Mkuu hii ni marekani
The question of torture
The issue of torture, and the US authorities' secrecy about its use, also continues to cast a long shadow over proceedings, with arguments about what evidence is admissible given what the defendants were subjected to at Guantanamo Bay and so-called 'Black sites' elsewhere.
Siku ndugu yako akikamatwa kawaambie Polisi hamfungwi mikono pigeni mpaka aseme. Ushabiki mwingine wa kihuni mnaleta. Nani kakwambia Polisi chuoni wanafundishwa kutesa watu?Msingi wa kesi za jinai ni maelezo yanayochukuliwa na polisi kutoka kwa watuhumiwa.
Katika uchukuaji wa maelezo kutoka kwa watuhumiwa polisi wanatakiwa wasionekane wametumia vitisho wala nguvu...
Wakajifunze Ulaya
Unaitengaje Marekani na Ulaya?
kuwa muelewa basiUnaitengaje Marekani na Ulaya?
Summary
The U.K. government is detaining foreign terrorist suspects indefinitely, a serious violation of its international human rights obligations. Rather than crafting counter-terrorism measures that comply with domestic and international human rights law...
Ungekuwa wewe ni polisi ajira ambayo uliitafuta ukaikosa ungefanyaje? Hii ndiyo hoja tunajadiliana. Kwa bahati mbaya wewe unataka kuleta malumbano- hatuna nafasi hiyo.Siku ndugu yako akikamatwa kawaambie Polisi hamfungwi mikono pigeni mpaka aseme. Ushabiki mwingine wa kihuni mnaleta. Nani kakwambia Polisi chuoni wanafundishwa kutesa watu? Huo utesaji wanafundishwa na kina Msangi na Kingai vituoni ndo maana Aina Yao ya mateso utaaikia ni kuning'iniza watu kama popo na kubinya pumbu.
Ungesema namna ipi polisi wanaweza kupata maelezo ya mtuhumiwa aliyekiri bila vitisho.Msingi wa kesi za jinai ni maelezo yanayochukuliwa na polisi kutoka kwa watuhumiwa.
Katika uchukuaji wa maelezo kutoka kwa watuhumiwa polisi wanatakiwa wasionekane wametumia vitisho wala nguvu....
Mlinzi wa amani ninaemjua mimi ni hakimu wa mahakama ya mwanzo.Mkuu, mlinzi wa amani ni kiongozi wa kiserikali kwa ngazi ya kijiji, kitongoji, mtaa au kata. Huyu ni Mtendaji wa eneo husika, yaani, Mtendaji wa Kijiji, Mtendaji wa Mtaa, Mtendaji wa Kata na kadhalika. Kuwa mlinzi wa amani ni moja ya majukumu ya kisheria ya Mtendaji tajwa.
Siyo hivyo mkuu. Endapo mtuhumiwa amekiri mbele ya Afisa wa polisi unashauliwa lakini siyo lazima mtuhumiwa huyo apelekwa kwa mlinzi wa amani aandikwe maelezo na mlinzi huyo wa amani. Maelezo hayo huitwa extra judicial statement...sina uhakika, lakini nadhani kuna mtu anaitwa " MLINZI WA AMANI " ambaye kama mtuhumiwa amekiri anatakiwa asainishwe maelezo baada ya akishuhudiwa na mlinzi wa aman...
Siyo hivyo mkuu. Endapo mtuhumiwa amekiri mbele ya Afisa wa polisi unashauliwa lakini siyo lazima mtuhumiwa huyo apelekwa kwa mlinzi wa amani aandikwe maelezo na mlinzi huyo wa amani. Maelezo hayo huitwa extra judicial statement.
Lakini sheria hiyo hiyo inampa mandate ya kumtesa mtuhumiwa endapo anaamini kwa 100% mtuhumiwa huyo ana/anamiliki vitu hatarishi kama silaha. Ukimtesa mtuhumiwa na akatoa silaha mateso hayo kisheria ni admissibleKutesa mtuhumiwa ni uvivu wa Polisi kufanya upelelezi.
Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
Lakini sheria hiyo hiyo inampa mandate ya kumtesa mtuhumiwa endapo anaamini kwa 100% mtuhumiwa huyo ana/anamiliki vitu hatarishi kama silaha. Ukimtesa mtuhumiwa na akatoa silaha mateso hayo kisheria ni admissible
Hilo la kuchuliwa video wakati wa kuanza mahojiano ndiyo kila kitu,na inatakiwa liwe sheria. Mwisho ni lazima kuwe na chombo/baraza la kupokea malalamiko ya utendaji usioridhisha wa polisi. Hiki chombo kiwe independent na kiwe na mamlaka ya kuamuru polisi husika achukuliwe hatua kali.Sheria zinawataka wachukue maelezo ya watuhumiwa ndani ya masaa manne tokea wamewakamata.
Na pia wanatakiwa wawapeleke mahakamani ktk muda usiozidi masaa 24. Wakizingatia haya watapunguza sintofahamu ya mtuhumiwa kusema aliteswa.
Na kama wanataka waaminiwe zaidi wawe wanawachukua video wakati wote wa kuwahoji.
Video hizi zianze kwa mtuhumiwa kueleza mwenyewe kwa hiari yake mazingira ya kukamatwa hadi muda huo anaohojiwa ili asije akasema nilihojiwa pembeni ya Camera.
Hatuna ulazima wowote wa kuiga Marekani. Mbona Magereza ya Marekani mfungwa ana conjugal right na hatuwaigi?Mkuu hii ni marekani
The question of torture
The issue of torture, and the US authorities' secrecy about its use, also continues to cast a long shadow over proceedings, with arguments about what evidence is admissible given what the defendants were subjected to at Guantanamo Bay and so-called 'Black sites' elsewhere.
Guantanamo Bay: In a courtroom, just feet away from 9/11 suspects
Aleem Maqbool was one of only a handful of journalists in court to see the 9/11 hearings unfold.www.bbc.com
Unamashaka na uelewa wangu? Kwa taarifa yako nilikuwa naonyesha kuwa hata huko Ulaya na Marekani tuhuma za matumizi ya vitisho na mateso zipo kwa mamlaka ikiwemo polisi.
Nadhani utaratubu huu upo kupitia mahakama zao za kijeshiHilo la kuchuliwa video wakati wa kuanza mahojiano ndiyo kila kitu,na inatakiwa liwe sheria. Mwisho ni lazima kuwe na chombo/baraza la kupokea malalamiko ya utendaji usioridhisha wa polisi. Hiki chombo kiwe independent na kiwe na mamlaka ya kuamuru polisi husika achukuliwe hatua kali.