Ni kwanini Burundi inajipendekeza mno kwa Tanzania, lakini Rwanda inajiimarisha yenyewe kwa Kujipambania hadi Kusifika Kimataifa?

Nchi imewaletea mega project na Rwanda kaleta nini. Katia nchi marafiki toka rohoni Burundi ni inaongoza tangu enzi hizo urafiki haujakata ukilinganisha na mnyarwanda dharau na urafiki wa timing .nchi zote sijui ngapi hakuna mfano nchi mbili zenye bilateral relation kama nchi yetu na Burundi .wabongo mmezidi kuwa bongozozo kila Saa fyuuuuu.
 
Una chuki binafsi na Burundi. Rwanda wana matatizo yao. Nao bado ni watoto wetu hasa ikizingatiwa kuwa wanatutegemea kwa mengi. ni kwa vile hujui mambo ya kimataifa, ungejua wala usingejiabisha hivyo. Isitoshe Burundi na Rwanda zilikuwa sehemu ya Tanganyika wakati wa ukoloni wa Kijerumani. Bado ni watoto wetu.
 
Burundi ,Rwanda ni vimikoa vyetu vya Zamani kabla ya ukoloni.
Tatizo hawaelewani.
Na mana anachanganya habari.
Mala yuko Rwanda mala Burundi
Huko jamaa hao wanachapana chini kwa chini.
Matokeo???
 
Kwani Burundi hakuna Watutsi?
Swali la kujiuliza kwa nini wahutu na watutsi wa Rwandwa wameweza kuiimarisha nchi yao halafu hao hao wahutu na watutsi wa Burundi wameshindwa kuiendeleza nchi yao.
Nchi mbili, mazingira tofauti. Hata sisi bara na visiwani hatuko sawa.
 
Kweli nimechanganya, waliobadiri jina ni wa Mbabane na siyo Maseru.
Siyo umechanganya au umekosea bali huna Akili na ndiyo maana huwa nakuambia Wewe ni Mpumbavu na uache kuwa na Kiherehere husikii tu. Kubwa zima Jambo dogo tu la Kihistoria na Kijiografia hujui halafu unataka Kushindana na GENTAMYCINE anayekuzidi Akili Wewe na wana Ukoo wako Wote.

Na Kuna sehemu kama Kawaida yako ya Upumbavu wako uliokutukuka uliandika Jina la CEO wa Simba SC Babla badala ya Barbara.

Ukianzisha Vita nami uwe Genius kweli.

Cc: Arovera
 
Swaziland ndio hiyohiyo Eswatin kwa yule mfalme anaeoa kila mwaka anachagua bikra na lesotho bado wanatumia jina hilohilo
Huyu 'Fool' mwenzio Matola si ndiyo mlikuwa mkishirikiana Kunishambulia na akijifanya yuko well Informed, intelligent na ana exposure Kubwa ya mambo ya Kidunia na ni Intellectual sana? Sasa imekuwaje Jambo jepesi tu tena la Kihistoria na Kijiografia kama hilo ameshindwa Kulijua mpaka ukamrekebisha?

Ukiona tu GENTAMYCINE namdharau Mtu hapa kama ilivyo Kwake jua nimeshagundua kuwa si tu ni Mpumbavu bali pia ni Mwendawazimu.

Na sijui kwanini na Wewe umekuwa na Kiherehere cha kumuonea Huruma hadi Ukamrekebisha hapo bali ungeacha tu ili wenye Akili zaidi yake tuendelee Kumchora na Kumsanifu tu hapa JamiiiForums.

Halafu kama kweli unampenda 'Moron' Mwenzako na kumrekebisha mbona kule katika Uzi wangu wa Simba SC hukuwa na hiki Kiherehere cha Kumrekebisha baada ya kukosea Kuandika Jina la CEO wa Simba SC Babla badala ya Barbara?

Ukianzisha Vita nami uwe Genius kweli.
 
Kwel maana msumbij kuna dhahabu shaz pengne kajiweka pale kwa nia ya kukwapua Gold
Na ndiyo maana tunasema kuwa ana Akili nyingi. Halafu aliyewadanganyeni kuwa hata Tanzania ( Jeshi ) lenu kuwa kule Congo DR nalo kwa Kushirikiana na Serikali yenu 'haiibi' Madini ya Congo DR nani?

au mnadhani hatujui 'Madudu' aliyoyafanya Afande Brigedia Mwakibolwa huko ( tena akishirikiana na Viongozi Waandamizi Tanzania na Rais wenu Mstaafu Mmoja ) mpaka akarudishwa Tanzania na kuanza Kuchukiana na aliyekuwa Mkuu wa CMI Afande Mela ambaye sasa ni Balozi?

Wanafiki wakubwa na msio na Akili pia.
 
Absolute Nonsense.....!
 



 
WAKUBWA WANAUNGANA ILI KUMNYONYA MASKINI ....vice versa .......


Huo mkoa wa burundi huo....Kama vipi tuwe tunatenga bajeti yake Kama mkoa mojawapo wa Tz ...
 
Wewe kenge sio kama hatukujibu tunakuogopa ila hatuna muda wa kujibizana na wapuuzi mitandaoni kutokana na majukumu tuliyokuwa nayo..Tyna maneno ya shombo,plus matusi ya kiswahili na uhuni juu sema hatuwezi kujidhalilisha na kuexpose uhuni wetu kwenye jamii kama unavyofanya wewe mpuuzi ambaye JF nzima inakujua kama ni punguwani wahed..sasa sikia wewe kama unataka battle na mimi njoo pm nikuelekeze nilipo naandaa pambano la ngumi kavukavu dakila kumi tu maana unavyoonekana huna afya hata kidogo na hata mtaa unaoishi kuna watu wanakumaindi ufie kwenye mikono yao sasa ngoja mimi niwasaidie..Njoo pm ntakuja ulipo kwa gharama zangu nipo Sinza hapa
 
Okay huyo pk ndio mmeo
 
Shithole country Burundi survival yake inaitegemea Tz kwa asilimia zote.Leo Tz ikawaacha Burundi haitazidi hata wiki 1 tu CNDD-FDD itakua ishatolewa madarakani huku waasi wa Red-Tabara wakiwa ikulu wakinywa juice.
We kenge kweli sasa unawadharau watusi wenzako waliopo Burundi acha akili za kipanzi panzi
 
Labda nije huko PM ili unielekeze ni wapi tukutane ili 'Nikukaze' vizuri kuna 'Nyabenga' lako hilo sawa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…