Ni kwanini biashara ya kitumwa ilichelewa kuharamishwa nchi za kiarabu na mpaka sasa inaendelea kimagendo ?

Ni kwanini biashara ya kitumwa ilichelewa kuharamishwa nchi za kiarabu na mpaka sasa inaendelea kimagendo ?

G Tank

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
2,297
Reaction score
8,760
Uingereza - 1833
Ufaransa - 1848
Marekani - 1865

Saudi Arabia na Yemen 1962,
Oman 1970
Mauritania 1981

Hadi leo Biashara hizi zinaendelea kimagendo

-Libya
-Western Sahara

Kwa nchi kama Saudi Arabia mpaka leo kuna unyanyasaji unaendelea kama kuporwa paspoti, vipigo, kubakwa, kulalishwa njaa, n.k. na tumejionea na kusikia wenyewe shuhuda kibao, Serikali za Kenya, Uganda na taasisi za haki Tanzania zimekuwa zikionya sana wanaotaka kwenda huko kutafuta maisha.
 
Kwa Saudia hata wafilipino waliteseka sana na wengine kupewa mimba na kusafirishwa
Walikuwa ni nurses na wafanyakazi wa ndani
Ila serikali ya Phillipines iliingilia kati na kusitisha contract zote za waliopo na wanaoenda huko

Wakakaa na serikali ya KSA na kufikia muafaka kesi ziliisha au zilipungua kwa asilimia kubwa sana
Sasa sisi tunashindwa nini Serikali zetu kuingia makubaliano na hata kuwashitaki watakao kiuka mikataba na kuwadhalilisha au kuwabaka?
Mbona yamewezekana kwa wenzetu?
Sisi hatuna maamuzi magumu ndio maana
Na wengi wanapelekwa na agents wasiojulikana hata na baadhi ya serikali za Afrika
Wametuona mabwege
 
Kila

Kila mtu ni mbabe, kila mtu kakasirika!

Hii mada itafikisha hata page 3 kweli!

Sjawai ona mada ya wababe kama hii, kha!
Tatizo hao wapumbavu wawili wako kila mada ya udini lazima wawepo
Wakikutana na mimi ni kuwapa za uso, na kuifunga mada
hakuna cha hoja wala nini,
 
Kwa Saudia hata wafilipino waliteseka sana na wengine kupewa mimba na kusafirishwa
Walikuwa ni nurses na wafanyakazi wa ndani
Ila serikali ya Phillipines iliingilia kati na kusitisha contract zote za waliopo na wanaoenda huko

Wakakaa na serikali ya KSA na kufikia muafaka kesi ziliisha au zilipungua kwa asilimia kubwa sana
Sasa sisi tunashindwa nini Serikali zetu kuingia makubaliano na hata kuwashitaki watakao kiuka mikataba na kuwadhalilisha au kuwabaka?
Mbona yamewezekana kwa wenzetu?
Sisi hatuna maamuzi magumu ndio maana
Na wengi wanapelekwa na agents wasiojulikana hata na baadhi ya serikali za Afrika
Wametuona mabwege

Africa ni lina serikali zetu zilajali raia wake? na hata sisi wenyewe tunashindwa kujitambua. tunaishia kulialia waarabu waarabu
 
wazungu waliharimmisha baada ya kumaliza matumizi nao hao watumwa sio kama ndio walikuwa wanakupendeni mkuu
 
Africa ni lina serikali zetu zilajali raia wake? na hata sisi wenyewe tunashindwa kujitambua. tunaishia kulialia waarabu waarabu
Na kweli, yaani watu wanaenda wenyewe na serikali inaona wanavyo fanyiwa ila bado wanaruhusu waende
Ni kweli Africa haijitambui kabisa
 
Back
Top Bottom