Ni kwa nn trend ya vifo ni vingi kwa wanaume kuliko wanawake?

The Phylosopher

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2015
Posts
2,471
Reaction score
3,768
Yaani naona wanaume wanapukutika tu. Yaani ukiacha ajali na vifo vya uzazi, wanaume wanakufa sana.
Ukizingatia tu idadi ya viongozi wetu wakuu wote waliofariki wake zao wapo
Karume, Nyerere,mwinyi, mkapa Lowasa Membe, Magufuli nk
Kuna tatizo gani niwaombe mabingwq waje na research ili tujue kudeal na jambo hili
 
hiyo ni dunia nzima na ni nature, wanawake wanaishi kwa wastani wa miaka 5 zaidi ya wanaume, imeshakuwa proven, biology ya kubeba kiumbe tumboni miezi 9 na hatimaye kujifungua pekee inatosha kuwafanya stronger than men, hivyo ni zawadi yao nature imewapa kwa kuwafanya waishi muda mrefu, na ni vema na haki waishi muda mrefu pia …
 
Yaani naona wanaume wanapukutika tu. Yaani ukiacha ajali na vifo vya uzazi, wanaume wanakufa sana.
Ukizingatia tu idadi ya viongozi wetu wakuu wote waliofariki wake zao wapo
Karume, Nyerere,mwinyi, mkapa Lowasa Membe, Magufuli nk
Kuna tatizo gani niwaombe mabingwq waje na research ili tujue kudeal na jambo hili
Wanaume tumeumbwa mateso, mateso kuhangaika
"Ajali" by Msondo Ngoma Music Band, featuring the late TX Moshi William

View: https://www.youtube.com/watch?v=K43MV5Sql14
 
Yaani naona wanaume wanapukutika tu. Yaani ukiacha ajali na vifo vya uzazi, wanaume wanakufa sana.
Ukizingatia tu idadi ya viongozi wetu wakuu wote waliofariki wake zao wapo
Karume, Nyerere,mwinyi, mkapa Lowasa Membe, Magufuli nk
Kuna tatizo gani niwaombe mabingwq waje na research ili tujue kudeal na jambo hili
Askari walio mstari wa mbele hupukutika zaidi na hakuna la kushangaa.
 
Back
Top Bottom