GENTAMYCINE JF-Expert Member Joined Jul 13, 2013 Posts 60,660 Reaction score 121,325 Oct 26, 2024 #1 Kwa Timu yangu ninavyoijua (tena baada ya Kijili hivi majuzi Kuwasaidia) hadi sasa ningekuwa mbele kwa Goli 4 hivi.
Kwa Timu yangu ninavyoijua (tena baada ya Kijili hivi majuzi Kuwasaidia) hadi sasa ningekuwa mbele kwa Goli 4 hivi.
joseph1989 JF-Expert Member Joined May 4, 2014 Posts 17,420 Reaction score 35,765 Oct 26, 2024 #2 Mnapenda kuropoka wazee wa kujenga timu,Yanga anaongoza moja kipindi chakwana zidi ya timu yenu ambayo mnaazimana makocha.
Mnapenda kuropoka wazee wa kujenga timu,Yanga anaongoza moja kipindi chakwana zidi ya timu yenu ambayo mnaazimana makocha.
GENTAMYCINE JF-Expert Member Joined Jul 13, 2013 Posts 60,660 Reaction score 121,325 Oct 26, 2024 Thread starter #3 joseph1989 said: Mnapenda kuropoka wazee wa kujenga timu,Yanga anaongoza moja kipindi chakwana zidi ya timu yenu ambayo mnaazimana makocha. Click to expand... Ila si mlikubaliana nao lakini kuwa Kipindi cha Kwanza muende Suluhu (0-0) na cha Pili ndiyo Muwashindilie nazo za Kutosha? Imekuwaje tena?
joseph1989 said: Mnapenda kuropoka wazee wa kujenga timu,Yanga anaongoza moja kipindi chakwana zidi ya timu yenu ambayo mnaazimana makocha. Click to expand... Ila si mlikubaliana nao lakini kuwa Kipindi cha Kwanza muende Suluhu (0-0) na cha Pili ndiyo Muwashindilie nazo za Kutosha? Imekuwaje tena?
joseph1989 JF-Expert Member Joined May 4, 2014 Posts 17,420 Reaction score 35,765 Oct 26, 2024 #4 GENTAMYCINE said: Ila si mlikubaliana nao lakini kuwa Kipindi cha Kwanza muende Suluhu (0-0) na cha Pili ndiyo Muwashindilie nazo za Kutosha? Imekuwaje tena? Click to expand... Hatuna ujirani kama mliokuwa nao nyie wa kuazimana mpaka makocha na jana mkacheza zidi ya kocha wenu mliye muazima toka Coastal. Uzuri Namungo nao hawakutaka kumuumiza mfadhili wao PM,maana kuanzia Bus mpaka Uwanja ni kwa msaada wake.
GENTAMYCINE said: Ila si mlikubaliana nao lakini kuwa Kipindi cha Kwanza muende Suluhu (0-0) na cha Pili ndiyo Muwashindilie nazo za Kutosha? Imekuwaje tena? Click to expand... Hatuna ujirani kama mliokuwa nao nyie wa kuazimana mpaka makocha na jana mkacheza zidi ya kocha wenu mliye muazima toka Coastal. Uzuri Namungo nao hawakutaka kumuumiza mfadhili wao PM,maana kuanzia Bus mpaka Uwanja ni kwa msaada wake.
M Mkombozi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2008 Posts 844 Reaction score 476 Oct 26, 2024 #5 GENTAMYCINE said: Kwa Timu yangu ninavyoijua (tena baada ya Kijili hivi majuzi Kuwasaidia) hadi sasa ningekuwa mbele kwa Goli 4 hivi. Click to expand... Wanacheza GSM wenyewe mkuu
GENTAMYCINE said: Kwa Timu yangu ninavyoijua (tena baada ya Kijili hivi majuzi Kuwasaidia) hadi sasa ningekuwa mbele kwa Goli 4 hivi. Click to expand... Wanacheza GSM wenyewe mkuu
K kinje ketile JF-Expert Member Joined Dec 12, 2015 Posts 5,089 Reaction score 9,664 Oct 26, 2024 #6 Wamebebwa
Kalpana JF-Expert Member Joined Jun 16, 2017 Posts 32,603 Reaction score 62,269 Oct 26, 2024 #7 Uto Wametepetaaa yani tepeeee
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 32,529 Reaction score 76,691 Oct 26, 2024 #8 Kalpana said: Uto Wametepetaaa yani tepeeee Click to expand... shinda mechi zako acha wivu!