Nakapanya
JF-Expert Member
- May 22, 2012
- 2,096
- 709
Ni nyingi sana ametunga na Senzo unajua ipo hivi Senzo alikuwa ndo mtu tegemezi mkubwa ktk kundi la luckydube yeye ndo mtunzi,lucky dube ni nyimbo chache ametunga akiwa na Senzo ukumbuke kuwa nyimbo ya Prisoner idea ni ya Senzo alafu watu uwa wanachanganya jaman kuna nyimbo remember me ile nyimbo amemsemelea mpenzi wake aliyemkimbia,alafu kuna nyimbo inaitwa sorry my son hii nyimbo anamuelezea baba yake aliyemtelekeza watu wengi wanasema remember me anamuelezea baba yake kitu ambacho sio kweli
Remember me ni wimbo unadhaniwa kuwa Lucky Dube aliutunga kwa ajili ya dingi yake na sio mpenzi wake kama ulivyoandika mkuu.na zipo nying sana ambazo lucky dube aliandika kumshukuru mama yake huku akimponda dingi yake aliyewakimbia,mfano God bless the women,Hold on etc...