Ni kwanini Burundi inajipendekeza mno kwa Tanzania, lakini Rwanda inajiimarisha yenyewe kwa Kujipambania hadi Kusifika Kimataifa?

So
So,ww sio mwanaume?
 
Mbona wewe huwa unajipendekeza kwangu ila sikusemi hata kidogo mkuu?
 
Mbona Taifa la Werevu ( Einsteins ) la Rwanda kamwe halijipendekezi wala Kujikomba Kwenu Tanzania lakini linapiga hatua za Kimaendeleo haraka tena hata Kuizidi Tanzania yako / yenu?
Mimi ni mjinga but simple logic kama hii inakushinda kuidadavua jaribu kujenga nyumba ya vyumba 26 na nyumba ya vyumba 2 utaelewa . Einsteins Albert hana hata chembe ya gene za watu wanajisikia na kujiona Bora kuliko wengine kama vinyaruanda ila dhiki zimewajaa
 
😁😁😁😁😁😁
 
Mtu yeyote anayeshindwa kupanga succession za kiuongozi katika nchi yake, mimi naona ni mjinga sana kuliko wajinga wengine. Take Libya as your study case to predict the future of Rwanda and Uganda in East Africa.
Naunga mkono hoja
 
Ww ndo unamsifia mwanaume mwenzio,eti hakuna mwanaume Kama kagame Afrika,inaonekana anakupuuliza nyuma
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ukiona umeandika kitu 90% ya uliowaandikia wanakupinga kiwango chako cha akili ni kidogo sana.
 
Rwanda ni wezi sana wale,wanawaibia Dhahabu Wakongo, Burundi hawana tabia hiyo ya wizi,kwa hiyo usifananishe Rwanda na Burundi.

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Unaifahamu kwa kiwango gani Rwanda na Burundi??.

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Huyu Gentamicine Hana lolote alijualo kuhusu Mambo ya Mahusiano ya Kimataifa,Hivi Magufuli alipomtembelea Kagame kipindi kile alikuwa anajikomba Rwanda?,Hivi Viongozi wa nchi mbalimbali wanaokuja bongo wote wanajikomba?. Aiseee huyu hajui kitu.Tupa kule.

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Moja kati ya mbinu anayotumia kagame kuiangaza nchi yake ni yale mauaji ya kimbari ya mwaka 1994 iyo ndiyo mbinu yake ya kwanza, yaan PK ameipaisha rwanda ktk ilontukio as if dunia nzima hayo mambo yalitokea rwanda pekee, lkn pia kutafuta sthypath kwa kujifanya ana walaumu mataifa makubwa ya ulaya mfano BELGIUM, FRANCE kana kwamba ndio walichochea.

Hata baadhi ya wa rwanda inasemekana hawafurahishwi na kitendo cha kutumia tukio pa mauaji ya kimbari kama ndio kivutio cha utalii na hakika hapo PK ame fanikiwa kupata ile global attention
 
Tangu lin Watusi wakatokea MUSOMA?
 
Mbona Taifa la Werevu ( Einsteins ) la Rwanda kamwe halijipendekezi wala Kujikomba Kwenu Tanzania lakini linapiga hatua za Kimaendeleo haraka tena hata Kuizidi Tanzania yako / yenu?
Hakuna taifa la watu werevu mpaka sasa karne ya 21 wanapambana na suala la njaa...Rwanda na Burundi zotr ni Shithole countries katika ukanda huu wa Africa Mashariki na kati..Tutolee upumbavu wako humu

 
Hakuna taifa la watu werevu mpaka sasa karne ya 21 wanapambana na suala la njaa...Rwanda na Burundi zotr ni Shithole countries katika ukanda huu wa Africa Mashariki na kati..Tutolee upumbavu wako humu

View attachment 1985261
Ulisema kuwa sijakaa Ikulu ya Nakasero Uganda nikakujibu na mpaka niliokaa nao na kukuonyesha sijakaa tu ya Uganda bali nimekaa pia nikiwa Mdogo hata ya Dar es Salaam na Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere mbona hujaja tena la lingine? Pumbavu, Mswahili na Mshamba mkubwa Wewe.
 
Wakihitajika 'Wordsmiths' wa Kiingereza Pumbavu kama Wewe unaweza Kujitokeza na hata Kushindana nami?
Kiingereza kwangu ni lugha ya mawasiliano kama ilivyo kiswahili, kushindana ni kama unajifunza au unatafuta namna ya kuboresha kiingereza chako kitu ambacho sipo kwenye hizo level za kushindana kuongea kiingereza, pambana na hali yako..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…