Ni kwanini baada ya miaka 20 bado CHADEMA wengi wanaona Mbowe hana mbadala?

Ukwel mchungu huu
 
Bila Mbowe CDM ni dhaifu sana.
 
Huwezi kukabidhi chama kwa wahuni, jamii ya mdude, sativa na Lissu, matusi nje nje kama zimeruka
Kwa hiyo Mbowe ni mwenyekiti wa wahuni? Sasa mwenyekiti wa wahuni lazima awe muhuni namba moja. Huwezi kuwa mwenyekiti wa wahuni bila wewe kuwa muhuni.
 
miaka 20?
too much is HARMFUL, kaa pembeni hata kwa miaka mingine, waongoze wengine, ukiona wanaboronga rudi mzigoni, ila imani kwamba bila wewe mambo hayaendi ni ya kitapeli, je ukifa leo na chama kife?
tuamini kila mtu ana mchango wake wa namna yake, kama jinsi tunataman kuona mabadiliko ya nchi basi tuone kwanza ya chadema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…