Ni kwanini angani kuna baridi kali?

Ni kwanini angani kuna baridi kali?

Kwa hiyo uhusiano uliopo kati ya Pressure na Temperature ukiuhusiananisha na HEIGHT, ni upi sasa, kati ya DIRECT na INVERSE proportion? Nadhani nilikuwa sahihi kuwa the higher the height, the higer the pressure, the less the temperature, AU?

Hii hasa ni the pressure due to column of a fluid concept ndio inayofanya kazi yaani (pgh) na internal enegy of the air (gases) developed at the ground due to exerted pressure of the air column,

Chukua hii equation of state;

PV= nRT, in our case V, n and T are constants, by increasing P (which is pgh in our case) T also correspondingly increases, T is our surrounding Temperature we are talking about.

This phenomenon is analogous to the action of a pump during inflation of a deflated tires in which the pump becomes hot on its air cylinder surface during the course of pumping the air into the tires, what happens is; Work is done on the air in the cylinder as result the air becomes hot, that is, work done by pressing force changes to internal energy of the air molecules and then to heat energy.
 
Nadhani jibu lishapatikana hapo mkuu, kadiri unavyoenda/panda juu, pressure inapungua, kwasababu pressure iko directly proportional na temperature, basi temperature nayo itapungua.
Pressure increases with height, pressure na height viko directly propotional. Mkamate huyu jamaa hapa #41 maelezo yake yatakufaa zaidi
 
Pressure increases with height, pressure na height viko directly propotional. Mkamate huyu jamaa hapa #41 maelezo yake yatakufaa zaidi
Mkuu,
1. "pressure increases with depth", depth ni kimo
2. "pressure decrease with height", height ni kina

(nakubali kusahihishwa kama nimekosea)

kutoka Formula hii "Pressure=density*height*gravity",
acceleration due to gravity ni "Directional". Kitu kikiwa kinapanda juu kina-act against the force of gravity, hence kinakuwa katika "Negative terms."

Ni kwasababu hiyo hiyo Ndege(airplanes) zinakuwa pressurized (wenyewe wanasema cabin pressure) ili ku-maintain ile pressure sawa na ukanda wa bahari(pressure at sea level).

Na ni kwasababu hiyo hiyo manuari(submarine) zina kidhibiti kimo(depth limit) ambapo zinaweza fanya kazi bila matatizo. zikizidi hapo zitagandamizwa hadi kuharibiwa kabisa.

Pia, kutokana na maelezo hapo juu, tunapata kufahamu ya kwamba;
*Dar ambao kimo kutoka usawa wa bahari ni mita 0, pressure ya usawa wa bahari ni 100KPa, maji yatachemka katika nyuzi joto 100.
*Iringa, kimo kutoka usawa wa bahari ni mita1500(makadirio, kimo sahihi kinaweza kuwa kikubwa zaidi ya hapo), pressure kutoka usawa wa bahari ni 85KPa(makadirio), maji yatachemka kuanzia nyuzi joto 90.
*Juu ya milima kilimanjaro, kimo kutoka kutoka usawa wa bahari mita 5800(makadirio),pressure kutoka usawa wa bahari 50KPa(makadirio), maji yatachemka kuanzia nyuzi joto 70.
 
Ww dogo ni mjinga sana. Umeleta swali.. tunakuelimisha, halafu unajifanya unajua. Sasa kama ulikuwa unajua UMEULIZA SWALI LA NINI? KWENDAAAA
Wewe DocJayGroup acha uongo na ujinga!

Kwenye suala la heat conductivity hakuna suala la density baina ya metals mbili of the same element (Fe na Fe)

Labda ungesema metals of different elements (Pb, Fe, Zinc, Ag)

Uache upumbavu.
 
Pumbavu mwenyewe.. siongelei iron.. naongelea steel.. Pumbavu sana haujui kuna aina mbalimbali za steel.. Carbon Steel, Alloy Steel, Tool Steel, na Stainless Steel na kila moja ina density tofauti.. Ushamba wa kijijini unauleta JF tutakuelimisha tu.. mbuzi ww
 
Wewe DocJayGroup acha uongo na ujinga!

Kwenye suala la heat conductivity hakuna suala la density baina ya metals mbili of the same element (Fe na Fe)

Labda ungesema metals of different elements (Pb, Fe, Zinc, Ag)

Uache upumbavu.
sketch-1645034390004.png
 
Mkuu,
1. "pressure increases with depth", depth ni kimo
2. "pressure decrease with height", height ni kina

(nakubali kusahihishwa kama nimekosea)

kutoka Formula hii "Pressure=density*height*gravity",
acceleration due to gravity ni "Directional". Kitu kikiwa kinapanda juu kina-act against the force of gravity, hence kinakuwa katika "Negative terms."

Ni kwasababu hiyo hiyo Ndege(airplanes) zinakuwa pressurized (wenyewe wanasema cabin pressure) ili ku-maintain ile pressure sawa na ukanda wa bahari(pressure at sea level).

Na ni kwasababu hiyo hiyo manuari(submarine) zina kidhibiti kimo(depth limit) ambapo zinaweza fanya kazi bila matatizo. zikizidi hapo zitagandamizwa hadi kuharibiwa kabisa.

Pia, kutokana na maelezo hapo juu, tunapata kufahamu ya kwamba;
*Dar ambao kimo kutoka usawa wa bahari ni mita 0, pressure ya usawa wa bahari ni 100KPa, maji yatachemka katika nyuzi joto 100.
*Iringa, kimo kutoka usawa wa bahari ni mita1500(makadirio, kimo sahihi kinaweza kuwa kikubwa zaidi ya hapo), pressure kutoka usawa wa bahari ni 85KPa(makadirio), maji yatachemka kuanzia nyuzi joto 90.
*Juu ya milima kilimanjaro, kimo kutoka kutoka usawa wa bahari mita 5800(makadirio),pressure kutoka usawa wa bahari 50KPa(makadirio), maji yatachemka kuanzia nyuzi joto 70.
Unachosema hapa hakipingani na nilichosema mimi kwa sababu height na depth zinategemea na reference point au frame of reference. Below sea level ni depth, na above sea level ni height. Still, the gravitational force ni -g kwa any upward motion na +g kwa for all downward motions bila kujali motion hiyo umeanzia wapi
Umenikumbusha kitu unaweza ku-revise hii documentary hapa. Watu walishuka chini ya bahari kwenye kina kirefu zaidi duniani cha km 8 na matatizo yao makubwa ilikuwa ni Pressure.
Unaweza kusikiliza documentary hiyo hapo chini ukipata nafasi

Swali Chamgamshi...

Japo Wakuu Mokaze, Makanyaga, wameelezea kwa kutumia Gases law......Boyles law, Charles law....Ideal gas law...ambazo zinatumia parameters ambazo ni constant...i.e..T, V or P
Kwa hili swali, kilichoongezeka ni "Altitude" (sijui maana kwa kiswahili) ambayo ni vector quantity lakini sio height scalar quantity......
Kwenye Altidude, hapo ndio kila kitu kinabadilika sababu uzito(mass), ujazo(volume) na msongamo(density) wa hewa unakuwa unabadilika kutokana na Altitude....

Hii inatokana na matabaka ya anga(atmosphere) kuwa na tofauti wa joto kulingana altitude,
Kila tabaka lina viwango vyake vya joto....na sio tu kila unapongeza altitude(labda tuite uwanda wa juu), ni kwamba joto linapungua na kuwa ni baridi, bali kwenye matabaka mengine kadri unavyopanda juu joto linaongezeka,
1645413654663.png

sasa mbinde ni kujua kwanini ?
Gases law zinatupa msingi kwenye hizi parameters..Pressure, Volume na Temperature

Mpango mzima ni kitu kinaitwa "Barometric Pressure"....na hii ni kwa matabaka chaguzi....
1645414582709.png

Labda hapo wakali ndio watutafutie thamani ya T
Tuendelee...........

1645413563899.png
 
View attachment 2125525
sasa mbinde ni kujua kwanini ?
Gases law zinatupa msingi kwenye hizi parameters..Pressure, Volume na Temperature

Mpango mzima ni kitu kinaitwa "Barometric Pressure"....na hii ni kwa matabaka chaguzi....
View attachment 2125526
Labda hapo wakali ndio watutafutie thamani ya T
Tuendelee...........

View attachment 2125524

Hiyo equation haielezi sababu kwanini Temperature ya hewa ardhini ni kubwa bali inaonyesha jinsi Temperature inavyobadilika jinsi altitude na pressure inavyobadilika, kifupi hiyo equation inaonyesha mafungamano ya hizo parameters na jinsi ya kupata paraneter moja iwapo umepewa parameters zinginezo, ukiichunguza hiyo equation ndani yake kuna equation mama, the equation of state; pv=nRT, angalia hiyo expression Mgh/RT➡M/RT×gh,

But M/RT= rho/P, rho and P are density ya hewa na pressure at the sea level respectivelly, hiyo ni sawa na PV=nRT.

Hiyo ni equation of state inayoonyesha "state" ya hewa katika pressure, volume (density) na joto, kwa maneno mengine ni equation of state inayoweza kuelezea kwanini joto la hewa ni kubwa au dogo na hiyo Barometric equation inaelezea mafungamano kati ya Joto, altitude,pressure katika hewa.
 
Back
Top Bottom