Ni kwanini Burundi inajipendekeza mno kwa Tanzania, lakini Rwanda inajiimarisha yenyewe kwa Kujipambania hadi Kusifika Kimataifa?

Najua Ile njama ya PK kupindua Burundi iwe chini ya kibaraka wa PK GODFROD NIYOMBARE ingefanikiwa Leo ungeipenda na kuisifu Burundi!!lakini kwa kuwa mpango ulishindwa lazima uiponde tu!!Mwambie PK amfanyie mpango kayumba nyamwasa atawale Burundi kuliko kuitafuta Roho yake!!!
 
Hutus tangia lini wakawa na Akili Mkuu?
Nilijua tu ulikua unaelekea huku.... Uganda inaongozwa na Mtutsi ina maendeleo gani kuzidi Kenya au Tz? Ethiopia,Eritrea, na Somalia si cuishites wenzenu mbona umaskini ni mkubwa sana licha ya kuongozwa na "special race"!!!

Mind you Burundi iliongozwa na watutsi kuanzia Prince Rwegasore,Mwami Mwambutsa, Michael Micombero, Pierre Buyoya, Bagaza, n.k wa kutoka chama cha watutsi UPRONA je miaka yote mbona hawakuleta maendeleo if at all tatizo ni Rais akiwa mtutsi?

Hakuna uhusiano kati ya umaskini wa burundi na uongozi wa kabila fulani.
 
Kwani Rwanda yenyewe ina maendeleo gani tuanzie hapo, kitu ambacho Rwanda anamshinda Burundi ni usafi tu
 
Kwani Rwanda siyo Landlocked Country? Kuna shida ambazo Burundi inazo na Rwanda haina au haikuwahi kuwa nazo? Baada ya Genocide wote Warwanda na Waburundi walipewa Misaada ya Kujiimarisha na Kujiinua na IMF na WB mmeshajiandaa ni kwanini Rwanda ilizitumia vyema hizo Pesa na Burundi kupitia Viongozi wao wenye Urafiki na Rais wenu Mstaafu 'Mswahili' wa Pwani wakazifuja na kuja Kujenga Mahekalu, Mahoteli, Maduka makubwa, Kununua Mashamba mengi na kuja Kuoa hovyo Wanawake wa Kitanzania na Kuwaambukiza zaidi UKIMWI wao?

Rwanda waliokuwa matatizoni pamoja na Burundi katika 1994 Genocide ( tena wao ndiyo Wakiathirika zaidi kuliko Burundi ) wamewezaje Kujijenga na Kujiimarisha zaidi Kiusalama na Kijeshi mpaka sasa kuwa Tishio Africa na Wao Waburundi wasiweze / washindwe?

Unajenga nchi yako kwa Kujipendekeza na Kujikomba 24/7 kwa Tanzania mpaka kuruhusu waingie katika Idara zako Nyeti za Kijeshi, Usalama, Anga na Mawasiliano au kwa kuja na Mikakati thabiti ambayo haitoathiri Ustawi wako kama Nchi na Taifa?

Watutsi tukiwa tunawadharau Wahutu kwa kutokuwa Kwao na Akili msiwe mnaona tunawaomba bali huwa tuko sahihi 100% na nashukuru sasa kati ya Rwanda na Burundi tayari Rwanda inaonekana imeshavuka ngazi nyingi za Upuuzi wa Kiutawala, Kiutendaji na Kiuongozi uliopo huko Burundi.
Tatizo hujui historia.... Hata Rwanda imeji attach sana kwa Uganda baada ya Genocide hata silaha na wanajeshi wengi wa RPF zaidi ya 90% walitokea Uganda. Hata leo hii napoongea hakuna ofisi ya serikali ya Rwanda utakosa mtu aliezaliwa, alieishi, na kukulia Uganda na ninafahamu rafiki zangu zaidi ya 5 ambao wana vitambulisho vya Rwanda at the same time wana vitambulisho vya Uganda na maisha yanasonga.

Kila nchi inahitaji allies ili kujilinda baada ya vita maana ukiwa neutral unakua vulnerable kwa majirani wenye nia mbaya. So sio dhambi wao Ku ally na TZ kma ambavyo sio mbaya Rwanda kuji ally na UG tokea Genocide iishe mpaka hivi majuzi tu.

Kingine unachosahau huyo Buyoya si alipindua nchi baada ya Genocide na tokea uhuru Jeshi lilikua dominated na watutsi sasa unapolaumu wahutu kwa jeshi bovu huoni unapotosha? Kuanzia 1996 mpaka 2003 Rais alikua mtutsi ina maana pesa za Genocide relief alikula mtutsi kivipi sasa lawama kwa muhutu??

Kajifunze historia kwanza kabla ya kuropoka usichokua na elimu nacho
 
Kwani Rwanda siyo Landlocked Country? Kuna shida ambazo Burundi inazo na Rwanda haina au haikuwahi kuwa nazo? Baada ya Genocide wote Warwanda na Waburundi walipewa Misaada ya Kujiimarisha na Kujiinua na IMF na WB mmeshajiandaa ni kwanini Rwanda ilizitumia vyema hizo Pesa na Burundi kupitia Viongozi wao wenye Urafiki na Rais wenu Mstaafu 'Mswahili' wa Pwani wakazifuja na kuja Kujenga Mahekalu, Mahoteli, Maduka makubwa, Kununua Mashamba mengi na kuja Kuoa hovyo Wanawake wa Kitanzania na Kuwaambukiza zaidi UKIMWI wao?

Rwanda waliokuwa matatizoni pamoja na Burundi katika 1994 Genocide ( tena wao ndiyo Wakiathirika zaidi kuliko Burundi ) wamewezaje Kujijenga na Kujiimarisha zaidi Kiusalama na Kijeshi mpaka sasa kuwa Tishio Africa na Wao Waburundi wasiweze / washindwe?

Unajenga nchi yako kwa Kujipendekeza na Kujikomba 24/7 kwa Tanzania mpaka kuruhusu waingie katika Idara zako Nyeti za Kijeshi, Usalama, Anga na Mawasiliano au kwa kuja na Mikakati thabiti ambayo haitoathiri Ustawi wako kama Nchi na Taifa?

Watutsi tukiwa tunawadharau Wahutu kwa kutokuwa Kwao na Akili msiwe mnaona tunawaomba bali huwa tuko sahihi 100% na nashukuru sasa kati ya Rwanda na Burundi tayari Rwanda inaonekana imeshavuka ngazi nyingi za Upuuzi wa Kiutawala, Kiutendaji na Kiuongozi uliopo huko Burundi.
Mkuu ivi Rwanda hakuna raia wahutu?... naomba kujuzwa
 
Na cha Kushangaza zaidi kama Burundi inabebwa kwakuwa iliathirika na 1994 Genocide kwa Ripoti za UN zinasema kwamba Rwanda ndiyo iliathirika sana tu ila yenyewe wala haijikombi wala haijipendekezi kwa Mataifa makubwa ya Ukanda wake.

Naifananisha Burundi na Mtoto Mvivu na Mpumbavu pia anayependa Kudeka, Kuongozwa na asiyejitambua ila naifananisha Rwanda na Mtoto Yatima ila aliyejaaliwa Akili, Ushujaa, Mchapakazi, anayejiamini na asiyependwa Kupandwa Kichwani na Wapuuzi (wanaojiita Wakongwe)

Mwanamume Afrika ni Paul Kagame tu.
Taasisi ya Urais- Rwanda itateswa milele kwa kuitukana taasisi ya Urais-Tanzania wakati wa awamu ya 4. Tangu wakati huo Tanzania inahusiana na Rwanda kwa tahadhari kubwa. Rwanda mtakula jeuri yenu kwa kushindwa kuishi vizuri na jirani zenu kwa sababu ya superiority complex na ukibaraka wenu kwa wazungu ili kutumiwa kupora rasilimali za waafrika wenzenu (DRC). Tutsi-hima ni watu msio na shukurani kabisa hadi mnashindwa kuiheshimu Uganda ambayo kama si wao kurudi Rwanda na kutwaa madaraka ingekuwa ndoto. Sasa mnaona wivu wa kike mnapoona Burundi akiwa humble kwa Tanzania na wakiitana ndugu.
MTAJIJUUUU!
 
Ndio jamii ya Rwanda Na Burundi Na Kigoma jamii zao hufanana kwa kua na aina ya Watutsi, wahutu na watwa sasa mambo ya historia hatutaki kuyaleta hapa ya vita za tokea miaka ya 1972 na genocide ya 1994, na katika jamii hizo mkoloni alipoingia alimpa kipaumbele mtusi huku akijua mtutsi ni Minority group hadi leo wakati Wahutu ni Wengi ukanda huo kuliko watustsi, kiasili mtutsi ni mfugaji na alipata fursa ya kuwatawala wengine mapema lakini haimaanishi kua ana akili kuliko muhutu hapana sii kweli, mtutsi hupenda sifa na kusifiwa sifiwa lakini ni maboya kama wengine tu
Watutsi tuliosoma nao sekondari aliyefaulu sana alipata division 3.
 
Kwani Rwanda siyo Landlocked Country? Kuna shida ambazo Burundi inazo na Rwanda haina au haikuwahi kuwa nazo? Baada ya Genocide wote Warwanda na Waburundi walipewa Misaada ya Kujiimarisha na Kujiinua na IMF na WB mmeshajiandaa ni kwanini Rwanda ilizitumia vyema hizo Pesa na Burundi kupitia Viongozi wao wenye Urafiki na Rais wenu Mstaafu 'Mswahili' wa Pwani wakazifuja na kuja Kujenga Mahekalu, Mahoteli, Maduka makubwa, Kununua Mashamba mengi na kuja Kuoa hovyo Wanawake wa Kitanzania na Kuwaambukiza zaidi UKIMWI wao?

Rwanda waliokuwa matatizoni pamoja na Burundi katika 1994 Genocide ( tena wao ndiyo Wakiathirika zaidi kuliko Burundi ) wamewezaje Kujijenga na Kujiimarisha zaidi Kiusalama na Kijeshi mpaka sasa kuwa Tishio Africa na Wao Waburundi wasiweze / washindwe?

Unajenga nchi yako kwa Kujipendekeza na Kujikomba 24/7 kwa Tanzania mpaka kuruhusu waingie katika Idara zako Nyeti za Kijeshi, Usalama, Anga na Mawasiliano au kwa kuja na Mikakati thabiti ambayo haitoathiri Ustawi wako kama Nchi na Taifa?

Watutsi tukiwa tunawadharau Wahutu kwa kutokuwa Kwao na Akili msiwe mnaona tunawaomba bali huwa tuko sahihi 100% na nashukuru sasa kati ya Rwanda na Burundi tayari Rwanda inaonekana imeshavuka ngazi nyingi za Upuuzi wa Kiutawala, Kiutendaji na Kiuongozi uliopo huko Burundi.
Rwanda uwiano wa mhutu na mtutsi kwenye sekta mbali mbali ukoje kuanzia huko mashuleni?
 
Na cha Kushangaza zaidi kama Burundi inabebwa kwakuwa iliathirika na 1994 Genocide kwa Ripoti za UN zinasema kwamba Rwanda ndiyo iliathirika sana tu ila yenyewe wala haijikombi wala haijipendekezi kwa Mataifa makubwa ya Ukanda wake.

Naifananisha Burundi na Mtoto Mvivu na Mpumbavu pia anayependa Kudeka, Kuongozwa na asiyejitambua ila naifananisha Rwanda na Mtoto Yatima ila aliyejaaliwa Akili, Ushujaa, Mchapakazi, anayejiamini na asiyependwa Kupandwa Kichwani na Wapuuzi (wanaojiita Wakongwe)

Mwanamume Afrika ni Paul Kagame tu.
Mtu yeyote anayeshindwa kupanga succession za kiuongozi katika nchi yake, mimi naona ni mjinga sana kuliko wajinga wengine. Take Libya as your study case to predict the future of Rwanda and Uganda in East Africa.
 
Na cha Kushangaza zaidi kama Burundi inabebwa kwakuwa iliathirika na 1994 Genocide kwa Ripoti za UN zinasema kwamba Rwanda ndiyo iliathirika sana tu ila yenyewe wala haijikombi wala haijipendekezi kwa Mataifa makubwa ya Ukanda wake.

Naifananisha Burundi na Mtoto Mvivu na Mpumbavu pia anayependa Kudeka, Kuongozwa na asiyejitambua ila naifananisha Rwanda na Mtoto Yatima ila aliyejaaliwa Akili, Ushujaa, Mchapakazi, anayejiamini na asiyependwa Kupandwa Kichwani na Wapuuzi (wanaojiita Wakongwe)

Mwanamume Afrika ni Paul Kagame tu.
Acha kujivunjia heshima yako!,acha kusifia Mwizi,gaidi anayesifiwa ni mungu pekee!
 
Hutus tangia lini wakawa na Akili Mkuu?
Wewe na umri wako ulionao vijana wangapi wanakuzidi kila kitu.. acha ujinga wako wa kutusi watu hawana akili, we una akili? Kama una sema hawana akili kisa maendeleo wewe hapo ulipo una maendeleo gani? Usiseme watu jiseme wewe
 
Na cha Kushangaza zaidi kama Burundi inabebwa kwakuwa iliathirika na 1994 Genocide kwa Ripoti za UN zinasema kwamba Rwanda ndiyo iliathirika sana tu ila yenyewe wala haijikombi wala haijipendekezi kwa Mataifa makubwa ya Ukanda wake.

Naifananisha Burundi na Mtoto Mvivu na Mpumbavu pia anayependa Kudeka, Kuongozwa na asiyejitambua ila naifananisha Rwanda na Mtoto Yatima ila aliyejaaliwa Akili, Ushujaa, Mchapakazi, anayejiamini na asiyependwa Kupandwa Kichwani na Wapuuzi (wanaojiita Wakongwe)

Mwanamume Afrika ni Paul Kagame tu.
PK anataka kumuweka mtu wake pale. Mpango wa bahima Empire ili ufanikiwe, lazima Burundi nayo iwe na jamaa wa shingo na pua ndefu
 
Hii mitaa uliyomtajia hawezi kuijua kwa sababu kanajifanya kanyarwanda na huku sio Kanyarwanda...kuna mwaka aliwahi kutuongopea eti kakulia ikulu ya Uganda...kajamaa ni kaongo na kana majigambo ys kishamba sana
Nakuongezea sasa sijakulia tu Ikulu ya Uganda na Dada Jane Kabila pamoja na Mtoto wa aliyekuwa Kiongozi Mwandamizi wa Tanzania ( sasa ni Mstaafu anaishi Mabwepande ) bali hata wakati wa Awamu ya Kwanza nimeishi pia Ikulu ya Tanzania pamoja na Kuishi Msasani kwa Babu yangu Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere huku akina Kaka Makongoro, Dada Anna na Dada yake Mwalimu Marehemu Theresia Nyakigi wakinibeba na Kucheza nami nikiwa Mtoto kabisa.

Pumbavu njoo tena na lingine nikujibu.
 
Kwani Burundi hakuna Watutsi?
Swali la kujiuliza kwa nini wahutu na watutsi wa Rwandwa wameweza kuiimarisha nchi yao halafu hao hao wahutu na watutsi wa Burundi wameshindwa kuiendeleza nchi yao.
That's a point....
 
Back
Top Bottom