Ni kwanini baada ya miaka 20 bado CHADEMA wengi wanaona Mbowe hana mbadala?

Ni kwanini baada ya miaka 20 bado CHADEMA wengi wanaona Mbowe hana mbadala?

“Kila Nilipokuwa Nikitaka Kung'atuka Walikuwa Wakiniambia: 'Mwalimu Endelea Tu, Hii Nchi Ni Changa Na Umeitoa Mbali. Nchi Hii Haitaendelea Bila Wewe'. Nami Niliiendelea Hadi Pale Nilipokuja Kugundua Kumbe Nchi Changa Waliyoiongelea Ni Familia Zao.” :-Mwl. Julius Kambarage Nyerere
Ukwel mchungu huu
 
Kipindi cha miaka 20 ni kipindi kirefu sana kwa kwa maisha ya binadamu yaani mtoto akizaliwa kufikia kipindi hicho wengine huwa wanajitegemea kabisa.

Jambo hili humaanisha kwamba tuna kizazi kingine chenye mtazamo mpya kabisa wa kifikra.

Sasa kwa chadema inaonekana hali ni tofauti kabisa yaani kwa kipindi chote hicho hawajaweza kuzalisha viongozi wapya kwa hiyo Mbowe anaweza kuwa mwenyekiti wao kwa mitano mingine kwani tatizo liko wapi?
Bila Mbowe CDM ni dhaifu sana.
 
Huwezi kukabidhi chama kwa wahuni, jamii ya mdude, sativa na Lissu, matusi nje nje kama zimeruka
Kwa hiyo Mbowe ni mwenyekiti wa wahuni? Sasa mwenyekiti wa wahuni lazima awe muhuni namba moja. Huwezi kuwa mwenyekiti wa wahuni bila wewe kuwa muhuni.
 
miaka 20?
too much is HARMFUL, kaa pembeni hata kwa miaka mingine, waongoze wengine, ukiona wanaboronga rudi mzigoni, ila imani kwamba bila wewe mambo hayaendi ni ya kitapeli, je ukifa leo na chama kife?
tuamini kila mtu ana mchango wake wa namna yake, kama jinsi tunataman kuona mabadiliko ya nchi basi tuone kwanza ya chadema.
 
Back
Top Bottom