Ni kwanini bado Waarabu wanatubagua, hata Mwafrika anapokuwa Muislam wanamkatalia kumuoa binti yao?

Labda upande wenu huko kwa mayahudi/westerns
mambo ya mwarabu ghali wanayo warabu koko wetu wa bongo ila wao wenyewe hizo mambo hawana au kisa wanawatenga wakina pangu pakavu tia mchuzi ndo maana mnawaona ghali...........we piga milemba na mikanzu kama yote ila ukifika kwa habibi dubai anakuona kijakazi wa mtumwa
 

Kwa nini wa Bongo wengi hawataki Mchaga awe Raisi ??
 

Ni mawazo yako
 
Upo sahihi kabisa kaka
 

Kuna mmoja alikua na kacheo flani ivi, aise alikua anachuki za kidini, hawapendi waislamu, leo yuko wapiii, ameshajifia na huko alipo anakipata anachostahili.
 
Elimu hawana zaidi ya biashara ya mabasi, kula tende,mirungi na kuvaa kanzu lakini kichwani weupe, wazungu elimu ipo.
hii kauli ni ya roho mbaya sana.....tafuta hela mkuu.....asilimia kubwa hatupewi nafasi za kuwaoa sababu ni hatuna pesa za kuwahudumia ....ukiwa na hela hawakatai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…