Mokaze
JF-Expert Member
- Aug 3, 2018
- 14,370
- 14,929
Hata density hakuna kwenye kanuni za conductivity ya chuma
Kuna nini na nini??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata density hakuna kwenye kanuni za conductivity ya chuma
Yes.. nitakuelimisha tu usijali. Pia usiwe unakariri. Jaribu kujiongeza uelewe concept. Kitu ni kile kile.. hapo mbao imetumika kama mfano, lakini concept ni kwamba chuma chenye density ndogo, atoms haziko karibu karibu kama tu vile ambavyo atoms haziko karibu karibu kwenye mbao.. na manake haipitishi heat kirahisi. Elewa concept ya atoms, density, heat conduction. Na pia usijifanye mjuaji.Duuuuh, sasa unalinganisha chuma na mbao!
Wewe mwenyewe ulileta mfano wa kulinganisha conductivity ya chuma kizito na chepesi. Kanuni zimeonyesha kwamba uzito hauhusiki katika conductivity!
Sasa umerukia chuma na mbao!
Halafu unasema nitulie unielimishe! Duuuh! Sio kwa style hiyo.
Ww dogo ni mjinga sana. Umeleta swali.. tunakuelimisha, halafu unajifanya unajua. Sasa kama ulikuwa unajua UMEULIZA SWALI LA NINI? KWENDAAAAHata density hakuna kwenye kanuni za conductivity ya chuma
Anataka ligi 😀😀😀😀Ww dogo ni mjinga sana. Umeleta swali.. tunakuelimisha, halafu unajifanya unajua. Sasa kama ulikuwa unajua UMEULIZA SWALI LA NINI? KWENDAAAA
Kuna tofauti ya jotoridi uliloanza naloKuna nini na nini??
nilisoma lakini labda kuna kitu nimesahau, hebu nirudishe nyumaUlisoma mambo ya kontua shule za msingi?
Kuna tofauti ya jotoridi uliloanza nalo
Kuna eneo nyuso... surface area
Kuna umbali kati ya hizo nyuso bapa
Kuna conductivity constant K
HAKUNA density wala uzito kwenye masuala ya thermal conductivity
na hakuna chuma, solids, wala conductivity kwenye upitishaji joto hewani
hizo factors ndio zinazo determine kiasi cha joto kitakachopita kwenye medium husikaSurface area, nyuso bapa, umbali wa hizo nyuso, nk--- parameters zote hizo ulizo zitaja ni za kitu gani??
hizo factors ndio zinazo determine kiasi cha joto kitakachopita kwenye medium husika
HAKUNA density
HAKUNA uzito
HAKUNA msongamano wa mada
View attachment 2119880
Pressure increases with height; as height increases, so is Pressure.
Boyle's law
P_1 V_1/ T_1 = P_2 V_2 / T_2 = K ; where K is a constant
I thank you for your corrections, nilikuwa najaribu kukumbushia chemistry ya mwaka 1992.Go back and re check in books.
Also check this one.
In a given Volume V of an ideal gas under pressure P at a constant temperature T, upon changing P so also V changes inversely, therefore;
PV= constant , Boyles law.
However, the fact that Pressure is inversely proportional to Temperature still holds, ndiyo maana debe lililozibwa huwa linajikunja kuingia ndani ukilichemsha kwenye moto. Temperature inakuwa kubwa ndani, halafu pressure ya ndani inapungua na kuwa ndogo kuliko iliyoko nje.
Hata hapa pia uko sahihi kabisa. Debe litasinyaa tu kama litakuwa liko wazi, kama kuna sehemu hewa itakuwa inaescape.Mkuu, Katika hilo yakupasa tena urejee kwenye vitabu vya physics.
Debe unapolifunga kizibo ndani yake kuwemo hewa na ukalipasha joto kinachotokea ni hewa iliyomo ndani kutanuka, inatanuka kwasababu Molecules za hewa zinaongezeka speed (its random speed increase due to heating) na hivyo kuzidi kugonga-gonga kuta za ndani za hilo debe na hivyo pressure ya humo ndani ya debe huongezeka na hiyo ni according to the kinetic theory of gasses, hivyo sio sawa unaposema kwamba debe lenye hewa ndani lililofungwa ukilipasha moto litasinyaa, kinyume chake litasinyaa iwapo utaliweka katika mazingira ya ubaridi mkali ambapo random speeds za molecules za hewa iliyomo ndani ya debe hupungua na hivyo pressure ya ndani itapungua na itapelekea debe kusinyaa, pressure is directly proportional to temperature change of a given volume of a gas.
P/T=Constant, where V is invariable .
If that is (Pressure law ??) I don't remember.
Hata hapa pia uko sahihi kabisa. Debe litasinyaa tu kama litakuwa liko wazi, kama kuna sehemu hewa itakuwa inaescape.
Nilidhani kuwa equation niliyoandika hapo juu nilikosea lakini kumbe hapana, niko sahihi, PV/T=K, ambayo inaonyesha pia kuwa P is directly proportional to T. Kwa hiyo kinachopelekea ubaridi kwenye greater heights ni nini?
Kwa hiyo uhusiano uliopo kati ya Pressure na Temperature ukiuhusiananisha na HEIGHT, ni upi sasa, kati ya DIRECT na INVERSE proportion? Nadhani nilikuwa sahihi kuwa the higher the height, the higer the pressure, the less the temperature, AU?Kinachopelekea ubaridi kwenye greater heights (higher altitudes) na kinachopelekea joto at the ground levels ni kitu gani???
Atmospheric air ina behave kama liquid katika chombo, mfano unapojaza maji ndani ya ndoo kulingana na sheria ya mgandamizo (pressure) maji yaliyopo chini kabisa yatakuwa kwenye mgandamizo mkubwa kuliko yale yaliyopo eneo la juu yaani unapopanda juu kutoka chini mgandamizo hupungua (pgh), ni hivyo hivyo katika atmospheric air unapopanda juu ya mlima mgandamizo wa hewa hupungua na unaposhuka chini mgandamizo wa hewa huzidi, kulingana na the kinetic theory of gasses hewa inapogandamizwa hupata joto (when it is subjected to a pressure it heat up).
Katika maeneo ya ardhini ambapo sisi tunaishi ndipo kuna CO2, CO, na green house gases nyingi sana kuliko katika higher altitudes, kitabia gases hizo ndizo hubeba sana joto hivyo joto la jua hufonzwa kidogo sana na hewa zilizopo juu kwasababu hewa za huko ni less denser kuliko hii hewa ya ardhini ambayo ni higher denser kutokana na mgandamizo na isitoshe imejaa sana green house gases inayozalishwa na wanadamu mambo yote haya yanafanya hewa ya ardhini iwe na joto kubwa kuliko hewa ya maeneo ya juu, point nyingine muhimu ni hii; ardhi ni good conductor ya heat ukilinganisha na hewa hivyo joto la jua hunyonywa na ardhi na wakati huo huo ardhi hulitoa hilo joto kwenye hewa ya ardhini na kusababisha hewa ya ardhini kuwa na joto.
Kimsingi hizo ni hoja za kisayansi kwanini kwenye higher altitudes kuna baridi kulinganisha na ardhini.
You're right, na kama sitakuwa nimesahau temperature drops by 0.6°C in every 100m rise in altitude.Kisayansi nnaweza kusema kuna vitu viwili vinavyopelekea kadri unavyozidi kupanda angani kwa lugha nyingine unavyoongeza altitude kutoka chin ya uso wa dunia hali ya joto inazidi kushuka licha ya kwamba unazid kulisogelea Jua.
1. Uwepo wa Ozone Layer.
Atmosphere imetengenezwa na ozone layer ambayo inauwezo wa kupunguza miale mikale ya jua (Sun flares) kwa 90%
Hivyo jua lisiweze kutuathiri moja kwa moja na kuweza kubadilisha hali ya hewa tuliyokuwa nayo kwa sasa.
Hivyo kutokana na miale ya jua kupoozwa inayofika ktk uso wa dunia,
inapelekea kadri unavyopanda angani (altitude) badala ya joto kuongezeka hivyo inapelekea joto kupungua ambapo baridi linaongezeka
(pia kumbuka jua lipo mbali na dunia kwa maelfu ya kilometers).
2. Uwepo wa gesi mbali mbali katika layer ya chini ya atmosphere hususani CO2 ambayo inauwezo wa ku'trap au kunasa joto la jua lililoweza kufika dunian na hivyo kupelekea layer ya chini za atmosphere kuwa na joto ukilinganisha na layer za juu ambapo gesi hizi zinapatikana kwa kiwango kdogo hivyo kufanya zisiweze kushikilia joto na hivyo kupelekea temperature ku'drop as you go higher up the altitude.
Natumaini umepata picha kwa namna yake...!
Nadhani jibu lishapatikana hapo mkuu, kadiri unavyoenda/panda juu, pressure inapungua, kwasababu pressure iko directly proportional na temperature, basi temperature nayo itapungua.Hata hapa pia uko sahihi kabisa. Debe litasinyaa tu kama litakuwa liko wazi, kama kuna sehemu hewa itakuwa inaescape.
Nilidhani kuwa equation niliyoandika hapo juu nilikosea lakini kumbe hapana, niko sahihi, PV/T=K, ambayo inaonyesha pia kuwa P is directly proportional to T. Kwa hiyo kinachopelekea ubaridi kwenye greater heights ni nini?