The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
Kipindi cha miaka 20 ni kipindi kirefu sana kwa kwa maisha ya binadamu yaani mtoto akizaliwa kufikia kipindi hicho wengine huwa wanajitegemea kabisa.
Jambo hili humaanisha kwamba tuna kizazi kingine chenye mtazamo mpya kabisa wa kifikra.
Sasa kwa chadema inaonekana hali ni tofauti kabisa yaani kwa kipindi chote hicho hawajaweza kuzalisha viongozi wapya kwa hiyo Mbowe anaweza kuwa mwenyekiti wao kwa mitano mingine kwani tatizo liko wapi?