Huyu 'Fool' mwenzio
Matola si ndiyo mlikuwa mkishirikiana Kunishambulia na akijifanya yuko well Informed, intelligent na ana exposure Kubwa ya mambo ya Kidunia na ni Intellectual sana? Sasa imekuwaje Jambo jepesi tu tena la Kihistoria na Kijiografia kama hilo ameshindwa Kulijua mpaka ukamrekebisha?
Ukiona tu GENTAMYCINE namdharau Mtu hapa kama ilivyo Kwake jua nimeshagundua kuwa si tu ni Mpumbavu bali pia ni Mwendawazimu.
Na sijui kwanini na Wewe umekuwa na Kiherehere cha kumuonea Huruma hadi Ukamrekebisha hapo bali ungeacha tu ili wenye Akili zaidi yake tuendelee Kumchora na Kumsanifu tu hapa JamiiiForums.
Halafu kama kweli unampenda 'Moron' Mwenzako na kumrekebisha mbona kule katika Uzi wangu wa Simba SC hukuwa na hiki Kiherehere cha Kumrekebisha baada ya kukosea Kuandika Jina la CEO wa Simba SC Babla badala ya Barbara?
Ukianzisha Vita nami uwe Genius kweli.