Ni kwa nini upinzani Tanzania Wana rasilimali watu wachache sana kuliko CCM!?

Ni kwa nini upinzani Tanzania Wana rasilimali watu wachache sana kuliko CCM!?

The Phylosopher

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2015
Posts
1,968
Reaction score
2,957
Ni wazi kwamba ili ushike dola na kuongoza bila wasiwasi unahitaji kuwa na rasilimali watu ya kutosha.

Ila kwa upande wa wapinzani naona Wana watu wachache wenye uwezo wa kiuongozi kuliko CCM kwenye hazina yao.

Nadhani ndiyo sababu hata inawawia ngumu kubadilisha viongozi wao hasa wakuu.

Tatizo laweza kuwa nini hasa?
 
Kwa maana ya watu wenye uwezo wa kuongoza wanao wengi sana ila labda uniambie idadi ya registered members ukilinganisha na wao na CCM hapo kweli kuna gap kidogo. Idadi ya watu wanaohitajika katika nafasi za uongozi ipo na wanabaki.
 
Ni wazi kwamba ili ushike dola na kuongoza bila wasiwasi unahitaji kuwa na rasilimali watu ya kutosha.
Ila kwa upande wa wapinzani naona Wana watu wachache wenye uwezo wa kiuongozi kuliko ccm kwenye hazina yao.
Nadhani ndiyo sababu hata inawawia ngumu kubadilisha viongozi wao hasa wakuu.
Tatizo laweza kuwa nini hasa?
Kauli na matendo yao ndio chanzo cha kutopendwa hivyo watu wanaona wakae mbali nao.
 
Back
Top Bottom