Naomba kuelewa unajimu huu...
Ni kwa nini angani kuna baridi sana ilhali kila unapopanda juu ndio unavyozidi kulisogelea jua ?
Jana maafisa wa usalama wa anga wa Uholanzi wamesema wameshindwa kumuelewa Mkenya aliye survive baridi la kufa mtu angani akiwa kwenye kijumba cha tairi la ndege kutoka Johannesburg au Nairobi (hawana uhakika) hadi Amsterdam.
Vipi kama pipa lilisafiri mchana njia nzima ambako jua linapiga muda wote, which means, alikuwa katikati ya jua na sayari hii muda wote, sielewi! Nairobi mpaka Amsterdam ni saa masaa 7 tu, wakati mchana kwa maana ya daylight, mawio mpaka machweo, ni masaa 12! Mchizi alikuwa na masaa mengine matano ya ku survive chini ya jua! Au ?