Ni kwa nini Lucky Dube aliuawa?

Ni kwa nini Lucky Dube aliuawa?

Nyalotsi

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2011
Posts
6,986
Reaction score
5,058
Kwa wale wapenzi wa reggae, hili swali huwa najiuliza lakini sipati jibu. Wakati anauawa alipigwa risasi tu wala hawakuchukua chochote. Walitumwa? Kuna miaka niliwahi sikia kwamba yeye ndio chanzo cha kifo cha Senzo.

Je, ni kweli? Yawezekana ilikuwa ni kulipiza kisasi? Kuna wimbo wa Crime and corruption ukiusikiliza maudhui yake ndicho kilichomtokea yeye. Nani walihusika kumuua?
 
Kwani ye nan mpaka asiuawe,wanaokuja watakusimuliaa
 
Kwani ye nan mpaka asiuawe,wanaokuja watakusimuliaa

Kuna vifo ambavyo vina utata kulingana na mazingira ya utokeaji wake. Kufa kupo na kila mtu atakufa ndio maana sijauliza kwa nini alikufa. Naulizia sababu za kifo cha aina ile kumpata yeye. Ni sawa na diamond leo itokee amepigwa risasi kwenye gari lake na hakuna kilichoporwa. Ni lazima wapenzi wa mziki wake watajiuliza maswali mengi!
 
Ni kweli mkuu, ila ningekusaidia uende kule jamii intelligence, kule utakutana na akina Pasco nadhan watakudadavulia vizuri ..karibu tena
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli mkuu, ila ningekusaidia uende kule jamii intelligence, kule utakutana na akina Pasco nadhan watakudadavulia vizuri ..karibu tena

Duh! Ina maana huku huwa hawaji! Ngoja niwaombe wakuu wa nyumba. Cc Invisible
 
Last edited by a moderator:
Nilisikitika kweli..,my dad anapenda nyimbo zake,tulivokuwa wadogo tumesikilizishwa hzo hadi tulizicrame
 
Its not Easy........naupenda huu wimbo

Sijawahi kujua kisa chaa Kifo chake ila nimejaribu kufatilia
naona waliosema haikuwa reason ya ukweli
 
Its not Easy........naupenda huu wimbo

Sijawahi kujua kisa chaa Kifo chake ila nimejaribu kufatilia
naona waliosema haikuwa reason ya ukweli

Yah naikubali sana, mkasa wa huu wimbo unasikitisha na kusisimua, " mama said to me, its not easy, to understand it son but I hope sijui nini yan dah nyimbo Kali sana
 
i gat u baby... naupenda sana wimbo huu hakuna,
 
Wimbo wake wa shuttup i you cant say something goof to some one shutup R.I.P DUBE
 
Kitu cha taxman. Daah jamaa alinifanya nikalia siku ya kifo chake.
 
Its not Easy........naupenda huu wimbo

Sijawahi kujua kisa chaa Kifo chake ila nimejaribu kufatilia
naona waliosema haikuwa reason ya ukweli

'It's not easy, To understand it son! But, I hope you'll marry again, you'll be happy again!' Huu wimbo ni kwa vijana wanaooa bila kusikiliza ushauri wa wazazi.
 
Its not Easy........naupenda huu wimbo

Sijawahi kujua kisa chaa Kifo chake ila nimejaribu kufatilia
naona waliosema haikuwa reason ya ukweli
'I remember the day, I called mama on the telephone. I told her mammaa, am getting married! I could hear a voice from the other side of the telephone, she was smiling and she asked a question that I proudly answered! She said son, did you take time to know her? I told her mammaa she is the best!"" Loh! Nikiusikilizaga huu wimbo huwa namkumbuka dada mmoja ambaye nilimtambulisha home akaja kunikimbia kutokana na matatizo yaliyonikumba.
 
hahaaaaa pole.......kwa yaliyokusibu
halafu kuna ile sehem anasema
Now I know what they mean when they say
Beautiful woman is another mans play thing
Ohh Lord am hurting now..........
 
Different colour- RIP Lucky Dube....we will never forget you Lucky!!!
 
Kwa wale wapenzi wa reggae, hili swali huwa najiuliza lakini sipati jibu. Wakati anauawa alipigwa risasi tu wala hawakuchukua chochote. Walitumwa? Kuna miaka niliwahi sikia kwamba yeye ndio chanzo cha kifo cha Senzo. Je, ni kweli? Yawezekana ilikuwa ni kulipiza kisasi? Kuna wimbo wa Crime and corruption ukiusikiliza maudhui yake ndicho kilichomtokea yeye. Nani walihusika kumuua?

Aliuawa kwa sababu kila nafsi itaonja umautu
 
hahaaaaa pole.......kwa yaliyokusibu
halafu kuna ile sehem anasema
Now I know what they mean when they say
Beautiful woman is another mans play thing
Ohh Lord am hurting now..........

Asante aisee. Nyimbo zake nyingi alikuwa anaimba real life things. Sikiliza na 'crime and corruption' na mambo yanayoendelea kwenye serikali zetu.
 
Back
Top Bottom