Ni kwa nini IFM inatunuku shahada (Degree) wakati siyo Chuo Kikuu?


UDOM Wanatoa PhD,.Na Mmoja wa wahitimu wa hy PhD ni aliyekuwa Waziri wa habari na michezo Seif Khatibu
 
Hatuwezi kukubali kuzalisha wasomi fake kama wewe, kama unajiandaa kujiunga na elimu ya juu na hata hujui kusoma dictionary nadhani una zaidi ya tatizo.

Kuuliza sio ujinga, Ka unajibu unaona tabu gani kulitoa!? Na kama hauna umeona tabu gani kuuchuna!? Sio ustaarabu kuanza kumletea kashfa mtu anayeuliza!?
 
Si lazima chuo kiitwe 'university' ndo kitoe degree, hujafanya utafiti coz hata nchi zilizoendelea utaona kuna vyuo vingi vinaitwa 'school of bisness adminitrn', 'institute of techn' yani vina majina yanayorandana na field yake. Ni upuuzi kufikiri 'university' ndo inatoa degree tu! Hebu tafiti kidogo.
 

Hii ni taasisi kweli haina hadhi ya chuokikuu
 
wataalam watalizungumzia hilo kwa undani zaid,lakni ni kweli kabisa IFM ni taasisi tu cjui wanapata wapi mamlaka ya kutunuku degree!!!
 
"institution"
is an organisation which are
carrying out research at higher
level or profession bodies of the
highest standing
or
is a permanent organisational body
created for a certain purpose !!
in some countrie s instute can be a
part of university or other instute of
higher education either as a group
of department or an autonomous
education institution without a
tradional university status
 
mbona hamuongelei. Tanzania institute of accoutancy (Taasisi ya uhazibu)
 
Ni sawa na mtu aliyepata div 1 na aliyepata division 3 katika necta ikatokea wamepangiwa chuo kimoja koz moja, huyu mwenye div 1 kama ni mtu wa wivu anaweza akajiuliza kwa nini huyu jamaa nimempita pakubwa then wote tumeangukia sehemu moja. Sasa hili ndilo tatzo alilokuwa nalo mtoa mada inawezekana kuna mwenzake amechaguliwa IFM naye amechaguliwa may be UDSM au Mzumbe hvo anapata wivu kwamba yeye yuko university na mwenzake yuko ktk institute ila mwisho wa siku wote wanapata degree, alitegemea huyu wa IFM apewe diploma ili yeye aonekane yupo juu zaidi. Na mbna ameitaja IFM tu wakati kuna IAA, DIT,MIT na vip kuhusu CBE.
 

Pia kuna hii ITA wataalam nayo mnaisemaje?
 

Mhh mpaka sasa bado una amini hivyo ndugu??
 

Yaani mfano wako hata hauendani na thread
 
California Institute of Technology,
Georgia Institute of Technology,
Colorado Institute of Technology,
Dar es Salaam Institute of Technology,
Durban Institute of Technology,
Hizo ni baadhi ya Taasisi zinazotoa Bachelor Degree, so make sure u do some research before
 
IFM ilikuwa inatoa "Advance diploma" miaka ya nyuma na ilipofika mwaka 2008 ikawa upgraded na kuanza kutunuku degree.

Vilevile Advance diploma uchukuliwa kama equivalent to degree.

NB: Sio tu IFM pekee iliyokuwa ikitoa advance diploma, bali taasisi zote nchini, kama vile IAA, DIT, TIA n.k
 
Mkuu wewe umemsoma vizuri huyu mtoa mada! Wakati naingia A level niliingia na division 2. Lakini darasani tulikuwa na watu waliokuwa na division 1 kali tu. Nilikuwa naona kama wanajisikia vibaya hivi na mara nyingi walikuwa wapweke. Mwisho wa siku wote tulikuja pata degree! Ni tabia za ki binafsi tu.
 
wewe ni MSAJILI wa vyuo au?
 
institute maanake ni taasii iliyospecilise katika kitu fulani na in hadhi ya kutoa shahada mfano dit ina deal na masuala ya teknolojia ifm ina deal na mambo ya fedha na vingine vingi,university ni taasisi ambayo inatoa shahada ya vitu mbalimbali ya haijaspecilize katika kitu kimoja mfano udsm,udom zinatoa sociology,education,maedicine,finance n.k wakubwa mpoo
 
msaidie kaelemewa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…