msingi wa kesi za jinai ni maelezo yanayochukuliwa na polisi kutoka kwa watuhumiwa.

Katika uchukuaji wa maelezo kutoka kwa watuhumiwa polisi wanatakiwa wasionekane wametumia vitisho wala nguvu....
Ungesema namna ipi polisi wanaweza kupata maelezo ya mtuhumiwa aliyekiri bila vitisho.

Any way nimekuelewa. Hata kama mtuhumiwa ametoa maelezo yake mbele ya polisi na akakiri kwa hiari yake, kamwe mtuhumiwa huyo atayakana maelezo hayo mahakamani.

La msingi ni polisi kufuata kanuni na utaratibu wa uandishi wa maelezo ya mtuhumiwa kama vitabu vya sheria vinavyoelekeza. Nzuri zaidi amuhusishe ndugu, rafiki au mwanasheria wake wakati akiandika maelezo hayo.
 
Mkuu, mlinzi wa amani ni kiongozi wa kiserikali kwa ngazi ya kijiji, kitongoji, mtaa au kata. Huyu ni Mtendaji wa eneo husika, yaani, Mtendaji wa Kijiji, Mtendaji wa Mtaa, Mtendaji wa Kata na kadhalika. Kuwa mlinzi wa amani ni moja ya majukumu ya kisheria ya Mtendaji tajwa.
Mlinzi wa amani ninaemjua mimi ni hakimu wa mahakama ya mwanzo.
 
..sina uhakika, lakini nadhani kuna mtu anaitwa " MLINZI WA AMANI " ambaye kama mtuhumiwa amekiri anatakiwa asainishwe maelezo baada ya akishuhudiwa na mlinzi wa aman...
Siyo hivyo mkuu. Endapo mtuhumiwa amekiri mbele ya Afisa wa polisi unashauliwa lakini siyo lazima mtuhumiwa huyo apelekwa kwa mlinzi wa amani aandikwe maelezo na mlinzi huyo wa amani. Maelezo hayo huitwa extra judicial statement.
 
..asante.
 
Kutesa mtuhumiwa ni uvivu wa Polisi kufanya upelelezi.

Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
Lakini sheria hiyo hiyo inampa mandate ya kumtesa mtuhumiwa endapo anaamini kwa 100% mtuhumiwa huyo ana/anamiliki vitu hatarishi kama silaha. Ukimtesa mtuhumiwa na akatoa silaha mateso hayo kisheria ni admissible
 
..akikutwa hana silaha na askari amemtesa kuna remedy zozote mtuhumiwa ana haki nazo? Pia taratibu za kupata remedy ni zipi?
 
Sheria zinawataka wachukue maelezo ya watuhumiwa ndani ya masaa manne tokea wamewakamata.

Na pia wanatakiwa wawapeleke mahakamani ktk muda usiozidi masaa 24. Wakizingatia haya watapunguza sintofahamu ya mtuhumiwa kusema aliteswa.

Na kama wanataka waaminiwe zaidi wawe wanawachukua video wakati wote wa kuwahoji.

Video hizi zianze kwa mtuhumiwa kueleza mwenyewe kwa hiari yake mazingira ya kukamatwa hadi muda huo anaohojiwa ili asije akasema nilihojiwa pembeni ya Camera.
Hilo la kuchuliwa video wakati wa kuanza mahojiano ndiyo kila kitu,na inatakiwa liwe sheria. Mwisho ni lazima kuwe na chombo/baraza la kupokea malalamiko ya utendaji usioridhisha wa polisi. Hiki chombo kiwe independent na kiwe na mamlaka ya kuamuru polisi husika achukuliwe hatua kali.
 
Mkuu hii ni marekani​

The question of torture​

The issue of torture, and the US authorities' secrecy about its use, also continues to cast a long shadow over proceedings, with arguments about what evidence is admissible given what the defendants were subjected to at Guantanamo Bay and so-called 'Black sites' elsewhere.
Hatuna ulazima wowote wa kuiga Marekani. Mbona Magereza ya Marekani mfungwa ana conjugal right na hatuwaigi?
 
Hatuna ulazima wowote wa kuiga Marekani. Mbona Magereza ya Marekani mfungwa ana conjugal right na hatuwaigi?
sayansi ya utawala tunayotumia ni ya Ulaya/Marekani- na wewe unasema huigi- SAWA endelea kuamini hivyo
 
Ulaya na Marekani huo udhalimu wa polisi na taasisi za ujasusi upo ila huwa wanawafanyia watu kutoka nje ambao sio raia wa nchi zao.

Gaidi Mzungu wa dini ya Kikiristo na Gaidi Mwarabu wa dini ya Kiislamu huko huwa wanapata treatment tofauti kabisa kuanzia kwenye vyombo vya habari, uchunguzi, mahakamani na hata gerezani.
Unamashaka na uelewa wangu? Kwa taarifa yako nilikuwa naonyesha kuwa hata huko Ulaya na Marekani tuhuma za matumizi ya vitisho na mateso zipo kwa mamlaka ikiwemo polisi.
 
Hilo la kuchuliwa video wakati wa kuanza mahojiano ndiyo kila kitu,na inatakiwa liwe sheria. Mwisho ni lazima kuwe na chombo/baraza la kupokea malalamiko ya utendaji usioridhisha wa polisi. Hiki chombo kiwe independent na kiwe na mamlaka ya kuamuru polisi husika achukuliwe hatua kali.
Nadhani utaratubu huu upo kupitia mahakama zao za kijeshi
 
Back
Top Bottom