Ni kwanini Akili yangu inazitafsiri hivi Tawala ( Awamu ) zote za Uongozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

Nchi ilikuwa inamfia mkononi Nyerere ,sukari kwa foleni.huyu dogo sijui anaongea nini
 
Nimeanza kuona 'TV' May mwaka 1983.

Zanzibar, sehemu ya Jamhuri ya Muungano wa Tz, wao Tv (Coloured) imeingia mwaka 1972, huku Bara ni katika miaka hiyo ya 1980s ndiyo watu wachache sana walianza kumiliki Tv (video) mfano akina Shk Yahya Hussein nk.
 
Nitampima Samia akishamaliza "kurekebisha makosa" ya Magufuli.
 
Ni mawazo yake amesema
Nami ni mawazo yangu huyu dogo namjua inpersonal kazaliwa kipindi cha mkapa so story za nyerere na mwinyi anazisoma au kuzisikia story kwa watu
 
Mwanangu una akili sana hata kama sikubaliana na tafakari yako yote. Umesema mengi yanayoingia akilini japo siwezi kuyaita ukweli kwani kila kitu hutegemea mtu anavyokiona na sababu za kufanya hivyo na lenses anazotumia. Kwa ujumla, una hoja yenye afya na mashiko mwanangu.
 
Zanzibar, sehemu ya Jamhuri ya Muungano wa Tz, wao Tv (Coloured) imeingia mwaka 1972, huku Bara ni katika miaka hiyo ya 1980s ndiyo watu wachache sana walianza kumiliki Tv (video) mfano akina Shk Yahya Hussein nk.
Nimeanza kuona TV Home mwaka 1983.
 
Umechambua vizuri sana asilimia 90 upo sahihi
 
Nchi ilikuwa inamfia mkononi Nyerere ,sukari kwa foleni.huyu dogo sijui anaongea nini

Weee acha tu.

Nyerere alistuka mapema, huyo mzee alikuwa mjanja kwelikweli, aliangalia upepo ulivyokuwa ukivuma na akaona Wtz wameshachoka na shida muda wowote wangesema:- "lolote na liwe", kulinda heshima yake akajiuzulu kwa Kung'atuka.

Hili neno "kung'atuka" hutumiwa sana na waswahili wa Ujiji kigoma, ni neno lenye asili ya huko.
 
Genta, uchambuzi wako uko sahahi kabisa!! Kula likes za kutosha aisee
 
Kuna mataga mmoja alikuwa anatumia hiyo picha nikajua ni wewe

Yule mzee katuokoa sana tungevaa magome au ngozi ndio maana Mungu kampa bonas ya maisha acha ushabiki au kusikiliza story za vijiweni
Matege ndio kitu gani kamanda.
 
Nami ni mawazo yangu huyu dogo namjua inpersonal kazaliwa kipindi cha mkapa so story za nyerere na mwinyi anazisoma au kuzisikia story kwa watu
Anayezaliwa Kipindi cha Mkapa anawezaje kuona TV tena Kwao kabisa Mwaka 1983 Nyumba Jirani na Marehemu Former BOT Governor Mtani wangu wa Kihaya Gilman Rutihinda Oysterbay? Huna unachokijua Mkuu na ni bora ukanyamaza tu nisizidi Kukudharau.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…