GuDume
JF-Expert Member
- Jan 18, 2015
- 6,651
- 14,337
Yanga kuna wachezaji wanawachukia sana. Na Okwi ni mmoja ya wachezaji wasiopendwa kabisa na Yanga. Mashabiki wa Yanga ukitaka kuona walivyo na hasira mtaje Okwi, mtaje Kichuya. Hawa wachezaji hawapendwi kabisa.
Kama kungekuwa na uwezekano wa kumzuia okwi asisajiliwe simba yanga wangemzuia. Walianza kupika kelele kuwa okwi hafai sabab ana kiburi. Wakamsahau Ngoma alivyowasumbua na baadaye wakamsajili tena.
Wkaanza kusema okwi mzee hivyo simba wasimsajili. Imekuja kuonekana kuwa Kumbe okwi anavyozeeka ndo anazidi kuwa mzuri. Sasa wanashindwa waseme nini. Maana wanasema inawezekana alidanganya umri okwi ni kijana bado. Wanasema okwi hawez kuwa na speed na mashuti ya namna ile lazima atakuwa ni kijana mdogo.
Nami nadhan okwi anapenda ukubwa. Okwi ana umri mdogo sema alidanganya umri.anaonekana ni wa miaka ya 20-25. Akapimwe umri. Hawez kuwa na juu ya 25 kwa anavyocheza.
Mimi nadhan kuishi kwingi ni kuona mengi. Okwi amepata uzoefu mkubwa sana kimataifa na ana faida kubwa ya utulivu langoni.
Tutaendelea kushuhudia mengi kadiri siku ziendavyo.