Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Kama una access tuwekee
Kuna watu mnashangaza sana humu JF! sasa kazi ya Google ni nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama una access tuwekee
Chuo kikuu cha Dodoma kilipomtunuku PHD Jakaya Kikwete nilishtuka na kutoa mchango wangu kuwa chuo hicho hakijafikiwa kiwango cha kutunuku PHD kwa vile hakina fakati ya PHD, lakini wenye hamasa za kiitikadi walinijia juu. Mengi yanayofanyika hapa Tanzania kwa sasa ni kiinimacho, ni sawa na chombo kubaki kinaelea baharini bila mwongozaji huku kikipigwa na mawimbi na kukosa mwelekeo, ndio maana mapapa na nyangumi wanaendelea kupiga mbizi ili mawimbi yaizamishe ili wafaidi yaliyomo.
Hatuwezi kukubali kuzalisha wasomi fake kama wewe, kama unajiandaa kujiunga na elimu ya juu na hata hujui kusoma dictionary nadhani una zaidi ya tatizo.
Jamani nijuavyo mimi ni kwamba Shahada (Digrii) zinatunukuwa na Vyuo Vikuu pamoja na Vyuo Vishiriki vilivyo chini ya Vyuo Vikuu husika lakini nimekuwa nikijiuliza ni kwa nini 'Taasisi ya Usimamizi wa Fedha (Institute of Financial Management - IFM) imepewa mamlaka ya kutunuku Shahada za Uhasibu, Taxation, IT etc kwa wahitimu wake wakati siyo Chuo Kikuu?
Ni sawa na mtu aliyepata div 1 na aliyepata division 3 katika necta ikatokea wamepangiwa chuo kimoja koz moja, huyu mwenye div 1 kama ni mtu wa wivu anaweza akajiuliza kwa nini huyu jamaa nimempita pakubwa then wote tumeangukia sehemu moja. Sasa hili ndilo tatzo alilokuwa nalo mtoa mada inawezekana kuna mwenzake amechaguliwa IFM naye amechaguliwa may be UDSM au Mzumbe hvo anapata wivu kwamba yeye yuko university na mwenzake yuko ktk institute ila mwisho wa siku wote wanapata degree, alitegemea huyu wa IFM apewe diploma ili yeye aonekane yupo juu zaidi. Na mbna ameitaja IFM tu wakati kuna IAA, DIT,MIT na vip kuhusu CBE.

wewe ni MSAJILI wa vyuo au?Jamani nijuavyo mimi ni kwamba Shahada (Digrii) zinatunukuwa na Vyuo Vikuu pamoja na Vyuo Vishiriki vilivyo chini ya Vyuo Vikuu husika lakini nimekuwa nikijiuliza ni kwa nini 'Taasisi ya Usimamizi wa Fedha (Institute of Financial Management - IFM) imepewa mamlaka ya kutunuku Shahada za Uhasibu, Taxation, IT etc kwa wahitimu wake wakati siyo Chuo Kikuu?
msaidie kaelemewa!Mkuu wewe umemsoma vizuri huyu mtoa mada! Wakati naingia A level niliingia na division 2. Lakini darasani tulikuwa na watu waliokuwa na division 1 kali tu. Nilikuwa naona kama wanajisikia vibaya hivi na mara nyingi walikuwa wapweke. Mwisho wa siku wote tulikuja pata degree! Ni tabia za ki binafsi tu.