Kwani ye nan mpaka asiuawe,wanaokuja watakusimuliaa
Kuna vifo ambavyo vina utata kulingana na mazingira ya utokeaji wake. Kufa kupo na kila mtu atakufa ndio maana sijauliza kwa nini alikufa. Naulizia sababu za kifo cha aina ile kumpata yeye. Ni sawa na diamond leo itokee amepigwa risasi kwenye gari lake na hakuna kilichoporwa. Ni lazima wapenzi wa mziki wake watajiuliza maswali mengi!
Its not Easy........naupenda huu wimbo
Sijawahi kujua kisa chaa Kifo chake ila nimejaribu kufatilia
naona waliosema haikuwa reason ya ukweli
Its not Easy........naupenda huu wimbo
Sijawahi kujua kisa chaa Kifo chake ila nimejaribu kufatilia
naona waliosema haikuwa reason ya ukweli
i gat u baby... naupenda sana wimbo huu hakuna,
'I remember the day, I called mama on the telephone. I told her mammaa, am getting married! I could hear a voice from the other side of the telephone, she was smiling and she asked a question that I proudly answered! She said son, did you take time to know her? I told her mammaa she is the best!"" Loh! Nikiusikilizaga huu wimbo huwa namkumbuka dada mmoja ambaye nilimtambulisha home akaja kunikimbia kutokana na matatizo yaliyonikumba.Its not Easy........naupenda huu wimbo
Sijawahi kujua kisa chaa Kifo chake ila nimejaribu kufatilia
naona waliosema haikuwa reason ya ukweli
'I remember the day, I called mama on the telephone. I told her mammaa, am getting married! I could hear a voice from the other side of the telephone, she was smiling and she asked a question that I proudly answered! She said son, did you take time to know her? I told her mammaa she is the best!"" Loh! Nikiusikilizaga huu wimbo huwa namkumbuka dada mmoja ambaye nilimtambulisha home akaja kunikimbia kutokana na matatizo yaliyonikumba.
Mbona una mix.......hao ni UB arobaini bana......
Kwa wale wapenzi wa reggae, hili swali huwa najiuliza lakini sipati jibu. Wakati anauawa alipigwa risasi tu wala hawakuchukua chochote. Walitumwa? Kuna miaka niliwahi sikia kwamba yeye ndio chanzo cha kifo cha Senzo. Je, ni kweli? Yawezekana ilikuwa ni kulipiza kisasi? Kuna wimbo wa Crime and corruption ukiusikiliza maudhui yake ndicho kilichomtokea yeye. Nani walihusika kumuua?
hahaaaaa pole.......kwa yaliyokusibu
halafu kuna ile sehem anasema
Now I know what they mean when they say
Beautiful woman is another mans play thing
Ohh Lord am hurting now..........