Ni kwa nini Lucky Dube aliuawa?

Ni kwa nini Lucky Dube aliuawa?

Ni nyingi sana ametunga na Senzo unajua ipo hivi Senzo alikuwa ndo mtu tegemezi mkubwa ktk kundi la luckydube yeye ndo mtunzi,lucky dube ni nyimbo chache ametunga akiwa na Senzo ukumbuke kuwa nyimbo ya Prisoner idea ni ya Senzo alafu watu uwa wanachanganya jaman kuna nyimbo remember me ile nyimbo amemsemelea mpenzi wake aliyemkimbia,alafu kuna nyimbo inaitwa sorry my son hii nyimbo anamuelezea baba yake aliyemtelekeza watu wengi wanasema remember me anamuelezea baba yake kitu ambacho sio kweli

Remember me ni wimbo unadhaniwa kuwa Lucky Dube aliutunga kwa ajili ya dingi yake na sio mpenzi wake kama ulivyoandika mkuu.na zipo nying sana ambazo lucky dube aliandika kumshukuru mama yake huku akimponda dingi yake aliyewakimbia,mfano God bless the women,Hold on etc...
 
Remember me ni wimbo ulotungwa na Richard Siluma na si Lucky Philip Dube
 
Yah naikubali sana, mkasa wa huu wimbo unasikitisha na kusisimua, " mama said to me, its not easy, to understand it son but I hope sijui nini yan dah nyimbo Kali sana
Naunganisha
Baby u wil be happy again."
 
Remember me ni wimbo unadhaniwa kuwa Lucky Dube aliutunga kwa ajili ya dingi yake na sio mpenzi wake kama ulivyoandika mkuu.na zipo nying sana ambazo lucky dube aliandika kumshukuru mama yake huku akimponda dingi yake aliyewakimbia,mfano God bless the women,Hold on etc...

Yaah ila Mkuu usikilize na ule SORRY MY SON
 
ok hujachukua stori mtaani.tupe source.

Ulikuwa unahitaji Source ipi tena na wkt nilishatoa source tayari,na Source ya kifo cha luckydube sijaitoa mtaan mi nafuatilia longtym tokea Senzo akiwa na luckydube mpk anakufa
 
Songwriters: DUBE, LUCKY PHILLIP
Lord have mercy...
I remember the day I called mama on
the telephone
I told her mama I' m getting married
I could hear her voice on the other side
Of the telephone she was smiling
And she asked me a question
That I proudly answered
She said son did you take time
To know her?
I said mama she is the best
But today it hurts me so to go back to
Mama and say
Mama I' m getting divorced oh
I' m getting divorced
The choice I made didn' t work out the
way
I thought it would
This choice I made it hurts me so mama
This choice I made didn' t work out the
Way I thought it would
This choice of mine oh....
Mama said to me
Chorus (x2)
It' s not easy to understand it son
But I hope you' ll make it
You' ll be happy again
I remember in church when the
preacherman
Read the scriptures
You looked so beautiful, so beautiful
And so innocent
I did not know that behind that beauty
Lies the true colours that will destroy me
In the near future
This choice I made didn' t work out to be
What I thought it would be
Oh mama this choice I made
Didn' t work out the way I thought it
would
Now I' m hurting
I remember when I held you by the hand
Preacherman read the scriptures
Putting words in your mouth
Maybe what the preacherman said
Was not something that was within you
Now I know what they mean when
They say
Beautiful woman
Is another man' s plaything
Oh Lord I' m hurting now
This choice I made didn' t work out the
way
I thought it would
This choice of mine oh
Mama said to me
It's not easy to understand it son
But i hope you'll make it
You'll be happy agin
 
'I remember the day, I called mama on the telephone. I told her mammaa, am getting married! I could hear a voice from the other side of the telephone, she was smiling and she asked a question that I proudly answered! She said son, did you take time to know her? I told her mammaa she is the best!"" Loh! Nikiusikilizaga huu wimbo huwa namkumbuka dada mmoja ambaye nilimtambulisha home akaja kunikimbia kutokana na matatizo yaliyonikumba.

Mkuu maneno yako yako sahihi ila kuna mahali ume mix,iko kipande Ni hivi:
"I remember the day I called mama on the telephone,I told her mama I'm getting married I could hear her voice on the other side of the telephone she was smiling And she asked me a question that I proudly answered She said son did you take time to know her I said mama she's the best"
 
Nyalotsi..ishu ya kufa kwa lucky dube ipo hivi..kipindi senzo anajitenga na lucky dube,lucky dube kama yeye hakuwa tayari kumuacha senzo aondoke ktk kundi lake ilimuumiza sana kichwa lucky dube kuondoka kwa senzo aliondoka na mashabiki wengi sana wa lucky dube pia ukumbuke nyimbo nyingi za lucky dube mtunzi alikuwa senzo na lucky dube aliiamini kuondoka kwa senzo ktk kundi lake ndio mwanzo wa yeye kutetereka kimuziki,Senzo alijitoa kwa lucky Dube pasipo na maelewano mazuri album ya kwanza ya senzo baadaya kujitoa kwa luckydube ili hit sana na aliuza nakala nyingi ugomvi wa senzo na luckydube ulifahamika hadi kwa mashabiki wao,ikikumbukwe kuwa kifo cha Senzo kilikuwa cha utata km kilivyo kifo cha luckydube,baada ya kutokea kifo cha Senzo mashabiki walimnyoshea kidole luckyDube ndio aliyemuua Senzo,luckydube alijitetea sana juu ya kifo cha Senzo mashabiki wa Senzo walisema nao watalipiza kisasi,baada ya kauli hizo kutolewa na mashabiki wa senzo Luckydube akakimbia South na kwenda kuishi London huku akiendelea na kaz zake za kimuziki aliishi London zaidi ya miaka kumi ndipo alipoamua kurudi south bila shaka ukumbuke kisasi hakisahauliki ila yeye alidhania wameshasahau yaliyopita

Hiki kisa cha kutunga,.....Ukiingia kwenye mitandao hakuna mahali panaposema Senzo amewahi kuwa mwanamziki wa Lucky Dube...fuatialia na wala Lucky Dube hajawahi kuishi nje ya South Afrika kwa miaka hata miwili mfululizo...hizo stori za vijiweni Bongo...! Wanamziki waliomuinua Dube ni pamoja na Binamu yaKe Richard Siluma(na huwezi kusema yeye siluma alimuinua Dube kwa kuwa hakuwa maarufu hadi Lucky alipoanza kupiga Reggae)..... ambaye ndie mtunzi wa wimbo wa Remember me....!! Waiomuua kupora gari lake na aliepiga risasi alikuwa ni Mtu mwenye asili ya msumbiji na hata walipopelekwa mahakamani walikiri kuwa hawakujua kuwa yule ni nani eti walidhani mnaiGria!! Mke wa mmoja wa wauaji anasema jamaa ilipotangazwa kuwa mtu waliemuua ni Lucky Dube Jamaa alilia sanasana na kupanick kabisa!! Habari zoote hizi ziko kwenye mitandao fuatilia baba......

Haya...leo ndio kumbukumbu ya siku ya kufa kwake...tafuteni habari zake za kweli, achaneni na vijiweni!
 
We jamaa uliwalisha watu matango pori. Senzo yupo hai wewe.
 
Umesema ukweli mtupu. Watu wanachukua stori za vijiweni wanazifanya rasmi. Lucky Dube hakumwua Senzo. Senzo yupo hai
Hiki kisa cha kutunga,.....Ukiingia kwenye mitandao hakuna mahali panaposema Senzo amewahi kuwa mwanamziki wa Lucky Dube...fuatialia na wala Lucky Dube hajawahi kuishi nje ya South Afrika kwa miaka hata miwili mfululizo...hizo stori za vijiweni Bongo...! Wanamziki waliomuinua Dube ni pamoja na Binamu yaKe Richard Siluma(na huwezi kusema yeye siluma alimuinua Dube kwa kuwa hakuwa maarufu hadi Lucky alipoanza kupiga Reggae)..... ambaye ndie mtunzi wa wimbo wa Remember me....!! Waiomuua kupora gari lake na aliepiga risasi alikuwa ni Mtu mwenye asili ya msumbiji na hata walipopelekwa mahakamani walikiri kuwa hawakujua kuwa yule ni nani eti walidhani mnaiGria!! Mke wa mmoja wa wauaji anasema jamaa ilipotangazwa kuwa mtu waliemuua ni Lucky Dube Jamaa alilia sanasana na kupanick kabisa!! Habari zoote hizi ziko kwenye mitandao fuatilia baba......

Haya...leo ndio kumbukumbu ya siku ya kufa kwake...tafuteni habari zake za kweli, achaneni na vijiweni!
 
Ni nyingi sana ametunga na Senzo unajua ipo hivi Senzo alikuwa ndo mtu tegemezi mkubwa ktk kundi la luckydube yeye ndo mtunzi,lucky dube ni nyimbo chache ametunga akiwa na Senzo ukumbuke kuwa nyimbo ya Prisoner idea ni ya Senzo alafu watu uwa wanachanganya jaman kuna nyimbo remember me ile nyimbo amemsemelea mpenzi wake aliyemkimbia,alafu kuna nyimbo inaitwa sorry my son hii nyimbo anamuelezea baba yake aliyemtelekeza watu wengi wanasema remember me anamuelezea baba yake kitu ambacho sio kweli
Chai
 
Back
Top Bottom