Ni kwa nini Yanga wanamchukia sana Okwi? Okwi mzee ni Mbaya zaidi kuliko Okwi kijana.

GuDume

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2015
Posts
6,651
Reaction score
14,337
Yanga kuna wachezaji wanawachukia sana. Na Okwi ni mmoja ya wachezaji wasiopendwa kabisa na Yanga. Mashabiki wa Yanga ukitaka kuona walivyo na hasira mtaje Okwi, mtaje Kichuya. Hawa wachezaji hawapendwi kabisa.

Kama kungekuwa na uwezekano wa kumzuia okwi asisajiliwe simba yanga wangemzuia. Walianza kupika kelele kuwa okwi hafai sabab ana kiburi. Wakamsahau Ngoma alivyowasumbua na baadaye wakamsajili tena.

Wkaanza kusema okwi mzee hivyo simba wasimsajili. Imekuja kuonekana kuwa Kumbe okwi anavyozeeka ndo anazidi kuwa mzuri. Sasa wanashindwa waseme nini. Maana wanasema inawezekana alidanganya umri okwi ni kijana bado. Wanasema okwi hawez kuwa na speed na mashuti ya namna ile lazima atakuwa ni kijana mdogo.

Nami nadhan okwi anapenda ukubwa. Okwi ana umri mdogo sema alidanganya umri.anaonekana ni wa miaka ya 20-25. Akapimwe umri. Hawez kuwa na juu ya 25 kwa anavyocheza.

Mimi nadhan kuishi kwingi ni kuona mengi. Okwi amepata uzoefu mkubwa sana kimataifa na ana faida kubwa ya utulivu langoni.

Tutaendelea kushuhudia mengi kadiri siku ziendavyo.
 
Mkuu umenichekesha sana hapo kwenye okwi bado ni kijana alidanganya umri[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Gongowazi wanamchukia Okwi kwa vile alihusika pakubwa na zile TANO ambazo hawatakaa waje wasahau.
 
The terroriser, sababu kubwa wanamchikia ni ile dozi ya goli tano alishiriki kikamilifu kuiwezesha!! Hawana hamu nae.
 
Yanga kuna wachezaji wanawachukia sana. Na Okwi ni mmoja ya wachezaji wasiopendwa kabisa na Yanga. Mashabiki wa Yanga ukitaka kuona walivyo na hasira mtaje Okwi, mtaje Kichuya. Hawa wachezaji hawapendwi kabisa.

Kama kungekuwa na uwezekano wa kumzuia okwi asisajiliwe simba yanga wangemzuia. Walianza kupika kelele kuwa okwi hafai sabab ana kiburi. Wakamsahau Ngoma alivyowasumbua na baadaye wakamsajili tena.

Wkaanza kusema okwi mzee hivyo simba wasimsajili. Imekuja kuonekana kuwa Kumbe okwi anavyozeeka ndo anazidi kuwa mzuri. Sasa wanashindwa waseme nini. Maana wanasema inawezekana alidanganya umri okwi ni kijana bado. Wanasema okwi hawez kuwa na speed na mashuti ya namna ile lazima atakuwa ni kijana mdogo.

Mimi nadhan kuishi kwingi ni kuona mengi. Okwi amepata uzoefu mkubwa sana kimataifa na ana faida kubwa ya utulivu langoni.

Tutaendelea kushuhudia mengi kadiri siku ziendavyo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] labda alidanganya umri kama binti sepetu kwenye urembo
 
OKWII.jpg

Mhenga katika ubora wake..
 
Mchezaji wa kwenu lakini bado mnaweweseka. Umezoea kushikwa makalio sasa akikkosekana wa kukupapasa unajishika mwenyewe. Ana nini Okwi kiasi Yanga wamjadili?

Yanga ni mabingwa mara 27, baadhi makombe tumebeba huyo babu wa Ankole akiwepo. Shida yenu mko obsessed naye. Kwa kuwa saa zote mnamuwaza, mnafikiri saa zote tunamuwaza. Hebu fanyeni yenu punguzeni DOMO. Hamjifunzi kuwa kila mwanzo wa msimu huwa mnatingisha makalio lkn msimu ukitamati mnaingia leba?
 
Mwana Mtoka Pabaya huoni kuwa unamdhalilisha mama yako? unaposema wewe umetoka pabaya? yaani kwake ni kubaya? why ? amekukosea nini mama yako amelkulea miezi 9 tumboni na umekua leo hata unajua kutumia nawewe smartphone na hata computer bado unaona umetokea sehemu mbaya? kwa nini ndugu yangu? kwa nini mchukie hivyo mama yako?

Mchezaji wa kwenu lakini bado mnaweweseka. Umezoea kushikwa makalio sasa akikkosekana wa kukupapasa unajishika mwenyewe. Ana nini Okwi kiasi Yanga wamjadili?

Yanga ni mabingwa mara 27, baadhi makombe tumebeba huyo babu wa Ankole akiwepo. Shida yenu mko obsessed naye. Kwa kuwa saa zote mnamuwaza, mnafikiri saa zote tunamuwaza. Hebu fanyeni yenu punguzeni DOMO. Hamjifunzi kuwa kila mwanzo wa msimu huwa mnatingisha makalio lkn msimu ukitamati mnaingia leba?
 
Gongowazi lazima wamchukie mana huwa awacheleweshi, anawafunga tu hata cha m.kund.u.
 
Takukuru chunguzeni mechi za Simba zote kuna hujuma..mechi ya ligi kuu haiwezi kuwa nyepesi vile..Ajibu anachezewa rafu kumi mbaya .Martin wakataka kumuua..alafu simba mpira laiinii.haikubaliki..na Nina dogo namjua Takukuru lazima afikishe kwa mabosi zake
 
Wewe naona Kupimwa Mkojo tu haitatosha bali Unahitaji Kupimwa na Kinyesi....

Hivi Unataka Takukuru Waende Uwanjani Wakamzuie OKWI asifunge??
 
Takukuru chunguzeni mechi za Simba zote kuna hujuma..mechi ya ligi kuu haiwezi kuwa nyepesi vile..Ajibu anachezewa rafu kumi mbaya .Martin wakataka kumuua..alafu simba mpira laiinii.haikubaliki..na Nina dogo namjua Takukuru lazima afikishe kwa mabosi zake

Timu inapokuwa na ujuzi na ufundi uliotukuka kila kitu huonekana rahisi tu!!!
 
Back
Top Bottom