Ni kwamba huko Arusha hatutaki Kufunga Kipindi cha Kwanza ili Kuzuga kuwa Mechi ni Ngumu ili tukimalizana nao Kipindi cha Pili ubao usome 9-0 au?

Ni kwamba huko Arusha hatutaki Kufunga Kipindi cha Kwanza ili Kuzuga kuwa Mechi ni Ngumu ili tukimalizana nao Kipindi cha Pili ubao usome 9-0 au?

Mnapenda kuropoka wazee wa kujenga timu,Yanga anaongoza moja kipindi chakwana zidi ya timu yenu ambayo mnaazimana makocha.
Ila si mlikubaliana nao lakini kuwa Kipindi cha Kwanza muende Suluhu (0-0) na cha Pili ndiyo Muwashindilie nazo za Kutosha? Imekuwaje tena?
 
Ila si mlikubaliana nao lakini kuwa Kipindi cha Kwanza muende Suluhu (0-0) na cha Pili ndiyo Muwashindilie nazo za Kutosha? Imekuwaje tena?
Hatuna ujirani kama mliokuwa nao nyie wa kuazimana mpaka makocha na jana mkacheza zidi ya kocha wenu mliye muazima toka Coastal.

Uzuri Namungo nao hawakutaka kumuumiza mfadhili wao PM,maana kuanzia Bus mpaka Uwanja ni kwa msaada wake.
 
Back
Top Bottom