Ni kwanini Burundi inajipendekeza mno kwa Tanzania, lakini Rwanda inajiimarisha yenyewe kwa Kujipambania hadi Kusifika Kimataifa?

Ni kwanini Burundi inajipendekeza mno kwa Tanzania, lakini Rwanda inajiimarisha yenyewe kwa Kujipambania hadi Kusifika Kimataifa?

#GENTAMYCINE!
Saa ingine huwa unaandika habari za mihemko kuliko uhalisia.
Kwanza sioni rasmi sababu ya wewe kusema Burundi inajikomba kwa Tanzania.

Wewe huyajui kwa undani mambo nyeti ya kiserikali hususan kiuchumi na kiusalama.

Huwezi jua burumdi kama land locked country,hujui inapitia changamoto gani kiuchumi na hivyo kuhitaji mazingira bora ya kuitumia bandari yetu na pia kushirikiana nasi kwenye ujenzi wa SGR ya msongati.

Pia kiusalama Tanzania na Burundi tuna pakana kwa karibu na kwa eneo kubwa la nchi kavu na tumekuwa na changamoto ya usalama.
Na tumemsikia Rais wa Burundi akitamka hadharani kwamba kuna kiongozi wa waasi Burundi anaisumbua serikali yake kwa sasa akishirikiana na waasi wa ADF.
Sasa wewe unawezaje kujua kama hiyo si agenda mojawapo iliyo mlazimu kuja nchini,huenda wao wana tetesi za waasi hao kuitumia ardhi yetu kinyemela kwa mafunzo yao na kuingia Burundi kufanya vurugu na kurudi.

Sio kila wanalolijadili faragha hawa marais iwekwe hadharani. Mengine huwa ni nyeti za kiusalama zaidi.

Wewe unamsifu Kagame yule msigina Demokrasia ambaye anawaua na kuwafunga wote wanaojaribu kumkosoa mpaka wanamuziki!

Huyu Kagame ambae anatajirika kwa kuiba raslimali za CONGO DRC Anazozichimba kimabavu akiwatumia kina Lauwrer Nkunda!

Huyu anaemtesa Victoir Ingabire!

Hebu nenda Rwanda uingie kigali na uingie mitaani kuanzia Lemela,Kimironko,Nyamirambo,Kichukiro na katikati Nyabugogo uingie na uongee na raia wa kawaida wakwambie (kama utawaondoa hofu ya Kagame).
Halafu ujuwe kinachoendelea!

Acha chuki zako kisa rais wa Burundi kuisifia serikali unayoichukia wewe.
Shame on you.

Pichani chini ndie mtu hatari kwa serikali ya Burundi. View attachment 1984008
Hii mitaa uliyomtajia hawezi kuijua kwa sababu kanajifanya kanyarwanda na huku sio Kanyarwanda...kuna mwaka aliwahi kutuongopea eti kakulia ikulu ya Uganda...kajamaa ni kaongo na kana majigambo ys kishamba sana
 
Wapiga makofi wajinga wa kagame ndio hawa sasa, kwenye mkutano wa Arusha ambao ulimwingiza Rais Nkurunziza madarakani na kumaliza civil War Burundi Ambapo pia Peresider wa sasa alikua mjumbe maalumu, Baraza la Wazee la Burundi ambalo liliketi pale Buyenzi barabara ya Sita ambalo lilichukua wazee kutoka Ngozi, Gitega, Bujumbura na maeneo mengine nchini waliiomba Tanzania Kua Mlezi wa kudumu wa nchi ya Burundi hiyo ndio sababu hadi leo tatizo likitokea Burundi lazima waje Tanzania kwa mlezi wao
 
IMG_8229.jpg

Kiwanda cha Fomi Burundi ambacho Baada ya kufanya vyema kwa Mbolea yake ndio ilifanya Rais Magufuli amshawishi Bilionea Simon kuja kujenga na Tanzania ili kupambana na uhaba wa mbolea, Bilionea huyo aliitikia wito na kiwanda kinajengwa Nala Dodoma ambapo kitalenga soko pia la ndani ya Tanzania ikiwa ni pamoja na masoko ya Kenya, Malawi na Zambia kwani kwa kutokea Dodoma maeneo hayo hufikika kirahisi sana
 
Nalifahamu fika hilo jambo,
Ila nilichokua namuonesha popoma ni kwamba Burundi watutsi pia wapo na nchi yao ni maskini.

Ndio jamii ya Rwanda Na Burundi Na Kigoma jamii zao hufanana kwa kua na aina ya Watutsi, wahutu na watwa sasa mambo ya historia hatutaki kuyaleta hapa ya vita za tokea miaka ya 1972 na genocide ya 1994, na katika jamii hizo mkoloni alipoingia alimpa kipaumbele mtusi huku akijua mtutsi ni Minority group hadi leo wakati Wahutu ni Wengi ukanda huo kuliko watustsi, kiasili mtutsi ni mfugaji na alipata fursa ya kuwatawala wengine mapema lakini haimaanishi kua ana akili kuliko muhutu hapana sii kweli, mtutsi hupenda sifa na kusifiwa sifiwa lakini ni maboya kama wengine tu
 
Wenyewe wanajiona ni taifa teule, yaani ukiwabariki watutsi na wewe utabarikiwa na ukiwalaani basi nawe pia utalaaniwa.
 
Kutokana na kupenda kutawala jamii ya kitutsi ilishajipenyeza hadi Congo miaka mingi na kujipa kabila mpya ya Banyamulenge hawa ndio jamii inayotesa wacongoman miaka yote hawa ndio watutsi wnaosaidiana na Kagame kuiba rasilimali ya congo kwa kuunda vikundi lukuki vya waasi ili kuchota mali ya Congo, na Kagame kufanywa agent wa maslahi ya marekani hufadhiliwa mabilioni na CIA , ili kuhakikisha Congo haitulii na Rwanda haina Rasilimali kuishinda Burundi, Mgodi wa Kabanga Nickel ambapo nao pia Burundi wataanza uchimbaji hivi karibuni na Wataleta kuuza Tanzania ni moja ya mikataba president Ndayishimiye amesaini na Rais Samia.
 
Na cha Kushangaza zaidi kama Burundi inabebwa kwakuwa iliathirika na 1994 Genocide kwa Ripoti za UN zinasema kwamba Rwanda ndiyo iliathirika sana tu ila yenyewe wala haijikombi wala haijipendekezi kwa Mataifa makubwa ya Ukanda wake.

Naifananisha Burundi na Mtoto Mvivu na Mpumbavu pia anayependa Kudeka, Kuongozwa na asiyejitambua ila naifananisha Rwanda na Mtoto Yatima ila aliyejaaliwa Akili, Ushujaa, Mchapakazi, anayejiamini na asiyependwa Kupandwa Kichwani na Wapuuzi (wanaojiita Wakongwe)

Mwanamume Afrika ni Paul Kagame tu.
Burundi na Rwanda yote ni mikoa ya Tanzania, hakuna unaya kudeka
 
Kwahiyo Rwanda ina demokrasia?

Mnafki mkubwa

Tanzania miaka yote hunufaika na Burundi kiuchumi kuliko Rwanda, na Tanzania hupata faida kubwa kiuchumi Burundi kuliko Rwanda, kiwanda pekee cha FOMI kitaajiri Watanzania wengi zaidi na kodi italipwa kazi ya bilionea Simon hiyo, ukiona wanaomsifia Kagame kwa sasa ni wale wajinga wajinga wa kitutsi wanaopenda kujikweza na kutukuzwa
 
Kwahiyo Rwanda ina demokrasia?

Mnafki mkubwa

Rwanda hakuna demokrasia, huo ndio ukweli na the guy anachekewa sababu husaidia kuiba mali ya mwafrika mwenzie kupeleka Ulaya, na kusababisha fujo isiyoisha DRC , fika congo yote kinshasa, Lubumbashi, Goma, Kisangani, Maniema hakuna ata Mkongomani Moya atasema anampenda munyarwanda ni shetani mkubwa huyo hafai
 
Huo ni UKWELI usiopingika
 
Na cha Kushangaza zaidi kama Burundi inabebwa kwakuwa iliathirika na 1994 Genocide kwa Ripoti za UN zinasema kwamba Rwanda ndiyo iliathirika sana tu ila yenyewe wala haijikombi wala haijipendekezi kwa Mataifa makubwa ya Ukanda wake.

Naifananisha Burundi na Mtoto Mvivu na Mpumbavu pia anayependa Kudeka, Kuongozwa na asiyejitambua ila naifananisha Rwanda na Mtoto Yatima ila aliyejaaliwa Akili, Ushujaa, Mchapakazi, anayejiamini na asiyependwa Kupandwa Kichwani na Wapuuzi (wanaojiita Wakongwe)

Mwanamume Afrika ni Paul Kagame tu.
Bora leo umetutambulisha jinsia yako kwamba wewe ni demu.
 
Shithole country Burundi survival yake inaitegemea Tz kwa asilimia zote.Leo Tz ikawaacha Burundi haitazidi hata wiki 1 tu CNDD-FDD itakua ishatolewa madarakani huku waasi wa Red-Tabara wakiwa ikulu wakinywa juice.
 
Rwanda hakuna demokrasia, huo ndio ukweli na the guy anachekewa sababu husaidia kuiba mali ya mwafrika mwenzie kupeleka Ulaya, na kusababisha fujo isiyoisha DRC , fika congo yote kinshasa, Lubumbashi, Goma, Kisangani, Maniema hakuna ata Mkongomani Moya atasema anampenda munyarwanda ni shetani mkubwa huyo hafai
😄😄😄 Wanaume wa Wacongo wamekalia kucheza ndomboro ya soro,kujichubua ngozi,kusuka wakina dada masaluni,hawatakagi kufanya kazi ngumu ngumu/za maana,wote wanawaza kwenda Paris Wala hawana dreams za kuijenga nchi yao.

Hua nacheka kinyama Wacongo wanavyolia Lia khs Rwanda ka nchi kadogo kanaingia mara 90 ya Congo 😄😄😄.Yaani Ni shithole kabisa
 
Rwanda hakuna demokrasia, huo ndio ukweli na the guy anachekewa sababu husaidia kuiba mali ya mwafrika mwenzie kupeleka Ulaya, na kusababisha fujo isiyoisha DRC , fika congo yote kinshasa, Lubumbashi, Goma, Kisangani, Maniema hakuna ata Mkongomani Moya atasema anampenda munyarwanda ni shetani mkubwa huyo hafai
Ndio maana hakanywi na wazungu kuwakandamiza wapinzani wake kwa sababu ni agent wao kuihujumu DR Congo.
 
Ndio maana hakanywi na wazungu kuwakandamiza wapinzani wake kwa sababu ni agent wao kuihujumu DR Congo.

Namsubiri popoma nijadili nae siasa za maziwa makuu leo nimpe shule, hadi hapo umeona Burundi anaifaa zaidi Tanzania kuliko Rwanda Ndumilakuwili
 
Back
Top Bottom