Nyalotsi
JF-Expert Member
- Jul 20, 2011
- 6,986
- 5,058
Kwa wale wapenzi wa reggae, hili swali huwa najiuliza lakini sipati jibu. Wakati anauawa alipigwa risasi tu wala hawakuchukua chochote. Walitumwa? Kuna miaka niliwahi sikia kwamba yeye ndio chanzo cha kifo cha Senzo.
Je, ni kweli? Yawezekana ilikuwa ni kulipiza kisasi? Kuna wimbo wa Crime and corruption ukiusikiliza maudhui yake ndicho kilichomtokea yeye. Nani walihusika kumuua?
Je, ni kweli? Yawezekana ilikuwa ni kulipiza kisasi? Kuna wimbo wa Crime and corruption ukiusikiliza maudhui yake ndicho kilichomtokea yeye. Nani walihusika kumuua?