The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
Kwa hiyo pale chadema ni wahuni isipokuwa MboweHuwezi kukabidhi chama kwa wahuni, jamii ya mdude, sativa na Lissu, matusi nje nje kama zimeruka
Kuna kitengo kina akili kubwa sana kuhakikisha nchi iko salama kwa ku neutralise hali yoyote ya kiusalama kwenye nchi ukifikiri kwa kina utamuona friimani kama nae kitengo na ndio mana siku zote anacheza kwa stepu hajawahi kuikazia serikali nawaza tu lkn mana naona kama sielewi
Wengi kwa kumuhesabu nani hadi nani?Kipindi cha miaka 20 ni kipindi kirefu sana kwa kwa maisha ya binadamu yaani mtoto akizaliwa kufikia kipindi hicho wengine huwa wanajitegemea kabisa.
Jambo hili humaanisha kwamba tuna kizazi kingine chenye mtazamo mpya kabisa wa kifikra.
Sasa kwa chadema inaonekana hali ni tofauti kabisa yaani kwa kipindi chote hicho hawajaweza kuzalisha viongozi wapya kwa hiyo Mbowe anaweza kuwa mwenyekiti wao kwa mitano mingine kwani tatizo liko wapi?
Chadema imejengwa kwa majina ya viongozi na si kama taasisi ndio maana vyama kama chadema huwa ukifika muda ni lazima vife moja kwa moja.Kipindi cha miaka 20 ni kipindi kirefu sana kwa kwa maisha ya binadamu yaani mtoto akizaliwa kufikia kipindi hicho wengine huwa wanajitegemea kabisa.
Jambo hili humaanisha kwamba tuna kizazi kingine chenye mtazamo mpya kabisa wa kifikra.
Sasa kwa chadema inaonekana hali ni tofauti kabisa yaani kwa kipindi chote hicho hawajaweza kuzalisha viongozi wapya kwa hiyo Mbowe anaweza kuwa mwenyekiti wao kwa mitano mingine kwani tatizo liko wapi?
Ahaa uko sahihi nadhani ndio maana hadi kina mwashambwa wanashabikia Mbowe abakiKuna kitengo kina akili kubwa sana kuhakikisha nchi iko salama kwa ku neutralise hali yoyote ya kiusalama kwenye nchi ukifikiri kwa kina utamuona friimani kama nae kitengo na ndio mana siku zote anacheza kwa stepu hajawahi kuikazia serikali nawaza tu lkn mana naona kama sielewi
Ingawa tusisahau pia kuwa nguvu ya vyama kote duniani hutegemea sana majina yenye nguvu hilo haliepukiki mie hoja yangu ni kuwa imeshindikanaje kutengeneza majina mengine yenye ushawishi kwa kipindi kirefu hivyo?Chadema imejengwa kwa majina ya viongozi na si kama taasisi ndio maana vyama kama chadema huwa ukifika muda ni lazima vife moja kwa moja.
Wanayo bahati kuwa Lissu amekuja na namna ya hiki chama kiendeshwe kama taasisi il sasa machawa ya Mzee Mbowe yamekuwa ni shida kubwa sana.
“Kila Nilipokuwa Nikitaka Kung'atuka Walikuwa Wakiniambia: 'Mwalimu Endelea Tu, Hii Nchi Ni Changa Na Umeitoa Mbali. Nchi Hii Haitaendelea Bila Wewe'. Nami Niliiendelea Hadi Pale Nilipokuja Kugundua Kumbe Nchi Changa Waliyoiongelea Ni Familia Zao.” :-Mwl. Julius Kambarage Nyerere
Ni juhudi za makusudi za mzee Mbowe kufanya hivyo ,embu fikiria miaka ishirini yeye ndio anajbambanua bila yeye hakuna taasisi na kwa amawzo yangu yeye mzee mbowe na machawa wake wanaamini kuwa huyu mzee ni lazima awe mwenyekiti wa milele hadi siku ya mwisho.Ingawa tusisahau pia kuwa nguvu ya vyama kote duniani hutegemea sana majina yenye nguvu hilo haliepukiki mie hoja yangu ni kuwa imeshindikanaje kutengeneza majina mengine yenye ushawishi kwa kipindi kirefu hivyo?
Hadi ifikie Leo watu wsnaandamana kwamba Mbowe aendelee!!
Lile libaba sijui linaitwa Mungai bila aibu linapaaza sauti .AIBUKupitia huu uchaguzi ndio kipimo cha chadema kuendelea kuaminika kwa umma au lah, uongozi wa muda mrefu utengeneza machawa, ndio hii inapelekea eti kikundi cha watu wanadai kuandama kwenda nyumbani kwa mtu kumshiniliza aendelee kugombea, shame
Hivi ni kwanini hata baada ya miaka 60 ya uhuru ccm inaona hakuna mbadalaHuwezi kukabidhi chama kwa wahuni, jamii ya mdude, sativa na Lissu, matusi nje nje kama zimeruka
Una maoni gani.Kipindi cha miaka 20 ni kipindi kirefu sana kwa kwa maisha ya binadamu yaani mtoto akizaliwa kufikia kipindi hicho wengine huwa wanajitegemea kabisa.
Jambo hili humaanisha kwamba tuna kizazi kingine chenye mtazamo mpya kabisa wa kifikra.
Sasa kwa chadema inaonekana hali ni tofauti kabisa yaani kwa kipindi chote hicho hawajaweza kuzalisha viongozi wapya kwa hiyo Mbowe anaweza kuwa mwenyekiti wao kwa mitano mingine kwani tatizo liko wapi?
Kwamba ndo pekee ana hati miliki ya hekima na busaraWanasemaga Mbowe ana hekima na busara...sasa ngoja tuone kama kweli anazo!.