Ni kwanini Burundi inajipendekeza mno kwa Tanzania, lakini Rwanda inajiimarisha yenyewe kwa Kujipambania hadi Kusifika Kimataifa?

Ni kwanini Burundi inajipendekeza mno kwa Tanzania, lakini Rwanda inajiimarisha yenyewe kwa Kujipambania hadi Kusifika Kimataifa?

So
Na cha Kushangaza zaidi kama Burundi inabebwa kwakuwa iliathirika na 1994 Genocide kwa Ripoti za UN zinasema kwamba Rwanda ndiyo iliathirika sana tu ila yenyewe wala haijikombi wala haijipendekezi kwa Mataifa makubwa ya Ukanda wake.

Naifananisha Burundi na Mtoto Mvivu na Mpumbavu pia anayependa Kudeka, Kuongozwa na asiyejitambua ila naifananisha Rwanda na Mtoto Yatima ila aliyejaaliwa Akili, Ushujaa, Mchapakazi, anayejiamini na asiyependwa Kupandwa Kichwani na Wapuuzi (wanaojiita Wakongwe)

Mwanamume Afrika ni Paul Kagame tu.
So,ww sio mwanaume?
 
Mbona wewe huwa unajipendekeza kwangu ila sikusemi hata kidogo mkuu?
 
Mbona Taifa la Werevu ( Einsteins ) la Rwanda kamwe halijipendekezi wala Kujikomba Kwenu Tanzania lakini linapiga hatua za Kimaendeleo haraka tena hata Kuizidi Tanzania yako / yenu?
Mimi ni mjinga but simple logic kama hii inakushinda kuidadavua jaribu kujenga nyumba ya vyumba 26 na nyumba ya vyumba 2 utaelewa . Einsteins Albert hana hata chembe ya gene za watu wanajisikia na kujiona Bora kuliko wengine kama vinyaruanda ila dhiki zimewajaa
 
Taasisi ya Urais- Rwanda itateswa milele kwa kuitukana taasisi ya Urais-Tanzania wakati wa awamu ya 4. Tangu wakati huo Tanzania inahusiana na Rwanda kwa tahadhari kubwa. Rwanda mtakula jeuri yenu kwa kushindwa kuishi vizuri na jirani zenu kwa sababu ya superiority complex na ukibaraka wenu kwa wazungu ili kutumiwa kupora rasilimali za waafrika wenzenu (DRC). Tutsi-hima ni watu msio na shukurani kabisa hadi mnashindwa kuiheshimu Uganda ambayo kama si wao kurudi Rwanda na kutwaa madaraka ingekuwa ndoto. Sasa mnaona wivu wa kike mnapoona Burundi akiwa humble kwa Tanzania na wakiitana ndugu.
MTAJIJUUUU!
😁😁😁😁😁😁
 
Mtu yeyote anayeshindwa kupanga succession za kiuongozi katika nchi yake, mimi naona ni mjinga sana kuliko wajinga wengine. Take Libya as your study case to predict the future of Rwanda and Uganda in East Africa.
Naunga mkono hoja
 
Ukiona umeandika kitu 90% ya uliowaandikia wanakupinga kiwango chako cha akili ni kidogo sana.
 
Kwani Rwanda siyo Landlocked Country? Kuna shida ambazo Burundi inazo na Rwanda haina au haikuwahi kuwa nazo? Baada ya Genocide wote Warwanda na Waburundi walipewa Misaada ya Kujiimarisha na Kujiinua na IMF na WB mmeshajiandaa ni kwanini Rwanda ilizitumia vyema hizo Pesa na Burundi kupitia Viongozi wao wenye Urafiki na Rais wenu Mstaafu 'Mswahili' wa Pwani wakazifuja na kuja Kujenga Mahekalu, Mahoteli, Maduka makubwa, Kununua Mashamba mengi na kuja Kuoa hovyo Wanawake wa Kitanzania na Kuwaambukiza zaidi UKIMWI wao?

Rwanda waliokuwa matatizoni pamoja na Burundi katika 1994 Genocide ( tena wao ndiyo Wakiathirika zaidi kuliko Burundi ) wamewezaje Kujijenga na Kujiimarisha zaidi Kiusalama na Kijeshi mpaka sasa kuwa Tishio Africa na Wao Waburundi wasiweze / washindwe?

Unajenga nchi yako kwa Kujipendekeza na Kujikomba 24/7 kwa Tanzania mpaka kuruhusu waingie katika Idara zako Nyeti za Kijeshi, Usalama, Anga na Mawasiliano au kwa kuja na Mikakati thabiti ambayo haitoathiri Ustawi wako kama Nchi na Taifa?

Watutsi tukiwa tunawadharau Wahutu kwa kutokuwa Kwao na Akili msiwe mnaona tunawaomba bali huwa tuko sahihi 100% na nashukuru sasa kati ya Rwanda na Burundi tayari Rwanda inaonekana imeshavuka ngazi nyingi za Upuuzi wa Kiutawala, Kiutendaji na Kiuongozi uliopo huko Burundi.
Unaifahamu kwa kiwango gani Rwanda na Burundi??.

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
#GENTAMYCINE!
Saa ingine huwa unaandika habari za mihemko kuliko uhalisia.
Kwanza sioni rasmi sababu ya wewe kusema Burundi inajikomba kwa Tanzania.

Wewe huyajui kwa undani mambo nyeti ya kiserikali hususan kiuchumi na kiusalama.

Huwezi jua burumdi kama land locked country,hujui inapitia changamoto gani kiuchumi na hivyo kuhitaji mazingira bora ya kuitumia bandari yetu na pia kushirikiana nasi kwenye ujenzi wa SGR ya msongati.

Pia kiusalama Tanzania na Burundi tuna pakana kwa karibu na kwa eneo kubwa la nchi kavu na tumekuwa na changamoto ya usalama.
Na tumemsikia Rais wa Burundi akitamka hadharani kwamba kuna kiongozi wa waasi Burundi anaisumbua serikali yake kwa sasa akishirikiana na waasi wa ADF.
Sasa wewe unawezaje kujua kama hiyo si agenda mojawapo iliyo mlazimu kuja nchini,huenda wao wana tetesi za waasi hao kuitumia ardhi yetu kinyemela kwa mafunzo yao na kuingia Burundi kufanya vurugu na kurudi.

Sio kila wanalolijadili faragha hawa marais iwekwe hadharani. Mengine huwa ni nyeti za kiusalama zaidi.

Wewe unamsifu Kagame yule msigina Demokrasia ambaye anawaua na kuwafunga wote wanaojaribu kumkosoa mpaka wanamuziki!

Huyu Kagame ambae anatajirika kwa kuiba raslimali za CONGO DRC Anazozichimba kimabavu akiwatumia kina Lauwrer Nkunda!

Huyu anaemtesa Victoir Ingabire!

Hebu nenda Rwanda uingie kigali na uingie mitaani kuanzia Lemela,Kimironko,Nyamirambo,Kichukiro na katikati Nyabugogo uingie na uongee na raia wa kawaida wakwambie (kama utawaondoa hofu ya Kagame).
Halafu ujuwe kinachoendelea!

Acha chuki zako kisa rais wa Burundi kuisifia serikali unayoichukia wewe.
Shame on you.

Pichani chini ndie mtu hatari kwa serikali ya Burundi.
Jina lake ni Alex's Sinduhije.anaishi uhamishoni ubelgiji kwa sasa
View attachment 1984011
Huyu Gentamicine Hana lolote alijualo kuhusu Mambo ya Mahusiano ya Kimataifa,Hivi Magufuli alipomtembelea Kagame kipindi kile alikuwa anajikomba Rwanda?,Hivi Viongozi wa nchi mbalimbali wanaokuja bongo wote wanajikomba?. Aiseee huyu hajui kitu.Tupa kule.

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Moja kati ya mbinu anayotumia kagame kuiangaza nchi yake ni yale mauaji ya kimbari ya mwaka 1994 iyo ndiyo mbinu yake ya kwanza, yaan PK ameipaisha rwanda ktk ilontukio as if dunia nzima hayo mambo yalitokea rwanda pekee, lkn pia kutafuta sthypath kwa kujifanya ana walaumu mataifa makubwa ya ulaya mfano BELGIUM, FRANCE kana kwamba ndio walichochea.

Hata baadhi ya wa rwanda inasemekana hawafurahishwi na kitendo cha kutumia tukio pa mauaji ya kimbari kama ndio kivutio cha utalii na hakika hapo PK ame fanikiwa kupata ile global attention
 
Kwani Rwanda siyo Landlocked Country? Kuna shida ambazo Burundi inazo na Rwanda haina au haikuwahi kuwa nazo? Baada ya Genocide wote Warwanda na Waburundi walipewa Misaada ya Kujiimarisha na Kujiinua na IMF na WB mmeshajiandaa ni kwanini Rwanda ilizitumia vyema hizo Pesa na Burundi kupitia Viongozi wao wenye Urafiki na Rais wenu Mstaafu 'Mswahili' wa Pwani wakazifuja na kuja Kujenga Mahekalu, Mahoteli, Maduka makubwa, Kununua Mashamba mengi na kuja Kuoa hovyo Wanawake wa Kitanzania na Kuwaambukiza zaidi UKIMWI wao?

Rwanda waliokuwa matatizoni pamoja na Burundi katika 1994 Genocide ( tena wao ndiyo Wakiathirika zaidi kuliko Burundi ) wamewezaje Kujijenga na Kujiimarisha zaidi Kiusalama na Kijeshi mpaka sasa kuwa Tishio Africa na Wao Waburundi wasiweze / washindwe?

Unajenga nchi yako kwa Kujipendekeza na Kujikomba 24/7 kwa Tanzania mpaka kuruhusu waingie katika Idara zako Nyeti za Kijeshi, Usalama, Anga na Mawasiliano au kwa kuja na Mikakati thabiti ambayo haitoathiri Ustawi wako kama Nchi na Taifa?

Watutsi tukiwa tunawadharau Wahutu kwa kutokuwa Kwao na Akili msiwe mnaona tunawaomba bali huwa tuko sahihi 100% na nashukuru sasa kati ya Rwanda na Burundi tayari Rwanda inaonekana imeshavuka ngazi nyingi za Upuuzi wa Kiutawala, Kiutendaji na Kiuongozi uliopo huko Burundi.
Tangu lin Watusi wakatokea MUSOMA?
 
Mbona Taifa la Werevu ( Einsteins ) la Rwanda kamwe halijipendekezi wala Kujikomba Kwenu Tanzania lakini linapiga hatua za Kimaendeleo haraka tena hata Kuizidi Tanzania yako / yenu?
Hakuna taifa la watu werevu mpaka sasa karne ya 21 wanapambana na suala la njaa...Rwanda na Burundi zotr ni Shithole countries katika ukanda huu wa Africa Mashariki na kati..Tutolee upumbavu wako humu

20211024_123303.jpg
 
View attachment 1985261
Ulisema kuwa sijakaa Ikulu ya Nakasero Uganda nikakujibu na mpaka niliokaa nao na kukuonyesha sijakaa tu ya Uganda bali nimekaa pia nikiwa Mdogo hata ya Dar es Salaam na Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere mbona hujaja tena la lingine? Pumbavu, Mswahili na Mshamba mkubwa Wewe.
 
Wakihitajika 'Wordsmiths' wa Kiingereza Pumbavu kama Wewe unaweza Kujitokeza na hata Kushindana nami?
Kiingereza kwangu ni lugha ya mawasiliano kama ilivyo kiswahili, kushindana ni kama unajifunza au unatafuta namna ya kuboresha kiingereza chako kitu ambacho sipo kwenye hizo level za kushindana kuongea kiingereza, pambana na hali yako..
 
Back
Top Bottom